Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Boss nnahisi kama haukumwelewa jamaa yeye alimaanisha SL anakuwaga anaisogeza pindi trend ikiwa ishahamia kwenye faida so nnahisi anachofanya ni sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu haifai,MWANA WA NGURUMO yupo sahihi..stop loss ukiiweka hufai kuisumbua tena..bora uende mwendo wa trailing SL..sababu ni kwamba,SL ni kama hand break ya kusimamisha hasara pindi itokeapo..a good trader lazima uwe umeshafanya hesabu yako awali na kujua risk reward ratio yako..hivyo,hata ukipoteza 1$ ukifata 2$ itakuwa sawa...kifupi,stop loss unapoiweka unajua kwamba hata ukipoteza hiyo amount haitaadhiri margin balance yako..
 
KEMUODIO yuko sahihi!! SL inaweza tumika kama mechanism ya kuzua losses pia inaweza tumika kama exit strategy ya kukutoa sokoni ukiwa na profit incase soko limeenda kombo!!

Unachofanya, kama ume go-long kwenye pair, ni kuisogeza pindi profit inapopanda na incase soko likiharibika utatoka sokoni ukiwa na profit na sio loss (incase ungeiacha at its initial point)! In this case inakua inafanya kazi kama trailling SL japo wewe ndio utakua unasogeza!

Inshort SL sio tu inatumika kukulinda na losses ilasometimes inaweza tumika ili ku-retain profit uliyoipata!

Nawashauri mkasome kitabu cha NAKED FOREX TRADER kwenye chapter ya EXIT STRATEGIES!! Mtaona yote humo!!
mkuu Lodrick naomba kupinga..upo sahihi kwa mtazamo wako ila i totally disagree na hiyo idea ya kutumia stop loss kurinda profits zako..

Najua unaelewa maana ya "REQUOTING" mkuu..kwa ambavyo soko lipo volatile,ni vigumu kubashiri kipi kitatokea dakika moja ijayo au sekunde kadhaa zijazo..hivyo,SIO SAHIHI kwa njia yoyote ile kuiondoa stop loss yako ulipoiweka..kama asemavyo MWANA WA NGURUMO,it shows lack of discipline in your trading strategy..

turudi kwenye requoting,hapa ni pale unapotaka kuexcecute an order ila inagoma kwa sababu prices ulizokuwa umechagua zimebadilika kabla haujabofya kile kitufe cha place order au modify order,hivyo broker akakupa prices zingine...hivi unapata picha soko likianza kuenda kinyume kwa ile kasi ya umeme na wakati huo ndio una adjust stop loss?..je unapata picha ya huzuni itakayokukumba pindi ukiona kitu kimepita ulipoiweka stop loss yako mara ya kwanza?..

kifupi nachosema ni kwamba,stop loss inafaa itumike kwa ajili ya kukurinda usije ukaingia hasara na ndiyo maana unaifanyia hesabu kwanza ukajua where to place it...haifai kutumika kama exit point upande wa faida.kuna take profits tutumie hizo..its the reason as to why they exist..

objections are welcome..
 
Duh! Siku zote hii thread nilikuwa naipotezea hata kuifungua tu maana nilikuwa sielewi hata heading yenyewe!

Leo nimeifungua ki utani utani baada ya kuona wachangiaji wanazidi kuongezeka siku hadi siku

Ki ukweli nimesoma maelezo yote na comments za wachangiaji kadhaa nimejikuta nahamasika sana

Tatizo kubwa niko mbali kidogo na dsm na kama tujuavyo mikoa mingi haijaendelea kiasi hicho

Natamani sana kupata material zaidi kujifunza! Mwenye kujua tunayapataje tafadhali hasa sisi tulio mkoani tuelekezeni tutakapo yapata!

Mkuu viking.
Naomba na mimi nikupinge kama ifuatavyo. Stop inaweza ikafanya kazi mbili,

1. Itatumika kuzuia usipate hasara zaidi endapo price itakwenda against na plan zako. Na hii ndio kazi kubwa ambayo watu wengi wanatumia

2. Itatumika kusecure profits zako in case kama uliiadjust and price imegoma kuhit your take profit. Kwa mfano umeenter a long position and umeshakusanya pips kadhaa, price bado inapanda lkn bado haijafika kwenye TP. Unao uwezo wa kuadjust stop loss yako ili hata kama price haitahit TP then ikareverse, basi usipoteze pips zako ulizokuwa umekusanya. Vipi kama hujuadjust SL yako then price ikareverse kabla ya kuhit TP then ikarudi mpaka ikagusa tena stop loss, si utakuwa umeingia hasara???

