For the lazy ass dudes

I agree with a post! tubadilike wanaume sio hadi tuanze kusemwa. Vitambi na kukosa mazoezi ni hatari kwa afya zetu !
 
Aisee kweli ndambi zitatuua hadi kufunga viatu ni soo..binafsi nimeshaanza joging lakini inakuwa sio sustainable ndo mana ndambi halipungui..
 
Waambie wamekuwa vikwazo katika maisha ya kila siku. Wanataka vikubwa wakati hawana pakuanzia. Hata Roma haikujengwa kwa siku moja.
 
Lazy ass speaking.
 
Ndiyo maana machangu wanawapata kirahisi wengine kazi hawawezi ila kwakuwa wenzao wako kazini wanawasifia ili wazidi kuwaibia.
 

....Asante sana kwa ukumbusho huu muhimu Karucee, #nimehamasika !
 
Last edited by a moderator:
Wana wake wa bongo bna.! Pasua kichwa kweli,tukikonda shdaa,tukitoka vitambi nongwa,tukiwa slim mna taka six pak, lol mbo kila kitu kwenu kero.? Mnataka nin.? Mbona nyie mna vitambi vya michemsho na bia za bure sisi hatusemi.?

Muda mwingne muwe mnaridhika mnapo gegedwa ka goli kamoja,wanaume sio sex machineee aaarghgg
 
Karucee,working out is about discipline,commitment and sacrifice.................but it justifies the end.Thanks for your remainder Precious
 

Heheeee wachane mama. Bwana mwanaume fizique si unajua mtu wangu? lots love from this side
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…