Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu nisamehe, nilikuwa mbali na PC na comment yako niliiona kwa kutumia simu na sikuiona vizuri..

Back to the topic,

You are improving exceptionally, i can't say or add anything more that what you have just said in your amazing analysis.

I see the last Impulse and the last correction, after hitting the upper resistance, it may proceed or trace back and break the support.

You are in a good track.

Shukrani mkuu, ngoja tupambane zaidi na zaidi. So far hayo maujanja ya kuanalyse hivi nuliyapata katika mojawapo ya zile video tutorials ulizokuwa umeweka juzi, plus hints za Ontario nikajikuta nimefikia hapo.
 
hali vipi wadau...nafurahi sana kuona mlivyo na jitihada na kiu cha kupata mafunzo katika forex..pia mimi nipo ila muda umenibana maana kazi nazo nyingi..ila tupo pamoja..uzi huu siuachii hadi naona matunda yake..im very inspired by how you guys are really determined..lets keep our pace..

kuna jamaa mmoja hivi kule mwanzo mwanzoni mwa huu uzi kasema kuwa ikitokea akapewa masaa sita kuukata mti,masaa 4 atayatumia kutafuta shoka imara..in short nilivyomuelewa ni kuwa the tool you will use in whatever task you undertake,kama kifaa hicho kipo imara basi kazi yako itakuwa rahisi mno,yaani kama kumsukuma mlevi hivi..

nachomaanisha,sote tuzidi ku assemble our necessary tools zitakazotusaidia kulikabiri soko la forex..how do we do that,BY READING AND READING AND READING...sina mengi wenzangu..wacha nizidi kupitia comments maana nipo zamu ya usiku hivyo siwezi nikaconcentrate katika kitabu

shukran wote...
 
Ushauri; ku deal na mtu kama Mberoya sijui its very easy. Next time akija tena au kama huyo itumike Diplomatic psychology (Kula Box) meaning don't bother to reply rubbish. Kama hamjaona yani. In short mliokua mnamjibu ndo mlikua mnaharibu.
 
Aise kweli WaTZ tumekua na roho mbaya yani kuna wadau wanafanya FOREX kimyakimya hapa Tanzania then ametokea Boss ONTARIO kutufumbua macho wanaona wivu kweli dunia inaelekea ukingoni huku wenzetu SA wanapeana madili ya kuingiza pesa kedekede sisi tunafichana ili tupate faida gani sijui lakini Muda umewadia na Sisi vijana wakitanzania kuinuka kiuchumi walipenda wawe wao tu muda umefika Tenda Muujiza Usiache Mungu Mwaka Huu Upite bila Kutenda Muujiza.Tuzidi kusoma na kujifunza mpaka kieleweke!!!!!
 
EUR/USD next week projections.

Naendelea kula tizi za kuchora trend lines hapa. Na hapa nimemaliza kuanalyse na hiki ndo nilichokiona.

View attachment 530016
EUR/USD Monthly

Nilichoweka hapo juu ni Monthly candlestic chart ya EUR/USD

1. Nimegundua hii pair ilishuka toka mwaka 2014 mwishoni, na toka kipindi hicho haijapanda tena thamani.hata hivi sasa. Nilijaribu kuchambua zaidi sababu iliyofanya Euro ishuke thamani dhidi ya dola nikakutana na sababu kama Greece fear, imposing of new ECB laws nk. Kitu ambacho sidhani kama kimebadilika hata sasa ukizingatia hata sasa kuna Brexit around the corner
3 reasons the euro is plunging

Nikatoka hapo nikachambua Weekly chart.

View attachment 530022
EUR/USD Weekly

Katika weekly chart so far nimeweza come up with two trend lines ambazo ni bullish. ambapo somewhere kwa nyakati tofauti zinaenda kukutana na resistance line ambayo imekuwepo toka mwishoni mwa 2014.

Basing on this, natarajia bearish movement kwa wiki ijayo kwani siamini kama Euro itaimarika dhidi ya dola ukizingatia level iliyo sasa ni haijavukwa toka mwaka jana september. Hata kama itaimarika haitoimarika kubreach resistance iliyokuwepo toka 2014 mwishoni. Ingawaje katika hili kuwa sure ni lini na wapi uuse hii pair naona ni swala la indicators kwa kuibia linaweza kupa signal.

View attachment 530036
EUR/USD Daily

Katika chart ya daily hizo bullish movement za hii pair zinaonekana vyema. So ukiwa umepanga kununua hii pair na wewe ni short term trader, Basi kaa kimtegomtego maana muda wowote ngoma inabadilika. Ila kama ni long term montly trader unaweza sikilizia kidogo ukauza hiyo pair kwani i expect mwezi ujao price itareverse tuu na kuwa bearish.

CC: Ontario, Bavaria.
Sijaelewa kwa nini hujatumia "SUPPORT/RESISTANCE" na Stochastic na umeweza kutoa hiyo analysis.

bado nawaza japo vitabu vinabana tusitumie indicator
 
Hahahhaaaaa ...nimecheka sana hapo wakongwe wa forex walivyomwambia ONTARIO sasa Jeff upumbavu gani umefanya kutangaza forex sijui...hii kitu kweli mm ni mgeni Kabisa ila kwa nilivojisomea kwa kiasi...hii sio Biashara ya nyanya kuwa watu wengi wakijihusisha nayo nyanya zitajaa sokoni na kukosa bei...naomba niwaambie wakuda wote....hii inaitwa forex trade babe...na ndo tumeshastuliwa ishu sasa...na nyuma haturudi kamwe.....na muda si mrefu tutaride MaBMW..... tena mweusi tiiiiiiiiiiiiiiii....wakuda wakitaka kuziona waje nje ya the proposed forex lounge Bavaria ..watazikuta nyingi tu...ila sasa hawataweza kuingia lounge...mlango electronic.... P/W ni sura ya member/trader....mwishowe watatuletea polisi ila kwa vile shughuli Zetu zitakuwa zinaendeshwa kihalali watagonga mwamba..


HATERS nendeni mkajinyonge ili msishuhudie haya yanayokaribia kujiri hapa Tanzania..
Kuna watu mioyo yao imejaa "KUTU" na wapo kurudisha watu nyuma, HUWA mimi namezaga mate naendelea na dreams zangu mana najua kila mtu ana maisha yake.
 
kumbe kile kirusi kimefungiwa,

nimekikuta kwe uzi flani mwingine kinalalamikaaa, eti na kutuma salam kwa huku kwetu.

afadhali maana kaliniuzi ashukuru tu hakuwez sikia maneno nliyokua natamka kimoyoni,
mm nashndwa kuelewa kama hela ni yangu, nmeitafuta mwenyewe, kwann unipangie namna yakuitumia, mbona haoni anapomuhonga malaya ambae hata hamjui kwa ajili ya dk chache tu,
au haoni watu wanachoma kiasi gani baa kila siku. Binadamu bana tuna tabu sana, ndio maana hata huyu Mungu akaamua kujificha huko alipo maana...............

Wakuu tuendelee kukaza buti sana

boss wetu ontario tupo pa1 tunasubir huo mualiko, hata kama utasema atakayeweza kukimbia kilomita 800 ndio utamchukua utashangaa kuona watu na vitambi vyao watakavyotimua vumbi yani ni balaaaa

teh teh teh teh eeeeeh
 
Wacha kutukana mjomba...utaondolewa JF hushindwe kuendelea kudanganywa kwenda jehanamu...
mm nais sijamuelewa cjuii maana hata sielew nisemeje,
huyu atakua ana njaa sana maan kwani wadau kwe mazingira ya kawaida tumepoteza ivi vi laki2 au 3 mara ngapi,
leo ije kua riski kubwa kiasi icho.
tushaambiwa kina broker wanaruusu hadi minimum ya $50 ambapo haifik hata 150000.

huyu jamaa ni mbvuzi kweli
 
GBPAUD pair analysis (My view)

GBPAUD weekly.PNG

GBPAUD weekly

1. Moving average line inaoonekana price katika last candle itapanda kidogo kwa hiyo kesho. Ukizingatia Australia wanawahi kuianza siku kabla ya UK, hivyo AUD itapata thamani kwa muda kabla ya GBP kupata nguvu tena baada ya hapo na kuforce bearish movement na kuobey hiyo blue inclined trend line mpaka katika support level. Hivyo kwa kuanza siku, unaweza nunua huku ukiwa aware kuwa price movement ya siku ya kwanza ya biashara inaweza kuwa fake.

2. Kuna support na resistance level ambayo imekuwepo toka july mwaka jana. na imekuwa ngumu kuivunja.

3. Trend inasema kwa sasa ni downtrend, na as our rule says " Never go against trend" hivyo kwa wale weekly traders naweza kuwashauri wauze kwani trend inaonesha hivyo.

GBPAUD daily.PNG

GBPAUD daily.

Kilichoonekana katika weekly chart ndo kinaonekana katika daily chart. Moving average line hapa inaonekana vyema.

CC: Bavaria, ontario. Masahihisho please if any.
 
Hii ni kweli mkuu. Sio ya kukosa. Nilisha-google na kuona ukweli wake. It is an opportunity for supplement income! Nimo ndani ya hao watu 300 wa mwanzo. Tujulishe ni lini tunaosafiri tujiandae kuwepo! Good luck brother!
 
The fruits of your success will be direct ratio to the honesty and sincerity of your effort in keeping your own records,doing your own thinking,and reaching your own conclusion.The average man doesn't wish to be told that it is bull or a bear market.what he desires is to be told specifically which particular stock to buy or sell.He wants to get something for nothing.He does not wish to work,He doesn't even wish to have to think
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom