For the lazy ass dudes


kwani ni wapi kasema aliyoandika ni sheria!!!!!!!!!!!!au kuna mahala kakushikia upanga wewe maringeni kwamba
ufate aliyoandika......ukiona haifai unaacha na kuendelea na mambo yako!!!!!!!!!!

wenye kuona unafaa wtaufuata
 
Last edited by a moderator:

du leo una mapwoint ile mbaya aiseeeeeeeeeeee
Its not bad to learn
 

Keep me in the loop plz
 

yah! najipanga kwa hili kila kitu kikiwa sawa, nitakileta hapa mkuu
 
Poa gwijimimi nadahni hili linawezekana mwenye wazo lake ni kiwatengu!!!!!!!!


Mkuu kiwatengu wadau wako huku wanatafuta registration!!!!

watu wawe na subira mkuu, hii kitu nimeiendesha underground kwa muda mrefu,
ilikuwa tuitoe ile december mambo yakawa magumu kidogo,
kwa sababu sasa nipo huku Kilimanjaro kila kitu kitakuwa sawa tu.
 
Last edited by a moderator:
watu wawe na subira mkuu, hii kitu nimeiendesha underground kwa muda mrefu,
ilikuwa tuitoe ile december mambo yakawa magumu kidogo,
kwa sababu sasa nipo huku Kilimanjaro kila kitu kitakuwa sawa tu.


Ha hahaha sawa mkuu maandalizi ndio mpango mzima!!!!
Underground imetosha sasa piga on top of the roof ionekane pande zote!!!!!!!

All the best son, just incase; hesitate not to prompt!!!!
 
mwanamme sifa pumzi, sio unapiga kimoja hoi, mijasho tere. Wanaume tubadilike tuamke mapema na tuhudhurie gym mitumbo yetu itakaa sawa
 
Big up Mkuu... Nimependa sana reasoning yako.

 
I will volunteer... I have been there at UHURU Peak (Top of Mountain Kilimanjaro) some fews years back.. Its challenging yet its very interesting aisee ......Go! go! go!.....
Perfect. Twenzetu. Aanze kuandika majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…