Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
EU still holding... Expecting to do the most how does it look like? Learn first then remove letter "L"
Screenshot_20180831-171635.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaofundisha wenyewe hawana pesa, michongo ipi hiyo wanayoitoa wakati wao hawajatajirika kwanza? Tuliwaonya watu mapema wakatuona sisi tunawatilia mchanga kitumbua.
 
Wanaofundisha wenyewe hawana pesa, michongo ipi hiyo wanayoitoa wakati wao hawajatajirika kwanza? Tuliwaonya watu mapema wakatuona sisi tunawatilia mchanga kitumbua.
Ndio maana nawambia watu wakazane kujifunza (independent learners and traders) na kutrade ili wapige pesa kwenye market kuliko kila kukicha kwenye kila social media ni matangazo ya kufundisha watu forex trading. Majority ya hao wanaotangaza kufundisha wengine bado ni wachanga tu kwenye fx. Wanatafuta namna nyingine ya kupata hela ya kuishi tu hapa mjini. Kama ukiweza kutrade vizuri forex huna haja ya kuhangaika na kufundisha labda kama kuna mtu au watu wamekuomba uwafundishe. Hiyo hela ya kulipia mafunzo ni wachache wanaoweza kuafford labda uwafundishe kibongo bongo tu. Na isitoshe hiyo hela mbona unaweza kuipata kwenye fx hata ndani ya muda mufupi tu. SIM-ATTACK MTU YOYOTE HUMU ILA NIMEONA NI VYEMA KU-SHARE PIA HILI JAMBO MAANA SASA KILA MTU AMEKUWA MWALIMU WA FOREX BADALA YA TRADER! KUFUNDISHA WENGINE WANOHITAJI KUJUA FOREX NI MUHIMU LAKINI HAPA BONGO KIJANA AKIJUA TU BUY AND SELL, STOP LOSS, TAKE PROFIT NA JARGONS NYINGINE ZA FX BASI ANATAKA KUWA MFUNDISHAJI. LOOOO! NOT TO THIS EXTENT!
 
Kama unaondoka kwa sababu ya hizo comment hapo juu nitakushangaa sana! Mkuu kuwa na roho ngumu ya kubeba challenges. Ndio maturity yenyewe hiyo!
Tapeli achana nae huyo.

Natoa rai kwa newbie na wote mnaotaka kujua Forex , someni na itumieni YouTube vizuri kila Kitu kinapatikana. Amini nawaambia Mimi nilitumia zaidi ya miezi mitano na kucheki YouTube videos za Forex nilijikuta najua mambo mengi sana.

Achaneni na kupigwa kiboya. Ukiwa mvivu kwenye Forex lazima uneemeshe matapeli wanaokuja na vitraining uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SORRY GUYS FOR INCONVENIENCE!!! SITO POST TENA CHOCHOTE KINACHOHUSIANA FOREX HAPA.

ALL THE BEST

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss kama unasababu zako binafsi zinakufanya usipost sawa, ila kama ni kwababu ya comment za watu fulani ndo zinakuzuia nitakushangaa sana, maana fx traders niwatu wenye roho ngumu sana yakutokukata tamaa ,kutoyumbishwa namaneno laini laini hii yote nikwasababu ya magumu tunayokutananayo kwenye soko.
Mpaka sasa bado najiuliza hivi fx pro wakisema wasitoe mafunzo (basic) wakae tuu wafanye trading hivi leo kunamtu humu angekuwa anajua hata mt4 ni nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tapeli achana nae huyo.

Natoa rai kwa newbie na wote mnaotaka kujua Forex , someni na itumieni YouTube vizuri kila Kitu kinapatikana. Amini nawaambia Mimi nilitumia zaidi ya miezi mitano na kucheki YouTube videos za Forex nilijikuta najua mambo mengi sana.

Achaneni na kupigwa kiboya. Ukiwa mvivu kwenye Forex lazima uneemeshe matapeli wanaokuja na vitraining uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss kama unasababu zako binafsi zinakufanya usipost sawa, ila kama ni kwababu ya comment za watu fulani ndo zinakuzuia nitakushangaa sana, maana fx traders niwatu wenye roho ngumu sana yakutokukata tamaa ,kutoyumbishwa namaneno laini laini hii yote nikwasababu ya magumu tunayokutananayo kwenye soko.
Mpaka sasa bado najiuliza hivi fx pro wakisema wasitoe mafunzo (basic) wakae tuu wafanye trading hivi leo kunamtu humu angekuwa anajua hata mt4 ni nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Calm brah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom