Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

yap ni kweli kabisa, maana kushare kile kidogo ulichonacho ni busara zaidi....tunasubiri hizo analysis nasi tupate kung'amua mawili matatu japo tuendelee kujifunza kutrade
 
8afdebae25ac5dc62ddf58592c4abbdb.jpg
Too late mkuu....! Sisi tupo tayari tukaibiwe!

[HASHTAG]#Ontario[/HASHTAG] nasema Chapa Kaziii
 
CMA proposes tough rules for online forex traders in Kenya

By Patrick Alushula | Tuesday, Jul 19th 2016 at 00:00

Share this story:

CMA currently regulates all trading taking place on the Nairobi securities Exchange. It wants to extend its regulatory powers to cover online forex trading.

NAIROBI: The Capital Markets Authority (CMA) is proposing tough regulations on businesses and brokers involved in online foreign currency trading.

Through draft regulations named ‘Licensing requirements for online forex brokers and conduct of online forex business’, companies seeking to enter forex trading will be required to have capital of at least Sh50 million.

Where an applicant is an online forex broker in another jurisdiction, the applicant will have to commit that the Sh50 million will be maintained in Kenya at all times. In addition, the regulator also wants such businesses to have at least Sh40 million, being 80 per cent of their capital, in liquid form.

Pole sana kaka.... treni ndio inaondoka hivyo! Nakushauri anza kusoma vitabu kisha jiuonge na wenzio!
 
Kwa kuanzia, Hizi ni key points katika kufanya analysis.

1. Chagua pair husika. Chagua pair chache ambazo utakuwa unazifanyia analysis in and out.
2. Baada ya kuichagua pair, weka pair husika katika line chart, D1 au H4 timeframe.
3. Ukiwa katika H4, D1 timeframe, chora zones zako (support & resistance)
4. Ukishatambua na kuchora zones ukiwa katika H4 ama D1, rudi katika candlestic graph.
5. Tambua trend ya pair husika kama ni up ama down, hii itakusaidia kujua uelekeo wa sarafu.
6. Ukishamaliza hapo rudi katika fundamental part, hapa ni kujua kuna taarifa gani muhimu zinazoihusu currency uliyoichagua.
7. Baada ya kujiridhisha na yote hayo. Rudi katika D1 ili kuangalia possible entry point. Kumbuka good trading ni kutrade naked zone to zone trading. Hivyo katika D1 utaangalia candles zako. (Hapa umuhimu wa kusoma vitabu unakuja)
8. Uukishapata entry point, ingia katika biashara kutokana na analysis yako uliyoifanya.
9. Relax na subiria matokeo

XAUUSD ilivyo sasa.

gold.PNG

Tukiiangalia hiyo pair ya XAUUSD tunaona gold leo imegusa 129x.xx ambayo ni resistance, na inaonekana kuwa level imekuwa rejected. katika situation kama hii kama hakuna matukio ya kushtukiza (N.korea like stuffs) na yale yanayodororesha dola ya kimarekani. Basi tunategemea trend ibadilike na down trend ianze.
 
asee ugumu wa fx uko hapo kwenye uchambuzi wa candlestick ukiangalia elim yetu kwenye kung'amua kilichoandikwa kwa lugha ya malkia yaani ni vurugu tupu!
 
Asikudanganye mtu, wazoefu wanaojua lugha ya malkia na viti vya Harvard na Goldman Sachs wanaweza kuwa na nafuu kidogo, lakini utabiri ni kitu ambacho hakikoguaranteed bado.

Kwa hiyo, soma sana, fanya practice kwenye demo accounts, fanya back testing za kutosha, kisha ukiona unaanza kupata consistent results, test zali live.

But you must do your homework, na lugha ya malkia haiepukiki katika hii biashara, kama huna msuli nayo kabisa utaishia kubahatisha au ku copy trade.
 
Asikudanganye mtu, wazoefu wanaojua lugha ya malkia na viti vya Harvard na Goldman Sachs wanaweza kuwa na nafuu kidogo, lakini utabiri ni kitu ambacho hakikoguaranteed bado.

Kwa hiyo, soma sana, fanya practice kwenye demo accounts, fanya back testing za kutosha, kisha ukiona unaanza kupata consistent results, test zali live.

But you must do your homework, na lugha ya malkia haiepukikikatika hii biashara, kama huna msuli nayo kabisa utaishia kubahatisha au ku copy trade.

That is realy true dude. Hii kitu inahitaji msuli zaidi ya watu wengi wanavyodhani.
 
boss wangu kusoma nasoma tu ila tatizo lugha ukisema uwe unacopy then unatranslate kwa msaada wa google, mambo yanakuja tofauti kabisa yaani ndio unajichanganya, kuna utofauti wa kusoma kilichoandikwa na kuelewa kilichomo. kuhusu demo napractic kila nipatapo muda na nagonga profit za kutosha ila tatizo nafanya kwa kubashili yaani tu kwa kuangalia chart ya pair husika candlestick trend yake imelalia upande upi kwa time frame husika so natake order bila hata SL/to {(maana nikiweka sl/tp lazima Nile hasara) naziacha zina go against baada ya muda zinarudi upnde wangu . haumia sana kufanya kitu nisichokielewa kiundani ukisema umuulize mtu anakujibu in short "kasome vitabu" sawa vitabu vipo ila tatizo lugha??? mfano kuna kitabu cha Steve nison kuhusu Japanese candlestick, wenye uelewa wa lugha nadhani ni rahisi sana fx wakikipitia. mkuu al watan nipe msaada mkuu tangu mwezi wa 5 baada ya ule Uzi wa ONTARIO bado naendelea kuforce na sijakata tamaa nishikeni mkono Tafadhali.
 
Mkuu, mbona kupigwa tunapigwa wote hata tunaoelewa lugha kwa confidence kidogo?

Kitu kingine cha kufanya ni money management ili ukipigwa uweze ku revenge.

Kuna siku nilianza na $1700,nikapigwa nikabaki kama na $800 nikaona ujinga huu, nikafunga position, nika reverse trend.

Pair ya AUD/USD pasua kichwa hiyo, unaweza kufanya research zako zote vizuri halafu ikaenda vizuri sana, inaporomoka vibaya sana katika dakika tano tu na kukuharibia hesabu zako zote

Hapo inabidi ujue kitu kinaitwa "kubadilisha gia angani", nikabadilisha gia.

Nikapiga ile $800 iliyobaki, katikakipindi kama cha wiki mbili ikafika just shy of $10,000. Nikawa nimefikia goal langu nikatoa hela kwenye akaunti nikazirudisha benki yangu, nikapumzika siku mbili tatu, nikaanza kutrade upya sasa hivi narudia mchezo vile vile slow but sure.

Sasa hapo utaona umuhimu wa strategic trading, kwamba trades zako zikae kwamba hata ukiliwa, uwe na strategy ya ku revenge ama kwa stop loss ama kwa kuweka trade nyingine against ya kwanza.

Hata wenye uzoefu yanawakuta haya, yakikukuta inawezekana yakakukuta sana kwa sababu huna uzoefu, lakini nature ya hizi habari ni kama kutabiri hali ya hewa, unaweza kubeba mwamvuliwiki nzima mvua isinyeshe, ukisema tu "haijanyesha wiki nzima, leo nitoke bila mwamvuli unaniletea mzigo tu" ndiyo siku mvua inayonyesha.
 
mkuu unatumia broker gani wewe.
 
mkuu unatumia broker gani wewe.
Situmii broker per se, natumia exchange, North America Derivatives Exchange, NADEX. www.nadex.com

Hawana Tanzania kama option katikanchi unazoweza ku trade, na wame specialize katikaFutures options, kuanzia za forex mpaka commodities na indices.

Miminiko US kwa hivyo nimewezakujisajili kirahisi kwao, wako very regulated na US authorities kuhakikisha hawana ujanja ujanja. Nimebamiza karibu $10,000 juzijuzi hapa nikazitoa zote kuzirudisha katika bank account yangu.
 
lakini ikawaida ukitaka ku trade na broke wa nje si lazima uagalie yupi te best maana mi ninae ironfx na iq option sema ni demo account wamenipa kwa mda.
 
Back
Top Bottom