Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwa wale wenye uzoefu wa forex tafadhali....Ni platform gani nzuri na yenye kuaminika ya kufanyia hii biashara. Platform ambayo mtu anaweza kuwithdraw pesa/faida yake. Maana nimesikia kuna baadhi ya platform ukiweka pesa hawaruhusu uitoe.
 
utanisahihisha if am wrong
_Hiyo platfom ni broker I hope unamzunguzia broker wazuri ka usalama wa fedha yako ni hawa wapa nakushauri uwatumie nami pia nwaatumia
-Tickmill
-Pepperstone
_Valutrade
BANK TRANSFER
_FNB bank
_EQUITY bank

tumia mili kati ya hizo

MODE STATEGRY

Kuna kitu kinaitwa TRENDING EA ukiwa na hii EA huna haja ya kufanya price action kama wengine wewe ni kuangalia katika scanner na kua na notifier bhas.
_SCANNER
Hukuonesha pair gani zinatrembea kwa siku husika hivyo ukishajua utajua uchague pair ipi then utatrade hii TREND EA inafuata ternd inavyoenda hivyo hupati hasara.

NOTIFIER

_Hii hukuonesha TREND either ikiwa inaanza au kuisha hivyo utajua pair trend kwa kila siku hivyo utakua na uwanja mpana wa kuchagua pairhusika na kugain profit KWA uhakika Zaidi.

All in All DUE TO COVID19 pair nying hazieleweki ni bora ue na mbadala ili utake profit kwangu hiyo EA ni best kwa maana unaset on notifier trend ikimalizika EA INASWITCH OFF hapo sasa unapata hasara gani?unaweza kuiacha 24 hrs jioni unawithdrwa profit.

TRENDING EA INAPATIKANAJE ?
_Wasiliana na coder kisha umpe specification za EA zako ziweje ,bajeti yako kisha utasubiri baada ya muda ambao mtakubalia na ili upate EA kwa ajili ya matumizi.
_ADVANTGE ya kutumia coder ni kwamba EA inafanyiwa live back testing hivyo inakuongea uhakika wa kutumia kile unachokwenda kufanya kwa uweledi Zaidi.

Somehow i hope nimekupa machache nayofaamu ktk forex.
 
Asante kwa kuelewa swali na kwa jibu zuri
 
Pole sana kwa kutoelewa swali.
Hapo kwenye platform umechanganya kweli mkuu. Mm nadhan trading platform ni kama mt4, mt5, ninja etc
Hapo nadhan unazungumzia broker, kama unataka withdrawals na deposite ambazo ni instantly tanzania hapa templer ndio yuko fasta sana,
Unaweza jaribu pia hotforex, tickmill, global 360 fx
 
utanisahihisha if am wrong
_Hiyo platfom ni broker I hope unamzunguzia broker wazuri ka usalama wa fedha yako ni hawa wapa nakushauri uwatumie nami pia nwaatumia
-Tickmill
-Pepperstone
_Valutrade
BANK TRANSFER
_FNB bank
_EQUITY bank

tumia mili kati ya hizo

MODE STATEGRY

Kuna kitu kinaitwa TRENDING EA ukiwa na hii EA huna haja ya kufanya price action kama wengine wewe ni kuangalia katika scanner na kua na notifier bhas.
_SCANNER
Hukuonesha pair gani zinatrembea kwa siku husika hivyo ukishajua utajua uchague pair ipi then utatrade hii TREND EA inafuata ternd inavyoenda hivyo hupati hasara.

NOTIFIER

_Hii hukuonesha TREND either ikiwa inaanza au kuisha hivyo utajua pair trend kwa kila siku hivyo utakua na uwanja mpana wa kuchagua pairhusika na kugain profit KWA uhakika Zaidi.

All in All DUE TO COVID19 pair nying hazieleweki ni bora ue na mbadala ili utake profit kwangu hiyo EA ni best kwa maana unaset on notifier trend ikimalizika EA INASWITCH OFF hapo sasa unapata hasara gani?unaweza kuiacha 24 hrs jioni unawithdrwa profit.

TRENDING EA INAPATIKANAJE ?
_Wasiliana na coder kisha umpe specification za EA zako ziweje ,bajeti yako kisha utasubiri baada ya muda ambao mtakubalia na ili upate EA kwa ajili ya matumizi.
_ADVANTGE ya kutumia coder ni kwamba EA inafanyiwa live back testing hivyo inakuongea uhakika wa kutumia kile unachokwenda kufanya kwa uweledi Zaidi.

Somehow i hope nimekupa machache nayofaamu ktk forex.
kama hutajali mkuu:
1. huyo coder anapatikanaje?
2.specs unazoongelea ni kama zipi?
3. pia fees inaweza kuwa kiasi gani?
Natanguliza shukurani zangu mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom