Once more...hongera kwa kuliendesha jahazi kamanda!! I like you guy!!kwanza hongera kwa kuchaguliwa kidato cha tano .. Mimi sijasoma old ila humu ndani kuna watu wengi wamesoma hapo experience ya huko unaweza search kwenye thread ambazo zinazungumizia old moshi utaipata tu... Ila nataka nikupe mtazamo wa jumla hizi shule za serikali za siku nyingi zinatofautiana kidogo sana kimatokeo na kimazingira (walimu,vitendea kazi,msosi) unaweza kuta tofauti yake ni ndogo sana uzuri wa shule hizi ni huu una kutana watu wa aina tofauti wenyewe malengo tofauti waoweza kukupa morali na munkari ya kukamua hatimaye kama ni msongo ukatoka a-level ... Ila ukilegea kwenye hizi shule za serikali kuzungusha easy sana.... Mazingira ya moshi ni mazuri kwani nimeshawahi kutembelea hapo kama ujapata join instruction usitie shaka sana kuna mawili kama huto ipata mpaka shule zinakaribia kufunguliwa kwani lazima ujue tu maana shule hizi huwa zinafunguliwa muda unaolingana wewe nenda shule na copy ya selection yenye jina lako na results slip ukiweza ipata ,ada na hela ya kujikimu kiasi ama unaweza wapigia kwenye hii namba... 0272751929 moshi sekondari p.o.obox 3021 moshi rudisha fedback ukiwasiliana nao ..
Once more...hongera kwa kuliendesha jahazi kamanda!! I like you guy!!
sharing is caring
pamoja sana kamanda ...ujamaa na kujitegemea ndio falsafa yangu.. ntajitahidi kujibu hoja na kutoa ufafanuzi kadri niwezavyo na nipatapo muda kwa ufahamu wangu ...
shaka ondoa
......
mbona mimi hapo juu cjapata ushauri jamani au?
NIMECHAGULIWA EGM KIBITI CHUO NAWEZA SOMEA KOZI ZIPI AMBAZO ZINALIPA COZ CJUI KOZI HAPA MOJA YA HIYO COMB. Itakuwa njema kama ukaniorodheshea
ansate xana!
ongera sanakamanda tulia jioni ya leo nakuhakishia ntakujibu nautaridhika tuwiane radhi majukumu
ongera sana
kwanza niseme hongera sana kwa kuchaguliwa kidato cha tano..
sasa nirudi kwenye hoja yako ya MSINGI WIGO WA COMBINATION YA EGM..EGM NI COMBINATION YENYEWE WIGO MPANA KWA HIGHER EDUCATION KAMA UTAFANYA VIZURI A-LEVEL ... SASA ANGALIA KOZI AMABAZO UNAWEZA KUSOMA UKIFAULU EGM YAKO CHUO
HIZI KOZI ZITOLEWAZO UDSM(MLIMANI-CHUO KIKUU DAR ES SALAAM)
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL (UDBS)
B.Com. in Accounting
B.Com. in Banking and Financial Services
B.Com. in Finance
B.Com. in Human Resources Management
B.Com. in Marketing
B.Com. in Tourism and Hospitality Management
Bachelor of Business Administration (BBA) Evening Programme
Programme : Social Sciences (3 years)
B.A. in Economics
B.A. in Economics and Geography
B.A. in Economics and Sociology
B.A. in Economics and Statistics
B.A. in Statistics
B.A. in Geography and Environmental Studies
B.A. in Geography and Statistics
PIA UNAWEZA KUSOMA KOZI ZA BIASHARA KWENYE VYUO VYA BIASHARA KAMA IFM,CBE,TIA,IAA,MUCCOBS...
PIA KUNA KOZI MZUMBE,UDOM ,ARU,SUA ...
FANI AMBAZO UNAWEZA KUWA NI MCHUMI,MGAVI,MHASIBU,BWANA FEDHA,
JAMBO LA MSINGI NDUGU JARIBU KUWA MDADISI UNAWEZA ULIZA WATU WA KARIBU UTAPITIKANAJI WA AJIRA/KUJIAJIRI KWA KOZI NILIZOKWAMBIA HAPO JUU
ANGALIZO :KUNA KUJAZANA UJINGA NA UFUATAJI WA MIKUMBO TUNAPOKUWA A-LEVEL JITAHIDI KUWA MDADISI NA USIOGOPE KUULIZA KOZI FULANI INAHUSU NINI ...USIJE JUTIA
KAMA UNA SWALI ,ULIZA WADAU WATAKUSAIDIA
Wakuu, mdogo wanu kachaguliwa form 5 HKL! Nilikuwa nafikiria kumpeleka HGL ila napata mawazo tofauti kwenye HGL na HKL in terms of probability ya fields nzuri chuo. Nipenpenda mnisaidie nijue HKL ana fields gani chuo?
Shukrani!
ngazi ya diploma ni professional attainable level ambayo unaweza ajiriwa kwa cheti chako cha diploma na kwa vile ana c tatu shaka aondoe ataingia chuo bila shida yeyotenimekusoma mkuu, lakini ningependa kuuliza swali moja la ziada.. Ivi kwa mfano mtu ana c 3 na yupo qualified kwenda form 5 lakini aka cancel out kwenda form 5 na akaanza chuo katika ngazi ya diploma.. Je atakua kachukua one big step a head au atakua sawa na yule aliyeenda form 5? Kwa sababu wote wawili watasoma kwa miaka miwili na kisha wataingia chuo kwa ngazi ya degree.
kamanda usikate tamaa kabisa jambo la msingi naomba pitia hii thread vizuri kuna vyuo vingi nimejaribu kuviorodhesha kutokana na mahitaji ya watu wengi sana ..Nilianza kukata tamaa ya mwanangu..yeye amepata hivi mkuu..,civ-D, HIST-F,GEO-D,KISW-D,ENGL-D,BIO-C,MATH-F. Nyongeza ya ushauri wako mkuu..nisaidie nianzie wapi
kamanda display matokeo yake yote tupate mwanga kidogo..je huyu mkuu ataenda wapi? Matokeo yake ni div 4 yeye amefaulu bios d na phys d je anaweza kupata chuo chochote kwel? Tafadhal wakuu naomba msaada wenu.