Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

View attachment 606867
una jiita mjasiria mali then una wafata watu inbox ili kuwachafua ili iweje??

iyo Convo ume ianzisha mwenyew sikujui hunijui then what ulitaka ugundue nini??

am not that stupid mwaga ugali na mwaga mboga
[HASHTAG]#watchMe[/HASHTAG]
Ahaha ujue hyu chasha nkajuaga ni mtu smart na vistori vyake vya dada mpika uji kumbe ni hater kiasi hiki cha kufuata watu pm na kueneza umbea. Mazafuuku man
 
Mkuu, mbona kupigwa tunapigwa wote hata tunaoelewa lugha kwa confidence kidogo?

Kitu kingine cha kufanya ni money management ili ukipigwa uweze ku revenge.

Kuna siku nilianza na $1700,nikapigwa nikabaki kama na $800 nikaona ujinga huu, nikafunga position, nika reverse trend.

Pair ya AUD/USD pasua kichwa hiyo, unaweza kufanya research zako zote vizuri halafu ikaenda vizuri sana, inaporomoka vibaya sana katika dakika tano tu na kukuharibia hesabu zako zote

Hapo inabidi ujue kitu kinaitwa "kubadilisha gia angani", nikabadilisha gia.

Nikapiga ile $800 iliyobaki, katikakipindi kama cha wiki mbili ikafika just shy of $10,000. Nikawa nimefikia goal langu nikatoa hela kwenye akaunti nikazirudisha benki yangu, nikapumzika siku mbili tatu, nikaanza kutrade upya sasa hivi narudia mchezo vile vile slow but sure.

Sasa hapo utaona umuhimu wa strategic trading, kwamba trades zako zikae kwamba hata ukiliwa, uwe na strategy ya ku revenge ama kwa stop loss ama kwa kuweka trade nyingine against ya kwanza.

Hata wenye uzoefu yanawakuta haya, yakikukuta inawezekana yakakukuta sana kwa sababu huna uzoefu, lakini nature ya hizi habari ni kama kutabiri hali ya hewa, unaweza kubeba mwamvuliwiki nzima mvua isinyeshe, ukisema tu "haijanyesha wiki nzima, leo nitoke bila mwamvuli unaniletea mzigo tu" ndiyo siku mvua inayonyesha.
Mkuu ulivyo pandisha acc yako from$800 to $10000 ulikua unatumia scalping technique au ulikua Unafanya mchezo wa hatari wa kuisoma trend ya market halafu unaweka lot size kubwa na entry trades chache.
 
Scalping nilifanya mkuu,pia kuna wakati Fed Reserve walikuwa wanaongea kesho yake nikawa nina hint ya watakachosema na market itakavyoreact, nikaenda na events ikawa vilevile. Nikaibuka kidedea. Kuna wakati Dow Jones ilikuwa inaenda very clear direction, nikapiga nayo sana futures zake.

Ila sasa hivi Dow imepanda mpaka inaogopesha, bears wana short wanalizwa tu, lakini inaweza kuanguka 100 points or more any day.

Na ikianguka napo nimejipanga kuidaka kuzunguka nayo maana itakuwa inaanguka inapanda see sawing to get a happy medium, sasa hivi iko oversold. Inategemea na earning season itakavyokuwa, earnings zikiwa nzuri inaweza kupanda even higher.

Kwa hiyo ni mwendo wa ku hedge bets tu.

Leo nimeiogopa bure nimeiangalia mwendo kwenye demo nimepiga vizuri tu. Lakini live nilikuwa naipumulia tu.
 
FOREX
Two Strathmore students charged with Sh8m fraud

Jul. 13, 2017, 12:30 am

By ANNETTE WAMBULWA

money

FACEBOOK

Two Strathmore University student yesterday were charged with conning unsuspecting people out of more than Sh8 million in a pyramid scheme.

Jeff Kiprotich and Stompy Mwendwa denied eight counts of obtaining money by false pretenses before Kibera court senior principal magistrate Barbara Ojoo.

The court was told they committed the offence on February 23 last year at Fatima apartments on Marcus Garvey Road Kilimani, Nairobi.

It is alleged with intent to defraud, the two jointly obtained Sh400,000 from Hellen Ajode by pretending she would benefit from Online Forex Trade at Hive Equity Ltd if she invested in the company.
Iv we jamaa hiz nguvu s bora ukawashawish wachimba madin waache maana kila siku wanafukiwa
...