STOP LOSS INAWEZA KUHAMISHIKA NA NDIO MAANA KUNA TRAILING STOP LOSS AMBAPO TOFAUTI YAKE NA STOP LOSS YA KAWAIDA NI KWAMBA TU YENYEWE INAHAMA AS THE PRICE MOVE ON YOUR SIDE

I stand to be corrected.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu haifai,MWANA WA NGURUMO yupo sahihi..stop loss ukiiweka hufai kuisumbua tena..bora uende mwendo wa trailing TP..sababu ni kwamba,SL ni kama hand break ya kusimamisha hasara pindi utikeapo..a good trader lazima uwe umeshafanya hesabu yako awali na kujua risk reward ratio yako..hivyo,hata ukipoteza 1$ ukifata 2$ itakuwa sawa...kifupi,stop loss unapoiweka unajua kwamba hata ukipoteza hiyo amount haitaadhiri margin balance yako..
Halafu naomba nikucorrect hapo kidogo. Hakuna kitu trailing TP. Na kama ulimaanisha trailing SL basi swala la kuhamisha stop loss halina shida yoyote. Kwa sababu kama uliweka stop loss katika order yako, then ukaamua kuset trailing stop loss, trailing stop losss ikianza kufanya kazi ile SL yako ya mwanzo haitaendelea kubaki. Itakuwa imeshageuka na kuwa trailing....

I stand to be corrected

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A TRADER IN DARK IS A TRADER IN RED

Head and shoulders pattern is pouring blues

6a13e52ce0ff8ffaa53357e854e37984.jpg

66f619464cfdcf6f83dcd93beec6cfc3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
E bwana hongera! Naona top-reversal patterns unazipatia sana. Big up. ingawa SL siooni. utakuwa na 100% uhakika na pattern yako haha! Safi sana
 
Duh! Siku zote hii thread nilikuwa naipotezea hata kuifungua tu maana nilikuwa sielewi hata heading yenyewe!

Leo nimeifungua ki utani utani baada ya kuona wachangiaji wanazidi kuongezeka siku hadi siku

Ki ukweli nimesoma maelezo yote na comments za wachangiaji kadhaa nimejikuta nahamasika sana

Tatizo kubwa niko mbali kidogo na dsm na kama tujuavyo mikoa mingi haijaendelea kiasi hicho

Natamani sana kupata material zaidi kujifunza! Mwenye kujua tunayapataje tafadhali hasa sisi tulio mkoani tuelekezeni tutakapo yapata!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta vizuri ,kuna vitabu kibao viko attached hapa

Page 321 kuna vitabu viwili, kingine hiki kidogo kitakupa picha kwa ifupi kuhusu fx
 
Attachments

  • forex-survival-guide-secrets-1.pdf
    1.4 MB · Views: 71
Halafu naomba nikucorrect hapo kidogo. Hakuna kitu trailing TP. Na kama ulimaanisha trailing SL basi swala la kuhamisha stop loss halina shida yoyote. Kwa sababu kama uliweka stop loss katika order yako, then ukaamua kuset trailing stop loss, trailing stop losss ikianza kufanya kazi ile SL yako ya mwanzo haitaendelea kubaki. Itakuwa imeshageuka na kuwa trailing....

I stand to be corrected

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu..nilimaanisha trailing stop loss...
 
Mkuu viking.
Naomba na mimi nikupinge kama ifuatavyo. Stop inaweza ikafanya kazi mbili,

1. Itatumika kuzuia usipate hasara zaidi endapo price itakwenda against na plan zako. Na hii ndio kazi kubwa ambayo watu wengi wanatumia

2. Itatumika kusecure profits zako in case kama uliiadjust and price imegoma kuhit your take profit. Kwa mfano umeenter a long position and umeshakusanya pips kadhaa, price bado inapanda lkn bado haijafika kwenye TP. Unao uwezo wa kuadjust stop loss yako ili hata kama price haitahit TP then ikareverse, basi usipoteze pips zako ulizokuwa umekusanya. Vipi kama hujuadjust SL yako then price ikareverse kabla ya kuhit TP then ikarudi mpaka ikagusa tena stop loss, si utakuwa umeingia hasara???

