Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Maandishi yako yamejaa ahadi za uhongo ni mithili ya mwanaume anaetongoza unajaribu kutaka kuwaaminisha watu tofauti na uhalisia.

Kimsimgi sikuungi mkono na ninatoa tahadhari kwa wanajukwaa kudharau ulichoandika maana kina kila dalili ya ubabaishaji. Maana hujatoa hata mchanganuo ni kwa muda gani itakuchukua!? Utatumia technical analysis za Fibonacci au utatrade fundamental news pekee!? E.t.c ili kufikia lengo lako.

Pia nawahasa newbie usimpe mtu akutredie hata kama ni profession trader Forex ni kama baiskeli ili kujua kuendesha lazma uumie. Siwadanganyi if you have never blown your account then you have never trade. Go into the market let it kill you...ila akili ina tabia moja psychologically ikifanya kitu kwa muda mrefu inaadapt na kuzoea namna nzuri ya kulifanya hilo suala na automatically utakuwa vizuri tu. Umeme ukikatika ukiwa ndani ya nyumba huwezi kukosea kujua kiberiti kilipo humo ndani gizani..maana akili ishaadapt..ndio maana kuna neno mazoezi ina maanisha kukifanya kitu kwa kurudia rudia hadi uweze kukizoea kitu..trade mwenyewe uizoee Market and that's why kuna Demo account Yule dogo millionaire wa South afrika kupitia Forex anaitwa Sandile Shezi akiwa na miaka 18 tu yeye alitrade demo yenye jumla ya dola 400 kwa miezi sita then alipoona amekuwa consistency profitable trader kwa kamtaji kadogo ka dola 400 kukakuza vizuri then akaanza kutrade real account..but akili itarespond automatically na utakuwa consistency profitable trader once ukitrade mwenyewe. Just learn how to manoeuvre in the big ocean alone.

If you want to be strong learn how to fight alone....yes alone!

Good sailer are made in storm oceans
Good driver are made on the rough road.

"Umia ujae"
Dah...rafiki you need to write a book aisee. You can't believe ninascreen shot comments zako na nazisoma mara nyingi. Unaandika vitu ambavyo for me vina count over 70% ya mafanikio ya trader. Tunashukuru sana rafiki
 
hivi ina chikua muda gani pesa kuonekana ktk a/c yangu ya forex baada ya kudeposit through Mpesa... maana naona lisaa na zaidi linakatika...
 
Maandishi yako yamejaa ahadi za uhongo ni mithili ya mwanaume anaetongoza unajaribu kutaka kuwaaminisha watu tofauti na uhalisia.

Kimsimgi sikuungi mkono na ninatoa tahadhari kwa wanajukwaa kudharau ulichoandika maana kina kila dalili ya ubabaishaji. Maana hujatoa hata mchanganuo ni kwa muda gani itakuchukua!? Utatumia technical analysis za Fibonacci au utatrade fundamental news pekee!? E.t.c ili kufikia lengo lako.

Pia nawahasa newbie usimpe mtu akutredie hata kama ni profession trader Forex ni kama baiskeli ili kujua kuendesha lazma uumie. Siwadanganyi if you have never blown your account then you have never trade. Go into the market let it kill you...ila akili ina tabia moja psychologically ikifanya kitu kwa muda mrefu inaadapt na kuzoea namna nzuri ya kulifanya hilo suala na automatically utakuwa vizuri tu. Umeme ukikatika ukiwa ndani ya nyumba huwezi kukosea kujua kiberiti kilipo humo ndani gizani..maana akili ishaadapt..ndio maana kuna neno mazoezi ina maanisha kukifanya kitu kwa kurudia rudia hadi uweze kukizoea kitu..trade mwenyewe uizoee Market and that's why kuna Demo account Yule dogo millionaire wa South afrika kupitia Forex anaitwa Sandile Shezi akiwa na miaka 18 tu yeye alitrade demo yenye jumla ya dola 400 kwa miezi sita then alipoona amekuwa consistency profitable trader kwa kamtaji kadogo ka dola 400 kukakuza vizuri then akaanza kutrade real account..but akili itarespond automatically na utakuwa consistency profitable trader once ukitrade mwenyewe. Just learn how to manoeuvre in the big ocean alone.

If you want to be strong learn how to fight alone....yes alone!

Good sailer are made in storm oceans
Good driver are made on the rough road.

"Umia ujae"
Nakubali
 
pole mkuu... ulitumia trader yupi... na sababu zipi zilikupelekea kuchoma hiko kiasi?
templerFX
kutoridhika na profit niliyokuwa nimeipata nilitarajia soko litazdi kupanda Mara gafla soko likashuka mno na sikuwa nimeweka limits
account chali
 
1c3ebea8e597352f1005d1c1cf048b5b.jpg
 
Magwiji naombeni mnitafsirie namna ya kusoma na kutafsiri News kama hii
 
Attachments

  • 1519450346100.png
    1519450346100.png
    22.8 KB · Views: 53
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom