Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Boss hebu tuache tuendee na tulipoanzia, usikusanye vitu usivyovitawanya... usituwekee giza na tuna tochi mikononi. Nilishakuomba uwe honest with what you do and say, kama kitu hukijui ni bora utulie ndugu si kupoteza watu maboya. Please nakuomba ubehave boss, heshimu watu kama unavyoheshimiwa, humu kuna watu wana umri wa baba zetu. Sijui km ni sahihi kum'mislead mtu mwenye umri wa mzee wako.

Yawezekana skrill hata huijui, unaingia tu Google ananyonya mashudu kisha unakuja kuyatapika hapa barazani bila kuzoa. Tangu lini Skrill haipokei USD?? Hiyo sheria ya lini au ni kwako tu?? Hivi ninavyoandika balance yangu ya skrill ni $1,776.43. Transactions zangu zote za deposit na withdraw ni ktk USD. Sijui hata umewahi kutumia e wallet yoyote ndugu. Skrill anapokea currencies zaidi ya 40.

Back to topic...

Skrill wanaposema hawafanyi wire transfer basically wanamaanisha hawana tena utaratibu wa kuhamisha fedha directly kutoka kwa bank a/c yako hadi kwa bank a/c ya receiver. Yani hawafanyi kama mabenki yanavyofanya SWIFT transaction. So wao wanahitaji uwe na account nao, then uruhusu pesa zitoke from your bank a/c hadi kwenye skrill account yako. Baada ya hapo sasa unaweza kutuma kwa mtu mwenye skrill (linked email) sio kutuma directly kwa bank account ya receiver. Pesa ikishafika kwa skrill account ya receiver yeye sasa ataweza kuichomoa directly kwa mastercard ya skrill ama kuiingiza kwa bank account yake.

Ikitokea ukamtumia mtu ambaye hana skrill account, basi kwa kutumia ile email uliyoifund pesa, watamshauri receiver afungie skrill account kutumia hiyo email, kisha ataweza kupata hizo pesa.

I personally use skrill kwa pesa ndogo ndogo, less than $5000. Lkn kwa pesa kubwa nampigia broker wangu simu, kisha na'file up forex credit invoice ili anifanyie wire/SWIFT transfer. It's FAST & SAFE.

Cheers!! Saa 02:18 good night guys.

Thank You Sir ONTARIO .
 
2d0af12babf08c4b3ff9cde9abc69d95.jpg

For the love of pips

Ukiweka small lot size hupati mchecheto market ikienda Kushoto kwa muda. Trade za jana jioni . Sitaki makuu bado mchanga, 400 - 500 pips per day
 
Nilufungua wallet ya skrill karibuni iliniletea message hiyo nikashindwa kuendelea na currency nili opt usd.Nilitafuta usaidizi mitandaoni na kujaribu kuanza kufungua tena kama user mpya kwa currency ya euro ikikubali na hata nilipo hamisha pesa kutoka kwenye cash card yangu ilikubali japo ina display usd currency.ushahidi nna ila sina jinsi sababu hata niki screenshot saiz tutarudi kwenye mambo yaleyale ya nyuma niliokosea na utashikilia kidedea.mindset yako nimeshaifahamu that you cant accept to be outshined at any cost you will fight to make the oponent disapper sababu unahisi na unaamini kwenye maisha yako your perfect na kwa kukuheshimu sababu hata huu uzi umeanzisha wewe nitakua observer utakua responsible kwa maelekezo yote na kujibu maswali yote mpaka utakapo anza darasa lako na mm ntakuepo pia sababu sijawai pewa lecturer nje ya kujisomea vitabu ili pia niongeze confidence na mbinu zaidi ntakapo anza trades.Asanteni wanajukwaa kwa ushirikiano wenu kwa hali yoyote ile yakunipinga na kunisupport at the time being.your safe now na Mr.ontario never feel insecure from now mimi ni observer.....Good luck na Mungu akusaidie darasa tulianze mapema tuingie vitani kutafuta pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba sana tena sana zingatieni sana hili darasa ambalo ss watu tunao penda fx tumeamua kwa ridhaa yetu kujiweka chini ya mwamvuli wa bwanamdogo Ontario ieleweke kuwa tupo watu warika tofauti hivyo rugha zinazotumika zizingatie maadili na ustarabu wetu mademu wa Kali hapa si mahali sahihi kuzungumzia naomba niseme msitufanye sisi wazee tujione tumejichanganya mahali pasipo faa tunao binti zetu tunajifunza nao humu naomba msamaha kama nimewakwaza wadau wa fx mafundisho mafundisho mafundisho hapa mahalapake nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayaaaa! SJ hiyo kitu ya kukaa nayo mbali aiseee!
Inabidi nikuwekee ulinzi hivi vitu vinarudisha nyuma maendeleo binafsi...vinaathiri sana balance sheet both in assets and liabilities sides.

Mkuu watu wanakwazika huku...usiendeleze hii Mada....nimeshaomba msamaha tho....nilaumiwe mm kwa kuanzisha hii kitu.
 
Naomba sana tena sana zingatieni sana hili darasa ambalo ss watu tunao penda fx tumeamua kwa ridhaa yetu kujiweka chini ya mwamvuli wa bwanamdogo Ontario ieleweke kuwa tupo watu warika tofauti hivyo rugha zinazotumika zizingatie maadili na ustarabu wetu mademu wa Kali hapa si mahali sahihi kuzungumzia naomba niseme msitufanye sisi wazee tujione tumejichanganya mahali pasipo faa tunao binti zetu tunajifunza nao humu naomba msamaha kama nimewakwaza wadau wa fx mafundisho mafundisho mafundisho hapa mahalapake nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
"Mtaka cha uvunguni sharti ainame"........nimeanza na huu msemo wa wahenga unaotukumbusha kuwa wakati mwingine nature inatulazimu kuendana nayo,nafikiri ni busara kuchukua yale unayokusudia kujifunza kutoka katika darasa,na yale unayoona hayafai basi ukayapuuza tu,kila mtu akitaka misingi yake anayoiamini ifuatwe hapa sidhani kama tutaenda,kuheshimiana kuna maana ndefu,kutokuingilia uhuru wa wengine ni heshima pia,vinginevyo hili suala la kutaka watu wa act in regard na terms za mtu binafsi sidhani kama litafanikiwa katika huu ulimwengu wa smartphones,utajikuta unaumiza kichwa bure kwa kutaka kucontrol kila kitu katika jamii inayokuzunguka,ni ushauri,don't take it personal!.....
NB:boys will be boys!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu wanakwazika huku...usiendeleze hii Mada....nimeshaomba msamaha tho....nilaumiwe mm kwa kuanzisha hii kitu.

Of course yes mr.hata mimi nilikuwa against hii kitu sema tu niliandika kwa kutumia tafsida zaidi ili kuondoa ukakasi.
Kwangu mimi hao inzi hawatui kny ngozi yangu kabisa yani.
Just me n my wife.
 
Hahahaa, ontario naona umedelete your recent post. Nilitaka kukwambia uifute maana ilikuwa inakuimpersonate. Isingekuwa poa vile post ilivyokuwa. That gentlemen advice you gave to our fella in the last paragraph was supposed to go undercover ukizingatia you are verified. It is good tumeiona wachache hiyo post.

By the way, kwa comment hizi mtafanya wadau wafurike katika hiyo branch ya FNB.

Inabiidi branch manager wa hilo tawi amfikirie mara mbili huyo dada, kwani naamini hayo mafuriko yatakuwabzaidi ya yale ya Ulipo tupo mwaka ule 2015.

Hahaaahaaahh
 
Ila sikutaja ni branch gani...sasa itabidi wazunguke branch zote kumtafuta huyo Mdada.....hahahahaaaaa

Hahahahha, raia wakitaka kukamilisha mambo yao hawashindwi jambo aisee. Mtu atasacrifice siku nzima anazungukia branch zote za bank anascan dada mwenye sifa ulizotaja.

Achana na mafisi kabisa, hawashindwi kujipa assignments halafu wakajisahishia wenyewe. Heheheeehee.
 
