Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Ukiwa na Credit mbili
hukidhi vigezo vya kuingia kidato cha tano na hutakiwi kufanya mtihani
wa kidato cha sita.Ila unaweza kwenda hizi shule za Private (at your own
risk) kusoma huku ukijiandaa kurudia mtihani wa kidato cha nne,mungu
bariki ukifaulu na kupata credit moja au zaidi basi inakua umetatua
tatizo maana itakapofika mda wa kujiandikisha kufanya mtihani wa kidato
cha sita utajaza zile fomu na kuonesha credits ulizonazo ambazo zitakua
tatu au zaidi.Ila usipofaulu huo mtihani wa kidato cha nne unaorudia
basi hutoweza kufanya mtihani wa kidato cha sita kwa sababu hutokidhi
vigezo;Utakua umepoteza muda wako pamoja na pesa zako,Ila vizuri uchukue
hiyo risk.
Kwa kukushauri, huo utaratibu serikali ilishaufuta.
Wakati wa usaji wa form VI wanazingatia sana umemaliza form mwaka gani.
Kwa kukushauri, huo utaratibu serikali ilishaufuta.
Wakati wa usaji wa form VI wanazingatia sana umemaliza form mwaka gani.
Kweli kabisa mkuu, angetujuza huo utaratibu mpya ukoje!Mr. Madevu,waweza kutueleza utaratibu wa sasa,.Hasa mahusiano ya na mwaka uliomaliza kidato cha nne na kujisajiri kurudia mtihani wa kidato cha nne:Maana wengine tulimaliza kidato cha nne zaidi ya muongo mmoja mambo mengi yatakua yamebadilika na hatuna taarifa,Mkuu,naomba utujuze huo utaratibu mpya..
Kweli kabisa mkuu, angetujuza huo utaratibu mpya ukoje!
Mr. Madevu,waweza kutueleza utaratibu wa sasa,.Hasa mahusiano ya na mwaka uliomaliza kidato cha nne na kujisajiri kurudia mtihani wa kidato cha nne:Maana wengine tulimaliza kidato cha nne zaidi ya muongo mmoja mambo mengi yatakua yamebadilika na hatuna taarifa,Mkuu,naomba utujuze huo utaratibu mpya..
Huwa najiuliza hivi ni lazima mtu afike A-level, hizo nguvu za ku-resit kwanini asizitumie kusoma chuo certificate level then Diploma, at the time wale ambao alisoma nao wanamaliza Form 6 yeye anakuwa mwaka wa kwanza Diploma kwani unaweza uka resit alafu ukafaulu hilo somo unakuja kwenye mtihani wa kidato cha 6 unachemka tena unaanza tena ku-resit form 6 kutokana na kwamba ulikuwa unasoma masomo ya A level na wakati huo huo unatafuta credit. Na ukweli unabaki palepale alisoma miaka 4 na akashindwa kupata credit 3 katika masomo 7, leo hii achomoke while anasoma masomo ya kidato cha 5 na 6, unless kama huyo msichana alikuwa yupo vizuri O level ila wakati anafanya mtihani alikuwa anaumwa akaamua kufanya hivyo hivyo bahati mbaya ndio matokeo yakawa hivyo lakini kama alikuwa miaka 4 yote amesoma bila vikwazo na akapata hicho alichopata nachomshauri aelekee upande mwingine wa Certificate then Diploma atafika tu University bila shida kwani kila mmoja ana njia yake ya kufi
kiukweli mkuu,huyu binti ni mzuri academically, na mtihani alifanya huku anaumwa jipu kwenye mkono hivyo kuandika ilikuwa ni tabu!
Utaratibu uko hivi:
Unaweza kusajili masomo hata matatu tu, unaruhusiwa.
Ila ukitaka kuendelea kidato cha tano huku unarisiti ujue utafanya mtihani kama PC ila ukitaka ufanye mtimahi kama school candidate inakubidi urisiti kwanza ndipo ujiunge na kidato cha tano.
Mtindo wa kuendelea na kidato cha tano huku unarisiti ulipigwa stop na serikali kitambo.
Na wanazingatia sana huo utaratibu kwani wakati wa usajili ni lazima uoneshe umerudia mara ngapi sasa wakikuta mwaka uliorisiti unafuatana na mwaka unaotakiwa kufanya mtihani wako wa kidato cha sita hawatakubali usajiliwe kama school candidate.
big up mkuu! lkn yy hajajisajiri mwaka huu, anataka asome kwanza five na wenzake ili mwaka unaokuja ndo afanye usajiri, kwa maana hiyo atasoma five mara mbili!Utaratibu uko hivi: Unaweza kusajili masomo hata matatu tu, unaruhusiwa. Ila ukitaka kuendelea kidato cha tano huku unarisiti ujue utafanya mtihani kama PC ila ukitaka ufanye mtimahi kama school candidate inakubidi urisiti kwanza ndipo ujiunge na kidato cha tano. Mtindo wa kuendelea na kidato cha tano huku unarisiti ulipigwa stop na serikali kitambo. Na wanazingatia sana huo utaratibu kwani wakati wa usajili ni lazima uoneshe umerudia mara ngapi sasa wakikuta mwaka uliorisiti unafuatana na mwaka unaotakiwa kufanya mtihani wako wa kidato cha sita hawatakubali usajiliwe kama school candidate.
ushaur wangu soma chuo,tafta
cert,then diploma na .........BT KURIST UNAJITAFTIA MOTO NIULIZE MIE
NILIESOTA NIKAJIFUNZA WANANGU HAWATARISIT BORA ARUDIE FORM TWO
mkuu sizinga! masomo ya sayansi wanachukua total point ngapi?
kuna mdogo wangu kapata div. 3 point 24 na ana B/maths C, Biology C, Civics C, Kiswahili C na the rest ana D
mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC, EGM ana DC na PGM ana DDC
mshahara wenyewe wakulenga na manati huu, nijue kabisa kama anaenda private nianze michakato ya kukaba wabunge wakikatiza anga zangu.
mkuu dogo yupo Chief Mwang'ombe High school ndo wanamalizia form 6 mwaka huu, hiyo post ya mwaka juzi, dogo alipata post ya serikali kwenye hiyo shule, anapiga PGM, pamoja kamanda.Itakuwa vigumu sana kumchagua science kwa sabab conbination zake hazijabalance kabisa......jaribu kufanya process za kumpeleka private