Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Hivi

kwa sasa bado sijachelewa
Hujachelewa mkuu kwan mm ni mmoja wapo ninasoma.
Nilipata 3 ya 24 nina D ktk chemistry na bios c ya physics na masomo ya arts na F ya math yaliyobakia D ila kigezo cha ziada wakanipa English bcuz nina c.
Hujachelewa kaka
 
Shukran mkuu
Sasa vp nursing na pharmacy kipi bora
Kaka angu nursing ni ngaz uchwara ktk kozi za afya pharmacy ni ngazi ya pili baada ya udaktar ama utabibu.
Hata mishahara yao ya daktar na famasia inapishana kidogo sana ht field zao zinapishana sehem moja tu na ht usomaji wake panapishana sehem moja pia.
Famasia iko juu sanaaaaaaaaaaaa
 
Dah! nashkuru kwa maelekezo yako man, kwa hiyo Sasa chuo gani Bora na malipo ni kiasi gani mkuu
 
Ndugu zangu nimepata four ya 27

English D
Kiswahili C
geography D
History D
Bible C

Niende wapi ?? ushauri wenu ndugu zangu
 
Kaka angu nursing ni ngaz uchwara ktk kozi za afya pharmacy ni ngazi ya pili baada ya udaktar ama utabibu.
Hata mishahara yao ya daktar na famasia inapishana kidogo sana ht field zao zinapishana sehem moja tu na ht usomaji wake panapishana sehem moja pia.
Famasia iko juu sanaaaaaaaaaaaa
Duh we jamaa sielewi nikushukuluj manake hili suala lulikuwa likinitatiza sana,THANKS A LOT KAKA
 
Jamani wana JF nina mdogo wangu kiukweli amezingua amepata 4-28 yaan
Biology -D
Chemistry -F
Mathematics -F
Geography -D
History -D
English -C
Kiswahili-D
Civics-D

Amefanya masomo nane ajafanya physics naomba msaada wenu wa mawazo maana hata sijui nimpeleke wapi maana naona kama mzigo tu na alikuwa anapenda kuwa mfanya biashara pia kufanya kazi serikarini sasa sijui kwa matokeo haya anaweza kwel ingawa ana C ya English sasa sijui inakuwaje maana math ana F naombeni msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutwa mlikuwa mnashinda mitandaoni kufanya umbea na ujinga sasa angalia matokeo yalivoyakijinga kabisa,then unakuja jamii forum kuulizia ujinga wako badala ya kutafuta vyuo ukaulizia vilaza wenzio wanakosoma.
Kumwambia hivyo sio suruisho kama umeona anakuboa si uache kumjibu kwan lazima wewe ndio umjibu au wewe ulikuwa clever sana ukawa na akili ukapata div 1 usitake kuongea kitu uonekane una maana kumbe mjinga mmoja ambaye hana hata future kwa watoto wake nyie ndio ambao hata hamtokuja watia moyo vijana wenu ila ni kuwaponda yaan kwa ilo nimekudharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujue ngoja niseme kitu kimoja....mara nyingi vyuo vingi vinaanzia na kuchukua div 4 ya 28...kuanzia ualimu na kadhalika, kwahiyo mtoto akiwa na div 28, 27,26...na kuendelea basi anaweza kujiunga na vyuo hivi. Sasa huyi mdogo ako b ya english inamnyanyua sana...ingawa alionyesha interest ya masomo ya science, kama ni wa kike basi f 5 anaenda tena kwa government selection, kama ni wa kiume patabamba....coz wasichana wanapendelewa sana kozi za sayansi...sasa hapo c ya chemistry inamuokoa sana, akae chini ale bata
Wakuu
Mimi nna mdogo angu Ana D 6Civ D Kisw D Eng D Bios D Geog D pamoja na HistorAna D naombeni ushauri
 
Wakati sisi tunasoma
A level shule zilikuwa chache na Chuo kikuu kimoja tu bongo nzima,
Ukipata C au D, yaani katafute kipande cha kulima
 
Wakuu inahitajika uwe na ufaulu kiasi gani kutoka form 4 kwenda chuo?
Naskia wanafunzi wengi wanasema form 4 kupiga long pass kwenda chuo hupati mkopo..!

Mimi nimeishia LA pili..
 
Wakuu inahitajika uwe na ufaulu kiasi gani kutoka form 4 kwenda chuo?
Naskia wanafunzi wengi wanasema form 4 kupiga long pass kwenda chuo hupati mkopo..!

Mimi nimeishia LA pili..
kumbuka kwanza hakuna anaepata mkopo kwa aliyemaliza form 4 na kwenda vyuo vya kati sahau kuhusu mkopo

pili ufaulu unategemea na chuo na cozi unayotaka kusomea kwamfano vyuo vya afya unalazimika uwe na atleast C mbili na cozi nyingine pia za afya zinataka uwe na D3 kwenye masomo ya Physics Biology Chemistry na Hesabu uwe na D

Kwa cozi nyingine uwe na kuanzia D tatu unapata chuo safi kbsa ila mkopo hupati mpaka elimu ya juu kuanzia degree ndo unaweza kupata mkopo tena kwa ku apply
 
Back
Top Bottom