Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
forbes kuhusu Bhakresa wamesema labda miaka ya mbele anaweza ingia kwenye listNationality: TanzanianSource: Bakhresa GroupThe extremely reclusive Tanzanian tycoon famously dropped out of school at the age of 14 to sell potato mix, then opened a small restaurant and then finally delved into grain milling. Today, his Bakhresa group employs over 2,000 people and is Tanzanias largest conglomerate. The companys interests include grain milling, confectionaries, frozen foods, beverages and packaging. The groups Azam brand is the most popular manufacturer of chocolates and ice cream in the region. The $800 million (sales) group is also the largest producer of wheat flour in East Africa. Daily capacity: 2,100 metric tons. Company is managed by his sons.
Wote wanastahili kunyea debe maana ni wezi wa kupindukia, wameiba toka nchi imepata huru hawajachoka. Haiwezekani mtu mmoja akawa anamiliki nusu nzima ya ardhi ya Nairobi na maeneo karibia yote ya pwani ya Mombasa wakati watu wengine hawana hata pa kulala.Uhuru Kenyatta na Wakenya wengi ni matajiri.Usifananishe Utajiri wa Watanzania wengi mafisadi wanaobebwa na Ccm angalieni utajiri ulio wazi.Most of Kenyas, ni Matajiri wasiojificha.
Wote wanastahili kunyea debe maana ni wezi wa kupindukia, wameiba toka nchi imepata huru hawajachoka. Haiwezekani mtu mmoja akawa anamiliki nusu nzima ya ardhi ya Nairobi na maeneo karibia yote ya pwani ya Mombasa wakati watu wengine hawana hata pa kulala.
Forbes magazine's inaugural list of the 40 richest people in Africa put Nigeria's Aliko Dangote as Africa's richest man. Dangote with a stake in Dangote Cement and interests in flour milling and sugar refining, has a fortune of $10.1bn (£6.4bn).
The inaugural list puts South Africa's Nicky Oppenheimer at number two with $6.5bn.
Two Kenyans Uhuru Kenyatta and Chris Kirubi appear on the list in the 26th and 31st position. Uhuru who is 50 years old has a fortune of $500 million (Sh45 billion) while Kirubi's fortune is valued at $300million (Sh29 billion).
The magazine ignored dispersed family fortunes, such as the Chandaria family of Kenya.
Forbes said it had reached the values using stock prices for publicly-traded companies and estimates of revenues or profits for the many privately-held businesses.
mbona na wewe hurogi ukawanazo !? Nyie ndo wale wale wa iringa !barkhresa hela zote sio zake grp la wengi..afu zake za kichawi
Kwani wanatumia kigezo gani? Watanzania wenye billions of money achia mbali assets mbona hatujatajwa?
hatuwezi jua labda una access ya kufahamu uatjiri wa hawa watu.Uhuru is not as rich as Bakhresa.....
Forbes needs to do their homework in africa
Uhuru Kenyatta na Wakenya wengi ni matajiri.Usifananishe Utajiri wa Watanzania wengi mafisadi wanaobebwa na Ccm angalieni utajiri ulio wazi.Most of Kenyas, ni Matajiri wasiojificha.