demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,251
- 15,125
Mwalimu Mwl.RCT hili zoezi limefikia wapi....?na je litafanyika..?Naunga mkono hoja
Class session atakazokuwa nazo ONTARIO , zirekodiwe kitaalam, ziwe edited, iwe ni package yenye somo lililokamili kwa mtu kuweza kujifunza, na CD hizo ziuzwe (ili kurudisha cost zitazotumika kuzalisha hizi CD) kwa utaratibu utakao uweka ontario na team yake.
Nina hakiki wengi watanufaika na hizi CD mahala popote atakapokuwa.