Last f***k u
Pambana na hali yako
 
View attachment 608239 kwa kutumia 30 mins chart ,naona XAUUSD inashuka
Swali la kishamba mkuu! Niwie radhi, nina fanya fx game (demo)kwa MT4 for android,sasa kinachonishangaza ni kuwa napoteza kidogo na nnapata pia,tena zaidi! Mfano jana nilianza na Eur/usd 1,000! Baada ya muda ikashuka hadi 780! Nikaendelea na kuishia kupata 1560-- ndani ya muda mfupi
tu! Sasa swali ni je hiyo peke
e inaweza/inatosha kunionyesha ability yangu kuweza ku trade live? Na je kile ninachokiona au kukifanya pale ndicho hicho nitegemee kukiona kwenye real trade? Msaada please! al watan Singo
 
Scalping nilifanya mkuu,pia kuna wakati Fed Reserve walikuwa wanaongea kesho yake nikawa nina hint ya watakachosema na market itakavyoreact, nikaenda na events ikawa vilevile. Nikaibuka kidedea. Kuna wakati Dow Jones ilikuwa inaenda very clear direction, nikapiga nayo sana futures zake.

Ila sasa hivi Dow imepanda mpaka inaogopesha, bears wana short wanalizwa tu, lakini inaweza kuanguka 100 points or more any day.

Na ikianguka napo nimejipanga kuidaka kuzunguka nayo maana itakuwa inaanguka inapanda see sawing to get a happy medium, sasa hivi iko oversold. Inategemea na earning season itakavyokuwa, earnings zikiwa nzuri inaweza kupanda even higher.

Kwa hiyo ni mwendo wa ku hedge bets tu.

Leo nimeiogopa bure nimeiangalia mwendo kwenye demo nimepiga vizuri tu. Lakini live nilikuwa naipumulia tu.
Hivi mkuu kwenye forex trading ww unatumia pairs zipi hasahasa maana umeongelea Habari ya Dow Jones ambayo sifahamu. Lakini pia Naomba unisaidie kwenye swala la scalping Maana hii technique sifahamu vizuri.
 
Mimi na trade futures, basically using technical, fundamentals and events to predict price movements. Futures zinaweza kubashiri bei za currencies, commodities na indices. Dow Jones Industrial Average ni index.

Scalping ni kuchukua profits ndogo kwa haraka bila kusubiri full maturity, advantage ni kwamba unapoamua ku exist unajua umepata kiasi gani na umeridhika nacho, na trade ikianza ku recede unakuwa ushatoka, disadvantage ni kwamba ukifanya sana scalping unaacha hela mezani.

For more see Scalping: Small Quick Profits Can Add Up
 
Swali la kishamba mkuu! Niwie radhi, nina fanya fx game (demo)kwa MT4 for android,sasa kinachonishangaza ni kuwa napoteza kidogo na nnapata pia,tena zaidi! Mfano jana nilianza na Eur/usd 1,000! Baada ya muda ikashuka hadi 780! Nikaendelea na kuishia kupata 1560-- ndani ya muda mfupi
tu! Sasa swali ni je hiyo peke
e inaweza/inatosha kunionyesha ability yangu kuweza ku trade live? Na je kile ninachokiona au kukifanya pale ndicho hicho nitegemee kukiona kwenye real trade? Msaada please! al watan Singo
Demo haina tofauti na real,kama ulivyopata ama kupoteza kwenye demo ndio hivyo hivyo ungepata ama kupoteza kwenye real.
Kujipima nakushauri ktk hiyo practice acc Fanya iwe na mtaji ambao utaendana na uhalisia wa hela unayotegemea kuanza nayo, kisha anza kutrade kwa umakini kama real money,ukiona unafanikiwa basi fahamu kwamba unaweza ingia live.
Mimi sikuwa nafahamu vitu vingi wakati nipo demo,vingi nimejifunzia nikiwa live,na bado naendelea kujifunza kwa makosa na kusoma zaidi
 
Asante mkuu!! Ngoja nijikomaze na demo kwanza! Halafu mbona kama hizi chart munazo screenshot naona kama zina tofauti kidogo na hii ninayotumia? Au ni just a mere difference of platform?
 
Hawa wanafanyaje kaz mkuu tupo maelezo ya kina bas tuelewe
 
Back
Top Bottom