and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
.
What about now?Aisee i dont wanna miss this opportunity ntauza hata laptop yangu
Laptop still ipo mkuuWhat about now?
Mkuu ulishiriki kwenye mafunzo au ulighaihirisha?Laptop still ipo mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]Aisee i dont wanna miss this opportunity ntauza hata laptop yangu
Mzee wa oppa ulifanikiwa kuuza laptopAisee i dont wanna miss this opportunity ntauza hata laptop yangu
Hahahahah sio rahisi😅 nimeona nife kiume tuMzee wa oppa ulifanikiwa kuuza laptop
Hahaha mkuu ulifanikiwa kupata hata mia mbovu huko kwenye fxHahahahah sio rahisi[emoji28] nimeona nife kiume tu
Ahahaha kumbe na wewe ulikamatwa akili na SirjeffLaptop still ipo mkuu
Nilidhani naweza bet ila baada ya vichapo vya wadaonlodiji pesa kutamalaki nili cancel ratiba hioAhahaha kumbe na wewe ulikamatwa akili na Sirjeff
Kupitia demo nimeweza kutengeneza dollar elf 7Hahaha mkuu ulifanikiwa kupata hata mia mbovu huko kwenye fx
😂😂😂😂😂😂Nilidhani naweza bet ila baada ya vichapo vya wadaonlodiji pesa kutamalaki nili cancel ratiba hio
Hahahah nashukuru Mungu sikuwahi kukanyaga huko 🤣Mzee wa oppa ulifanikiwa kuuza laptop
Watu walipigwa kisomi mno.Ila uliwaokota sana watu , eti people are downloading money. Pumbafu kabisa
Una trade Forex?Watu walipigwa kisomi mno.