Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.


[TERMS AND CONDITIONS LINKED]


Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....


Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.


(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)


ANGALIZO:

Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.



HATUA ZA KUFUATA:

1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus



2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

Menu > MyTemplerFX> Verifications


3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok


4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:


NDB30JN42017


Then submit.


5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.


6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:


https://play.google.com/store/apps/details?id=net.metaquotes.metatrader4


Start Trading!!

TRADE SAFELY!



Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox




Terms And Conditions hapa:


TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.

Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws.

Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.

Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.

Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Hapa, ni hatari!
I hope I'll get to use this broker...

View attachment 758113View attachment 758114
 
TEMPLER
with as minimun as $1 deposit and withdraw, via mpesa, skrill. Huenda ndo broker rahisi zaidi kumtumia, simple deposit and withdraw method, pia easier registration processes.
( https://templerfx.com )

PEPPERSTONE
minimum deposit of $25, no M Pesa. Available is skrill , netteller, direct bank and other ways...
( https://secure.pepperstone.com )

TICKMILL
minimum deposit $25. wako katika majaribio ya Mpesa, na wengine tulishajaribu kudeposit kwa mpesa na ikawa poa. japo ilisitishwa kwa muda. other deposit ways available includes skrill and visa.
NOTE: ukitaka kujisajili hapa hakikisha unatumia Tickmill Seychelles, huko ndipo Tanzania ipo, Haipo katika Tickmill UK.

( http://tickmill.com/seychelles )
 
Mimi nipo dar kigamboni tunafanyaje sasa
Kuna watu wawili i can recommend wakufundishe, kuna mtu aitwa Magnetics wa F.M.I, na mwingine aitwa Mwl. RCT.

Wote wapo dar, lakini ujipange kuwalipa, mana hawatokufundisha bure
 
Kuna watu wawili i can recommend wakufundishe, kuna mtu aitwa Magnetics wa F.M.I, na mwingine aitwa Mwl. RCT.

Wote wapo dar, lakini ujipange kuwalipa, mana hawatokufundisha bure
Leta no
 
Nimeweka mawasiliano yangu hapa: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForums

Angalia post namba 3

emoji778.png

NJIA ZA MAWASILIANO



Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0768 92 48 41
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp (only): +255 784 496 856




emoji778.png

MUDA WA KUWASILIANA NAMI - Wakati Wowote


1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.

Ufafanuzi
Je nini hasa amabcho mimi nafundisha
  • Chart - Daily Cycle
  • Entry na Exit sahihi
  • Market timming - kwa kuzingatia trading sessions (asian, london, Newyork)
  • How to scalp
  • Mwishho utapatiwa indicator za kukupa taarifa kuwa pair fulani sasa sertup imekamilika ingia sokoni, PUSH NOTIFICATION,Tazama picha hapa chini, Huu ujumbe utakuwa ukipokea direct kwenye simu yako, Hivyo kutolazimika kutazama chart muda wote.
1536409568846.png

Pichani: Mfano halisi wa MSG utakazokuwa ukipokea. Hivyo hata ukiwa safarini, kwenye mkutano, popote utakapokuwa unaweza ku_trade kwa kutumia simu yako ikiwa upo mbali na PC

Video: Mwalimu RCT

Key: Notification Signal zenye price tag: Huwa zina uwezo wa kukupatia 50 to 120pips kutegemea na Piar husika
Na notification za scalp hapo tegemea 25pips to 45pips - Hizi huwa ni short term trades​
KARIBU​
 
uzi ulikaa kimya toka april takribani miezi mnne,gafla binivu wakuu mmerudi kivingine kabisa...hahaaaaa bongo haishi vituko, sisi ngoja tufanye biashara ya uhakika ya kumuunga mkono jpm maana kwasasa ndo inalipa zaidi
 
Mimi nipo dar kigamboni tunafanyaje sasa
Ingia telegram chanel hii inafundisha

*forex basic
*advanced course,candlestic pattern and physology behind its formation

Download telegram kisha search kwa jina

@forextanzania
 
swala la kudownload na kuprint pesa naona linaenda kimya kimya😀
Mimi nimejifunza Forex huu ni mwaka unaenda wa 3 hela ninayotengeneza sishindwi kulipa kodi walau bili za aina yoyote uijuayo.


Watanzania jifunzeni kuwa wadadisi. Acheni uvivu. Ukipata mchongo usisubiri MTU aje kukwambia kuwa hii ni fursa au sio fursa. Zama machimbo (Google,You Tube , Mavitabu) kujua ukweli wa mambo. Forex ni career Kama career zingine. Ni lazima usome tena sana sana sana sana . MTU anaekwambia Forex ni kudownload Pesa tu kirahisi rahisi huyo ni muongo Mkubwa.


Ni biashara ngumu inayohitaji moyo na uvumilivu. Epukeni walimu uchwara wanaojifanya kufundisha Forex hawa ndio sumu. Wanawajaza matumaini makubwaaaaaa kuliko uhalisia matokeo yake wakikutana na changamoto ambazo ni sehemu ya hii business wanakata tamaa na kusema Forex ni utapeli.




Please find the knowledge on your own. Find the truth.
 
Nimeweka mawasiliano yangu hapa: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForums

Angalia post namba 3



Ufafanuzi
Je nini hasa amabcho mimi nafundisha
  • Chart - Daily Cycle
  • Entry na Exit sahihi
  • Market timming - kwa kuzingatia trading sessions (asian, london, Newyork)
  • How to scalp
  • Mwishho utapatiwa indicator za kukupa taarifa kuwa pair fulani sasa sertup imekamilika ingia sokoni, PUSH NOTIFICATION,Tazama picha hapa chini, Huu ujumbe utakuwa ukipokea direct kwenye simu yako, Hivyo kutolazimika kutazama chart muda wote.
View attachment 860536
Pichani: Mfano halisi wa MSG utakazokuwa ukipokea. Hivyo hata ukiwa safarini, kwenye mkutano, popote utakapokuwa unaweza ku_trade kwa kutumia simu yako ikiwa upo mbali na PC

Video: Mwalimu RCT

Key: Notification Signal zenye price tag: Huwa zina uwezo wa kukupatia 50 to 120pips kutegemea na Piar husika
Na notification za scalp hapo tegemea 25pips to 45pips - Hizi huwa ni short term trades​
KARIBU​
Mkuu uko vizuri sana ..naendelea kujikusanya ..lazima nitakuja kwako mkuu.
 
Back
Top Bottom