Nilufungua wallet ya skrill karibuni iliniletea message hiyo nikashindwa kuendelea na currency nili opt usd.Nilitafuta usaidizi mitandaoni na kujaribu kuanza kufungua tena kama user mpya kwa currency ya euro ikikubali na hata nilipo hamisha pesa kutoka kwenye cash card yangu ilikubali japo ina display usd currency.ushahidi nna ila sina jinsi sababu hata niki screenshot saiz tutarudi kwenye mambo yaleyale ya nyuma niliokosea na utashikilia kidedea.mindset yako nimeshaifahamu that you cant accept to be outshined at any cost you will fight to make the oponent disapper sababu unahisi na unaamini kwenye maisha yako your perfect na kwa kukuheshimu sababu hata huu uzi umeanzisha wewe nitakua observer utakua responsible kwa maelekezo yote na kujibu maswali yote mpaka utakapo anza darasa lako na mm ntakuepo pia sababu sijawai pewa lecturer nje ya kujisomea vitabu ili pia niongeze confidence na mbinu zaidi ntakapo anza trades.Asanteni wanajukwaa kwa ushirikiano wenu kwa hali yoyote ile yakunipinga na kunisupport at the time being.your safe now na Mr.ontario never feel insecure from now mimi ni observer.....Good luck na Mungu akusaidie darasa tulianze mapema tuingie vitani kutafuta pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijaribu kuprove any point kwa namna yoyote ile, najaribu tu kuconnect dots. Mimi hua ni mpenzi wa vitabu, tangu nipo Advance na chuo ndio alikuwa almost my biggest hobby, niliosoma nao wananifahamu vizuri, muda mwingi nilikua nasoma extra curricular book.

Kuna kitabu nilikisoma mwaka jana kimeandikwa na mwanamama Maria kinaitwa The Confidence Game ni kitabu kinachochambua zaidi psychology con artists ama kwa kiswahili tunaweza kusema mlaghai ama tapeli. Nakumbuka nilipigwa mpunga mrefu sana na Mzanzibari, ana ndevu hadi tumboni. It's one of my biggest adventures in my entrepreneurial journey.

Huyu mwanamama anasema kwamba matapeli wana tatizo la kisaikolojia lijulikananalo kama Narcissistic Personality Disorder (NPD)

Nini kinamsukuma mtu awe con artist

●Matatizo ya kiuchumi ya victim. Tapeli hua anang'amu kua mtu fulani ana tatizo, hivyo huweka mazingira ya mtu huyo kuamini kua huyo con artist ataweza kumsaidia kutatua matatizo yake kiuchumi.

●Matatizo ktk mapenzi au ndoa ya victim. Hii imekaa katika walaghai ktk mahusiano. Watu wenye nia ya ku-hit and run

●Furaha iliyozidi kifani ama tuseme over excitement. Tapeli akijua unafuraha iliyopitiliza basi ni mwanya wake kukuingia ili akudake vzr, maana katika kipindi hiko watu wengi wanashindwa kutumia ubongo.

Sasa huyu con artist anakua na sifa gani

●Ni mtu anayependa sana kujikweza. Unakuta mtu ana exaggerate mafanikio yake, umiliki na hata kipaji. Anataka aonekane ana achievements kubwa na watu wajue yeye ni mbabe/superior hata kama hakuna alichoachieve.

●Ni mtu anayeamini yeye ni mtu wa thamani kuliko watu wengine wote. Anaamini yeye ni intelligent kuliko watu wote, na mara zote anahisi kila mtu anakubaliana na mawazo yake.

●Anakua interpersonally exploitative, tuseme anatumia matatizo au changamoto za watu wengine kujinufaisha yeye binafsi, wala hajali maumivu atakayomsababishia victim.

●Mara zote mtu mwenye NPD hakubali kuwa ametenda kosa, hayupo tayari kurekebishwa. Muda wote atapambana juu chini kujinasibu kua hakuwa na nia mbaya, alikua na nia njema lkn watu wengine wamemchukulia kinyume. Pia kufanikisha hilo atatafuta huruma ya watu kwa kutumia maneno ya ukarimu na busara.

●Hawa watu wanapenda sana kuwa admired na kutafuta heshima. Akisema kitu hatatoa ushahidi bali atakimbilia kusema tazama statistics, soma biblia, waulize ndugu zangu nk nk.

Sisemi kua wewe ni mtu wa namna hiyo lkn nipo tu nina connect dots. Kuna con artist duniani walitokea kwa kuacha alama kubwa sana, hahhaa mmoja ni huyu Lustig ambae anajulikama kama mtu aliyeuza Eiffer Tower (kuna uzi wa Bold kamzungumzia vzr sana) Afu kuna huyu Charles Ponzi aliyebuni Ponzi scheme.

Na mara nyingi sana wanasiasa wa kiafrica ni Con Artists, wengi matapeli hata Bongo tunao. Usiombe uingie kwenye mikono ya hawa watu.
 
Mkuu unataka kutwambia kuwa zile Screenshot za jana ulizoweka ni zakwako? Hebu funguka vizuri sio kumrushia vijembe Mr. Ontario!
 
Well said
Ninajifunza vitu vingi sana hata nje ya forex. Sikuwa na tabia ya kusoma extra curricular books, but you have inspired me a lot kusoma vitu vingi kuongeza knowledge.

KNOWLEDGE IS POWER

Mkuu umemkamatia sehemu nzuri sana.
Hatarudia tena huo ulaghai wake.
 
Habari za asubuhi wakuu,mie nafatilia vizuri sana huu uzi na niliisha wahi kuchangia kipindi cha nyumba,Kama kwenye huu uzi kuna wadau wanaoishi zanzibar naomba mni PM ili tuweze kuweka mpango mkakati wa kukutana na Ontario,kipindi cha nyuma aliwahi kuniambia zenji ni Kama nyumba kwa pili kwake yeye hasa pale Prison Island anapapenda sana,nahisi baada ya kufanya majukumu yake Mazito kisiwa kile ni sehemu mujarabu kupumzika na ku meditate.

Ontario aliwahi kunipa kazi ya kukusanya watu ambao wana interest za kujua Fx ili tuwe Kama group moja kubwa halafu yeye kadri atakavyoweza atakuja kutupiga somo,nimepita pita sehemu nyingi hasa za watu ambao nahusiana nao kikazi (mie ni muongozaji wageni- tour guide) lakini kila nikiwaeleza kuhusu huu uzi wana kuwa Kama wanataka Ila nimegundua kuwa wengi hawataki kusoma hivyo Vitabu, na katika Forex kauli mbiu ni kusoma kusoma kusoma kila siku na kila Muda unaoupata. Sasa katika hilo siwezi kuwalazimisha watu waijue FX wakati kusoma vitabu elekezi vilivyowekwa hapa wanaona uvivu.

Kama kuna ambao wapo huku tayari naomba tuwasiliane,najua kwa maombi maalum kwa kijana mwenye Roho ya kipekee Mr.Ontario anaweza akatupatia nafasi moja siku mafunzo yakianza,ili japo huyo mmoja are kuwa chachu ya wengine visiwani humu.

Mr.Ontario baada ya seminar na batch ya kwanza njoo upumzike japo siku moja zenji ili urudishe nguvu zako,maana hiyo seminar itakuwa balaaa halafu mengine utatushauri ukiwa huku.

Naomba unisahihishe sehemu yoyote Kama ntakuwa nimeongea kinyume na Nia yako au kukumisquote.

Narudi kusoma Astro Fx,ntarudi baadae, God Bless US pip hunters
 
2d0af12babf08c4b3ff9cde9abc69d95.jpg

For the love of pips

Ukiweka small lot size hupati mchecheto market ikienda Kushoto kwa muda. Trade za jana jioni . Sitaki makuu bado mchanga, 400 - 500 pips per day

Trades zako ziko sahihi sana boss wangu. Hongera sana kwa hapo ulipofikia. Hata mimi nina trades za GBPUSD, zinafanya vzr sana. Lkn suala la kuchukua pips 400 kwa siku sahau boss wangu. Labda kama bado haujapata utaalamu wa kuhesabu pips. Hata mimi na uzoefu wote huu nikipata pips 500 kwa wiki najiona nimeiotea market. Sasa wewe hizo unazitaka kwa siku . NFP ikija kwa kasi unaweza laza pips hadi 250 kwa siku, but not otherwise.

Mfano hapo kwa Cable unekusanya pips 27 tu, kwa siku unaeza daka hata pips 80.
 
Mkuu sijaribu kuprove any point kwa namna yoyote ile, najaribu tu kuconnect dots. Mimi hua ni mpenzi wa vitabu, tangu nipo Advance na chuo ndio alikuwa almost my biggest hobby, niliosoma nao wananifahamu vizuri, muda mwingi nilikua nasoma extra curricular book.

Kuna kitabu nilikisoma mwaka jana kimeandikwa na mwanamama Maria kinaitwa The Confidence Game ni kitabu kinachochambua zaidi psychology con artists ama kwa kiswahili tunaweza kusema mlaghai ama tapeli. Nakumbuka nilipigwa mpunga mrefu sana na Mzanzibari, ana ndevu hadi tumboni. It's one of my biggest adventures in my entrepreneurial journey.

Huyu mwanamama anasema kwamba matapeli wana tatizo la kisaikolojia lijulikananalo kama Narcissistic Personality Disorder (NPD)

Nini kinamsukuma mtu awe con artist

●Matatizo ya kiuchumi ya victim. Tapeli hua anang'amu kua mtu fulani ana tatizo, hivyo huweka mazingira ya mtu huyo kuamini kua huyo con artist ataweza kumsaidia kutatua matatizo yake kiuchumi.

●Matatizo ktk mapenzi au ndoa ya victim. Hii imekaa katika walaghai ktk mahusiano. Watu wenye nia ya ku-hit and run

●Furaha iliyozidi kifani ama tuseme over excitement. Tapeli akijua unafuraha iliyopitiliza basi ni mwanya wake kukuingia ili akudake vzr, maana katika kipindi hiko watu wengi wanashindwa kutumia ubongo.

Sasa huyu con artist anakua na sifa gani

●Ni mtu anayependa sana kujikweza. Unakuta mtu ana exaggerate mafanikio yake, umiliki na hata kipaji. Anataka aonekane ana achievements kubwa na watu wajue yeye ni mbabe/superior hata kama hakuna alichoachieve.

●Ni mtu anayeamini yeye ni mtu wa thamani kuliko watu wengine wote. Anaamini yeye ni intelligent kuliko watu wote, na mara zote anahisi kila mtu anakubaliana na mawazo yake.

●Anakua interpersonally exploitative, tuseme anatumia matatizo au changamoto za watu wengine kujinufaisha yeye binafsi, wala hajali maumivu atakayomsababishia victim.

●Mara zote mtu mwenye NPD hakubali kuwa ametenda kosa, hayupo tayari kurekebishwa. Muda wote atapambana juu chini kujinasibu kua hakuwa na nia mbaya, alikua na nia njema lkn watu wengine wamemchukulia kinyume. Pia kufanikisha hilo atatafuta huruma ya watu kwa kutumia maneno ya ukarimu na busara.

●Hawa watu wanapenda sana kuwa admired na kutafuta heshima. Akisema kitu hatatoa ushahidi bali atakimbilia kusema tazama statistics, soma biblia, waulize ndugu zangu nk nk.

Sisemi kua wewe ni mtu wa namna hiyo lkn nipo tu nina connect dots. Kuna con artist duniani walitokea kwa kuacha alama kubwa sana, hahhaa mmoja ni huyu Lustig ambae anajulikama kama mtu aliyeuza Eiffer Tower (kuna uzi wa Bold kamzungumzia vzr sana) Afu kuna huyu Charles Ponzi aliyebuni Ponzi scheme.

Na mara nyingi sana wanasiasa wa kiafrica ni Con Artists, wengi matapeli hata Bongo tunao. Usiombe uingie kwenye mikono ya hawa watu.
Mr.ontario unakipaji kikubwa but ego yako jaribu kuicontrol umeji expose sana kwamba umesoma vitabu vingi labda kucreate influence watu waamini kama wewe juu yangu siwezi kukubishia wala kukubalina na ww kwamba mimi ni tapeli...lakini bado uhakika huna kuwa mimi ni tapeli au laa au ww umesoma vitabu vingi kuliko mm au laa.I have nothing personal na ww its only business matter ndo inayotuweka humu kufuata uzi wako ili tufanikiwe.Kuna kitu kidogo sana una miss kwenye personality yako kwa kuku saidia soma kitabu kinaitwa "48 laws of power" kitaku shape uwe mtu smart,hata kama hutashindwa ntakutumia pdf yake kama utahitaji.muda mfupi ulikua umekoment mambo ambayo hayahusiani na humu kuhusu mwanamke wa FNB lakini nashukuru ulichukua hatua na ukalifanyia kazi kwa haraka.kama utachukulia ushauri wangu very personal na kunikejeri kwann am caring and digging much on your business kwamba nataka kukuaribia career yako napo sawa kwasababu siwezi kulimit au ku control wigo wako wa fikra kuperceive vitu kwasababu una weakness moja ndogo ambayo ukipambanua ni kubwa "your listening to reply,and not listening to understand".Nilikosea na nikiomba msamaha kwa sababu mimi ni binadamu nnajikwaa muda wowote ule hata ww naiman umekosea vingi katika maisha na hata kama bado basi unaelekea sababu kila binadamu anamapungufu hakuna mkamilifu.Watu wengine ambao wanakuwa spoiled na perception mbaya juu yangu wanashabikia vitu visivyo vya muhimu lakini hawawezi kunifanya nikae kimya kama naona kuna ulazima wa kuongea au kuchangia au kushauri sababu kwenye maisha siogopi kuchekwa au kupingwa sababu mm sio mediocrity i always live beyond my confort zone na nnapenda maisha hayo mm siko among "most people".Mr.ontario you either digest it or spit it out.Kazi njema chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom