Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ukweli ni huu latika forex
- Waweza kusoma mamia ya vitabui
- Waweza tazama mamia ya video za forex
Lakini mwisho wa siku BADO UTAHITAJI MTU WA KUKUELEKEZA MAWILI MATATU YA KUKUFANYA ULIKABILI SOKO VYEMA.

Mfano hai ni kwa wadau wote walio pata mafunzo toka TMT, ni wengi, ni zaidi ya 1,000 LAKINI MPAKA LEO ASILIMI 95% HAWAWEZI KUJITEGEMEA KWENYE ANALYSIS NA KUINGIA SOKONI WENYEWE. Bado wanahangaika na trading signal na wengi wao wamekwisha kata tamaa kabisa

(ANDIKA MAHALA HII SENTENSI NILIYOANDIKA KWENYE ITALIC, then fanya tafiti zako hapa JF na mtaani kwa ujumla wake)

JE UNAJUA NI KWANINI???

Utakapo ellewa ni kwanini ndio utaelewa nini nakizungumzia.

JE HIZO VIDEO NI ZANINI??? - NI KWA AJIRI YA KUPANUA UFAHAMU, UELEWA WA FOREX, Tatizo linakuja kwenyeUTUMIAJI KWA VITENDO KILE ULICHOKISOMA.

FX sio vitabu wala sio video, FX ni JINSI UNAVYOLIKABILI SOKO - Kuingia salama na kutoka salama.
View attachment 846480
Haya maandishi yana MAANA KUBWA SANA. Ukiyaelewa haya maandishi basi utanielewa kile ninachokifundisha.
Dah! Sawa mwl nimekuelewa sana tena sana mkuu. Hivyo basi Mimi niko Arusha na niko tayari kupata uzoefu wako maana kama vitabu nmesoma vyingi tu vya forex, videos nyingi nmecheki lakini bdo nachemka hasa kwa kipengele cha kuingia na kutoka sokoni, bado sina confidence, bado sijawa na focus ya kutosha kwenye hili soko.. Mt4 bado kuna vitu sjaweza kuvitumia vizuri.

Kibaya zaid niko alone nakomaa mwenywe na pia strategy bado sjaimasta fresh ..hivyo uwepo wako ni muhimu sana kwangu na kwa wote wenye niaje zadhibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Sawa mwl nimekuelewa sana tena sana mkuu. Hivyo basi Mimi niko Arusha na niko tayari kupata uzoefu wako maana kama vitabu nmesoma vyingi tu vya forex, videos nyingi nmecheki lakini bdo nachemka hasa kwa kipengele cha kuingia na kutoka sokoni,
Yes, Ye,s Yes,
Hapa umepin point kitu ninachokifanya. Na tayari UMEONYESHA NINI UNACHOKIHITAJI toka kwangu, Huo ni mwanzo mzuri.
Tena itakuwa ni vizuri zaidi kama UMEKWISHA UNGUZA ACCOUNT KADHAA za forex

Kiufupi Target yangu ni wale wanaojua FOREX kiundani, Na tayari wamejaribu kufanya FX

Nadhani sasa umenielewa.
 
Kibaya zaid niko alone nakomaa mwenywe na pia strategy bado sjaimasta fresh
Nimekuelewa vyema, utachagua stratergy utakayoitaka ku_master, nami nitakazia hapo.
- Iwe ni reversal Trading Stratergy
- Iwe ni breakout Trading Stratergy
- Iwe ni TrendFolowing Trading Stratergy
- Iwe ni Scalping au unataka ku_SWING
NI WEWE TU NA MAAMUZI YAKO
 
Yes, Ye,s Yes,
Hapa umepin point kitu ninachokifanya. Na tayari UMEONYESHA NINI UNACHOKIHITAJI, Huo ni mwanzo mzuri.
Tena itakuwa ni vizuri zaidi kama UMEKWISHA UNGUZA ACCOUNT KADHAA za forex

Kiufupi Target yangu ni wale wanaojua FOREX kiundani, Na tayari wamejaribu kufanya FX

Nadhani sasa umenielewa.
Demo hadi ya USD 5000 iliungua yote kiasi kwamba niliogopa na kuona kwamba forex kwngu ni oversize ..lakini nilianza upya kidg nmejitahidi japo bdo naloose nyingi then napata kidogo. Hivyo mkuu nikipata uzoefu wako itakuwa poa sana. Naomba kujua namna ya kupata hizo mafunzo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua namna ya kupata hizo mafunzo!
1. Fanya booking /appointment kwa moja ya hizi siku JUMANNE, JUMATANO, ALHAMIS
2. Fanya malipo ya kiasi husika
3. Uwe na vitu hivi (a) PC - Uwe umefanya installation ya MT4 tayari (b) Smartphone (c) Internet stable - Fanya tafiti ni mtandao gani hapo ulipo una kasi nzuri na ni stable ili tukiunga ZOOM isiwepo tatizo.

Kwa taratibu za malipo Niandikie Whatsap 0784 496 856

Karibu
 
Dah! Sawa mwl nimekuelewa sana tena sana mkuu. Hivyo basi Mimi niko Arusha na niko tayari kupata uzoefu wako maana kama vitabu nmesoma vyingi tu vya forex, videos nyingi nmecheki lakini bdo nachemka hasa kwa kipengele cha kuingia na kutoka sokoni, bado sina confidence, bado sijawa na focus ya kutosha kwenye hili soko.. Mt4 bado kuna vitu sjaweza kuvitumia vizuri.

Kibaya zaid niko alone nakomaa mwenywe na pia strategy bado sjaimasta fresh ..hivyo uwepo wako ni muhimu sana kwangu na kwa wote wenye niaje zadhibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi niko Arusha mkuu, kama vipi tutafutane.
 
Dah kwaiyo ontario sahivi kapotea kweli mjini mipango yule jamaa nilihisigi tu ataishia somewhere sio kwa dharau zile...yukwapi by the way cause last seen yake huku january
 
Mkuu wewe ushaletewa fursa komaa , kila mtu anakula kwa upande wake!
Dah kwaiyo ontario sahivi kapotea kweli mjini mipango yule jamaa nilihisigi tu ataishia somewhere sio kwa dharau zile...yukwapi by the way cause last seen yake huku january

Sent from my iPhone 6s using Tapatalk
 
daaah haya maisha sio
Pata hii picha
Nilikuwa najaribu huduma ya FNB kwa kuamisha dola 2 ( US $2) toka skrill kuja banki, ( Ninakawaida ya kufanya majaribio kwanza kwa huduma zote zinazohusisha mtandao, fedha & banki)
Walichofanya sasa,
- Wamekata charges zao dola 25 ( Kutoka katika account yangu)
- Na kuniiingizia dola zangu mbili ( US $2) nilizozitoa skrill
Kajasho kalinitoka.
 
1. Fanya booking /appointment kwa moja ya hizi siku JUMANNE, JUMATANO, ALHAMIS
2. Fanya malipo ya kiasi husika
3. Uwe na vitu hivi (a) PC - Uwe umefanya installation ya MT4 tayari (b) Smartphone (c) Internet stable - Fanya tafiti ni mtandao gani hapo ulipo una kasi nzuri na ni stable ili tukiunga ZOOM isiwepo tatizo.

Kwa taratibu za malipo Niandikie Whatsap 0784 496 856

Karibu
Mmmmhh haya wafundishe walioking'ang'ania group discussion na independent learners kutuita wachoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demo hadi ya USD 5000 iliungua yote kiasi kwamba niliogopa na kuona kwamba forex kwngu ni oversize ..lakini nilianza upya kidg nmejitahidi japo bdo naloose nyingi then napata kidogo. Hivyo mkuu nikipata uzoefu wako itakuwa poa sana. Naomba kujua namna ya kupata hizo mafunzo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaunguza demo ya 5000$ mmhh basi una safari ndefu sana tena ya kuforce njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najuta kutoka mapema na 78 pips tu lkn kitu bdo inshuka so ntazama tn
439636248_369888.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Chukuchuku

Ili kuweza kufungua position, inabidi uongeze leverage...

Menu > Open an account > change leverage.

Weka manual.
Select acc.
Weka leverage ya walau 1:500

Bahati mbaya nkisoma msg znapotea, na cwezi kuandika new msgs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom