For those who love cars and women...

KJJ.JPG

Oh Snap!!!!
 
nyie mnataka picha ya mm ya nini?posts zake zote zinamdisplay kuwa ni mtu wa wetu. mambo mengine ya nn, au mnajiandaa kumpiga mizinga pindi mkikutana (joke)
 
bra n<a tunataka kujua kama kweli bra MM ni mwanakijiji na kama ni Mzee. Only that ina maana sana bra
 
Teh teh MMJ hawezi onyesha picha yake hapa ndio maana hapa kila mmoja wetu anatumia jina lisilo lake,MMJ anajua mengi ambayo yamewagusa wengi kwa njia moja au nyingine wasije mkolimba bure kwa kuweka identity yake hapa
 
gademu..!! well kama hamnioni bwana basi.. kama mnafanya forensics ungejaribu kuangalia reflection kwenye mojawapo ya magari!!!! (angalia kwenye kioo)..
 
Paukwa ...pakawa..
Kaondokea chanjagaa...kajenga nyumba kakaa!
Aaaah...natania tu wajomba!
MKJJ umeamua kufurahisha jamvi asubuhi hv?
Haya bana ...! Tumeng'amua sasa kuwa ni mizaha yako baada ya kuchoka na kazi ya kukusanya michango kule TPN!
 
I'm going to sleep.. cheers! enjoy the cars and nothing else! especial Mr. Alpha Romeo Kappa!!
 
Yap Mwanakijiji, mbona mpaka leo hujaniadd kama rafiki yako licha ya kuwa na mutual friends zaidi ya sita?

Kwa wale wanaohitaji kuwa rafiki wa m'kijiji katika facebook mnaweza kumpata kwenye picha hii
mwakajiji.jpg
By the way hadi sasa hana marafiki wengi, hivyo ni wakati mzuri wa kujiunga nae...
:D :D
 
Naona na wewe umepata rafiki mpya
 
Yap Mwanakijiji, mbona mpaka leo hujaniadd kama rafiki yako licha ya kuwa na mutual friends zaidi ya sita?

Kwa wale wanaohitaji kuwa rafiki wa m'kijiji katika facebook mnaweza kumpata kwenye picha hii
mwakajiji.jpg
By the way hadi sasa hana marafiki wengi, hivyo ni wakati mzuri wa kujiunga nae...
:D :D

hahahah.. Kibunango... tangu utoto niliambiwa na wazee "chagua marafiki zako vizuri"; sasa ilipokuja facebook ndio ikawa ugomvi.. ati mtu ana marafiki 3000!! what the hell? I keep the circle of my friends small ili niweze ku-manage vizuri the circle of my enemies.
 
All I can say bro...U crazy...Nimekuja humu na spidi kali nikadhani
what the heck?... lakini nd'o hivyo tena....wewe ni wetu mkuu.

love u big!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom