Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Anaweza kurudia form 3?
Kaka huyo kupata tu div 0 ni kwamba shule sio sehemu yake.. cha kufanya kama vip jaribu kuangalia aende hivi vyuo vya ufundi then asomee hata cherehani au fani yoyote kwa miaka 2 au 3 then mwanzishie biashara kwenye alichokisomea. Lazima tujifunze kuelewa na si kulazimisha pale mwanao shule inapogoma. Nchi kama ujerumani mtoto akifeli secondary ama akipata marks za kutoweza kuendelea college moja kwa moja anakuwa allocated kwenda kusomea kazi.
 
sasa inakuaje mtu kafeli apelekwe ufundi wkt huko ndio science imechukua 90% ya maisha ya kiufundi
Ngoja nikuambie kitu, ni rahisi sana kumuelewesha mwanafunzi kwa vitendo, na kwenye ufundi 70% ya mafunz yanatolewa kwa vitendo

Kwanza wewe ulifikaje huko kwenye ufundi?haukufeli kweli?
 
Ubarikiwe
 
Kwanza ni kumpa moyo kufeli sio mwisho,akishatulia mshauri na umtafutie shule ili arudie mtihani wa kidato cha nne
 
Mimi nina wasiwasi sana na matokeo hayo kwa hiyo kauli ya kuwa hakutegemea.
Kwanini nasema hivyo. Ni kwamba kuna kijana amesoma SIKANDA SECONDARY ipo Tabora matokeo yake ni 3 ya 24. Moja ya masomo yaliyo kwenye matokeo ni Elimu Dini ya Kiislam wakati yeye hakufanya na hakufanya kwasababu yeye ni mkristo.
Sasa tafakari.
 
Wewe Chenjeu Sana Tena Uliyebobea, Sasa Unataka Ushauri Halafu Unanilazimisha Nifanane Na Mawazo Yako? Hata Kama Ni Mtoto Wa Kike Wewe Mpe Bodaboda Ajitafutie Kilema Chake.
You no longer deserve my attention...
 
Ubarikiwe
Kam nimeongea maneno makali kwako am sorry boss nmepanic,ulimi umeteleza..bt huoo ushauri wako c mzuri kumshaur mtu ata kdogo..au kuuweka umu,watu wengi wanaptia post na wanajifunza umu
 
Kam nimeongea maneno makali kwako am sorry boss nmepanic,ulimi umeteleza..bt huoo ushauri wako c mzuri kumshaur mtu ata kdogo..au kuuweka umu,watu wengi wanaptia post na wanajifunza umu
Hivi nikikwambia ubarikiwe si unastahil kupokea baraka? Kama post yangu ni mbaya kuliko zote nadhan mods wataniambia niiondoe .. So relax
 
Kijana wa miaka 17 usimcheleweshe kabisa eti arudie shule,,Naaah mpeleke ufundi kuna kipaji anacho huyo na anaesema sijui ufundi bado sana Tz hajui..in 10 years ufundi utalipa sana bwashee.
 
Ngoja nikuambie kitu, ni rahisi sana kumuelewesha mwanafunzi kwa vitendo, na kwenye ufundi 70% ya mafunz yanatolewa kwa vitendo

Kwanza wewe ulifikaje huko kwenye ufundi?haukufeli kweli?
bila kumung'unya maneno na kuzunguka duara ufundi lazima ufeli ndo uwelekee huko
 
Aende kuresit mtihan apate angalau ata d 4 then aende chuo aanze na chet then diploma baadae degree ila msisitze awe serious na shule
 
Ndio mkuu


kama F masomo yote!!! hakuna bahati mbaya hapo mkuu!! na msipoteze muda kwenye kurudia wala QT ... mpeleke ufundi tu ...

angalikuwa amebahatisha hata "D" somo lolote basi ngekupa moyo arudi shule tena ...

AU KAMA INAWEZEKANA ARUDI FORM ONE UPYA SAWA!... ILA HAKUNA KICHWA CHA KUFANYA QT AU KURUDIA MTIHANI NA "F-FLAT"
 
Hana mchumba, ni bado mtoto mdogo, siyo miaka 17 kama ya wasanii wa bongo movie...bado mdogo sana
Samahani mkuu....lakini mimi binafsi nina historia mbaya na matokeo mabaya ya kuwasomesha wajomba zangu....yaani wote wameniangusha....kama sio kunibwaga....ninachokushauri ni kuwa umuulize mara mbili mbili au hata mara kumi kumi kuwa kweli ana nia ya kusoma kweli au analeta maskhara...hasa kwa mazingira ya huku mjini na hao boda boda waliojaza huko mitaani unaweza ukaletewa mjukuu badala ya cheti cha form four....huyo mwenye miaka 17 unayemuona mdogo kwa vijana wa boda boda na makonda wanamuona kama mjane anayehitaji kuliwazwa.....

Tafakari chukua hatua......
 
Aende kuresit mtihan apate angalau ata d 4 then aende chuo aanze na chet then diploma baadae degree ila msisitze awe serious na shule
Mpaka Aje Apate Degree Kwa Ushauri Wako basi Tanzania Tutakuwa Na Rais Wa Awamu Ya 9
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…