Forex vs Betting

Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Hata betting pia nayo siku hizi unaweza kufanya yote hayo.🤣
Betting zingine ni ngumu kuwa na statistical EDGE ambayo itakupa profit kwenye mfululizo wa shughuli yenyew . kwahiyo utajikuta mwisho wa siku you end loser
 
Aviator tupu
We mshikaji unazingua ujue kwenye hii betting ya forex kuna kitu kinaitwa EDGE .
Hapa kwenye EDGE Ndo msingi wa kupata hela unapatikana kwasababu iko hivi umefanya trades let's say 50 tu .
Kati ya hizo 50 umekosa trades 30 na kila trade moja uliyokosa you get constant lose ya 10$. 10×30=300.
Na katika hizo trade 50 unapata trade 20 tu na kwa kila trade ukipata unaenda ratio ya 1:3 kwa maana 10:30
Kwahiyo trade ikienda poa unapata constant profit 30$ sasa hapa inakua
20×30$=600$
Ukichukua jumla ya trade 30ulizokosa ni 300$loss na trade 20 ulizopata umegain 600$
Fanya kutoa hapo 600$ profit -300$loss= unabaki 300$ Kama net profit kwenye jumla ya trade hamsini ulizochukua kwahiyo shida hapo ni kutafuta EDGE yako ndo mziki upo hapo na psychology kuapply hiyo edge kikamilifu
Av
 
1745937113819.png

hilo ka kwanza:

2) YOU CAN NEVER EVER make money trading forex because its a myth only brokers created a myth to you that your trading forex but there is nothing your trading only taking money from loosers and giving it to winners, you will never have an edge on something you dont understand

3) umefanya trades let's say 50 tu .

ukiloose trades 30, mtaji wako hauwi tena $300, when you loose 30 kwenye 1:3 meaning unaloose 1% ya mtaji kupata 3%, this means kwenye trades 30 umeloose 20% adding up to margin unayopewa na broka then you lost around 100% of the capital ndan ya trades 10 tu,

4) forex wasnt meant for you to make money but its a medium of exchange kwa ajili ya nchi na nchi ama nchi na mashirika ama kampuni kufanya biashara
 
Huku kwenye betting ya forex katika percentage 100% EDGE yako kama inakupa hata 30% halafu 70% unalose bado utakua profitable kama ratio yako iko sawasawa
hio EDGE ni msemo wa waalimu wa forex but you cant have an EDGE trading something you dont understand
 
View attachment 3319890

hilo ka kwanza:

2) YOU CAN NEVER EVER make money trading forex because its a myth only brokers created a myth to you that your trading forex but there is nothing your trading only taking money from loosers and giving it to winners, you will never have an edge on something you dont understand

3) umefanya trades let's say 50 tu .
Kati ya hizo 50 umekosa trades 30 na kila trade moja uliyokosa you get constant lose ya 10$. 10×30=300.
Na katika hizo trade 50 unapata trade 20 tu na kwa kila trade ukipata unaenda ratio ya 1:3 kwa maana 10:30
Kwahiyo trade ikienda poa unapata constant profit 30$ sasa hapa inakua
20×30$=600$

4) forex wasnt meant for you to make money but its a medium of exchange kwa ajili ya nchi na nchi ama nchi na mashirika ama kampuni kufanya biashara
Boss sisi tunabet price hatufanyi forex
 
hio EDGE ni msemo wa waalimu wa forex but you cant have an EDGE trading something you dont understand
Sio kila kitu lazima ujue mkuu na utoe matokeo ya kuwa haiwezekani umewahi kubet hizi price au unaongea tu kuna watu wana edge kwenye hii betting
 
ukifuatilia huu uzi uko juu utaona tumeuongea sana na nlishawaonyesha watu desk langu BOT, usipoteze mda kama unataka mafanikio kafanya kazi
 
Forex nimefanya sana toka 2018 niko second year hadi 2023 natoka mtaani naweza sema ilinisaidia kiasi chake kuishi kitaa kwa comfortable life.
Kipindi hiko napiga pesa nimeandika nyuzi nyingi humu kuhusu Forex inasifa zote pasi nakutia shaka za kuwa kamari.
Jaribu kuichinguza vizuri utakuja kugundua muda ukishaenda sana.
Tuandikie hapa mafanikio yako
 
🤣 🤣 🤣 fanya issue zingine miaka inaenda
Ulitaka miaka isimame mkuu ili iweje kila kitu lazima kitake time. Ukiona wewe huwezi sio sheria kwa wengine kuwa hawawezi,
Kama kilikushinda unakaa pemben kimyaa kimya sio kuharss wengine utadhani ndo unajua sannaaa kumbe tikiti tu
 
ukifuatilia huu uzi uko juu utaona tumeuongea sana na nlishawaonyesha watu desk langu BOT, usipoteze mda kama unataka mafanikio kafanya kazi
Hiyo ulikuwa unafanya forex sisi tunabet Price au vipi sasa kupangia wengine kuwa kubet haiwezekani hayo mamlaka unatoa wapi
 
Back
Top Bottom