Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
yani hapo ndio kisw gani umeandika? unaweza ukakuta hawa ndio walimu wanaotufundishia watoto.....kweli mtoto atashindwa kuandika kama mwl wake anavyoandika kwenye mtihani! yani sipendi aina hii ya uandishi basi tu!
Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
Kasomee ugaidi, maana ulivyokuwa unaambiwa ukasome wewe ulikuwa unaishia kwenye miembe ili umkomoe baba, hapo ndio utajua kama ilikuwa unamkomoa au unajikomoa
Ushauri wangu ni huu.
1/Akasome Ualimu(Hapo atasomeshwa na serikali tena miaka 2, akimaliza anajiriwa serikali na anaanza na mshahara wa wastani ya Laki tatu)
2/Aende Advance kusomea masomo ya Arts(Hapo ni Private(Ajiandae na Ada sio chini ya 1milioni kwa mwaka), ni miaka miwili, kisha akifaulu vizuri upo uhakika wa kuingia chuo kikuu but suala la mkopo ni issue ya kubahatisha kidogo, na Ajira ni pasua kishwa unless awe amesomea ualimu).