STOP LOSS INAWEZA KUHAMISHIKA NA NDIO MAANA KUNA TRAILING STOP LOSS AMBAPO TOFAUTI YAKE NA STOP LOSS YA KAWAIDA NI KWAMBA TU YENYEWE INAHAMA AS THE PRICE MOVE ON YOUR SIDE

I stand to be corrected.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kunisaidia mkuu wangu!!

Nadhani the viking atakua amekupata. Kama akiwa na wasi wasi ni vyema akapitie kitabu cha NAKED FOREX kwenye chapter ya EXIT STRATEGIES, hiki kitu kimeelezewa kule kwa undani sana!!

Once again, Thank you!
 
Njia nyepesi ya kutoa pesa kutoa account moja kwenda nyingine online, mfano kutoka skrill kwenda adv cash au kutoka paypal kwneda adv cash, Pia kutoa pesa adv cash kwenda account yako ya bank(via VISA au MASTER CARD) na just a minute unakuwa umepokea pesa yako hakuna cha kusubiri kama unavyotuma pesa kwenda broker kwenda kwenye VISA CARD au MASTER CARD unasubiri 14days au 10days paka kufika kwenye account yako ya bank.

Pitia link hii uone mwenyewe: E-currency exchanger listing, best rates from reliable exchangers
 
mkuu Lodrick naomba kupinga..upo sahihi kwa mtazamo wako ila i totally disagree na hiyo idea ya kutumia stop loss kurinda profits zako..

kifupi nachosema ni kwamba,stop loss inafaa itumike kwa ajili ya kukurinda usije ukaingia hasara na ndiyo maana unaifanyia hesabu kwanza ukajua where to place it...haifai kutumika kama exit point upande wa faida.kuna take profits tutumie hizo..its the reason as to why they exist..

objections are welcome..

Kasome kitabu cha NAKED FOREX chapter 11 (Existing the trade)
From screenshot:

Briefly,

Namba 1: SL inawekwa mwanzoni kukukinga na losses kama soko likienda hivyo.

Namba 2: stop loss imesogeza ili incase trend ikibadika utoke sokoni ukiwa na faida kiasi.

Namba 3: SL imesogeza chini zaidi baada ya trend kuendelea kushuka, kama utaona hapo chini baada ya trend ku-reverse position imefungwa na SL na kumuacha trader akiwa na faida!!

Ukiweza soma kitabu chote kitakusaidia sana, ukikimaliza utaelewa nilichoandika. Karibu mkuu!
Captureexit.PNG
 
View attachment 568145
exactly, simply tunaita ku lock profits
Steve Nison huwa anasisitiza uianza kuona candle signals zinazoonesha market momentum inapungua, "move stops and take some profits "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa kunisaidia mkuu wangu!!

Nadhani the viking atakua amekupata. Kama akiwa na wasi wasi ni vyema akapitie kitabu cha NAKED FOREX kwenye chapter ya EXIT STRATEGIES, hiki kitu kimeelezewa kule kwa undani sana!!

Once again, Thank you!
nimeelewa kaka..ila wasiwasi wangu ulikua hapo kwenye requote manake niliwahi kuexperience hilo jambo..tena nilishasoma sehemu kwamba kama platform unayoitumia haina trailing stop loss waweza ukabuni yako kwa kuiadjust ile Stop loss ya kawaida..ila kuna wakati flani nilikuwa nafanya hivyo kisha kabla ya kumodify kitu kikashuka ghafla na kunighalimu sana..
 
Kwa nnachojua reqoutes mara nyingi ni tatizo la broker kama broker na sio tatizo la SL, na sio muda wote inatokea mara nyingi inatokea wakati soko likiwa lina-move so fast (hasa wakati wa news release)!

Kuna sehemu (sio official lakini) nilisoma wao wanadai requotes mara nyingi zinatokea kwa ECN/STP brokers maana wao ili ku-excute any trade lazima wawasiliane na liquid provider wao kama benki kubwa, financial institutes and the alike!

Sasa muda wanawasilisha oda kwa liquid provider wakirudi kwako wanakuta bei zimebadilika so bei waliyokuletea na uliyoweka oda zina kua haziendani na mwisho wa siku wanakupa bei yao na ndipo panatokea kitu inaitwa "requote"!

Tofauti na market markers ambao wao most of time ndio wanapokea oda zako na kuzi-fill!! "nakushauri ukafanye research zaidi maana sio taarifa official"

Karibu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom