Heshima kwenu wana chit chat,
Tangu nimejiunga na Jf, Jan 2011, leo ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili, inawezekana nikawa nmeshaingia, itakuwa kwa mlango wa nyuma (latest), lakini kwenda moja kwa moja chi chat hapana, sababu zaweza kuwa sifahamu utamu wa chit chat, nihabarisheni wadau wa chit chat, yawezekana nikawa mwenzenu humu.
aksante.
haah kati ya maneno yote umeona mlango wa nyuma, lakini asante mkuu
By Naibili

hilo neno hilo duuuhhh

Hata hivyo karibu sana kuna akina Erickb52, Arushaone. PakaJimmy, Preta, sweetlady, Dena Amsi, na wengine watakukaribisha sana
asante saana CHARMnglady ila mimi kinaja mwenzio wataka ninyima nini miye
haah kati ya maneno yote umeona mlango wa nyuma, lakini asante mkuu
Hahahaha! We nae mnokooo lol. Mbona mie natumia simu na iko poa? Atakuwa anatumia simu fekiUnatumia simu wewe hiyo post namba tano (5) haisomeki
Hahahaha! We nae mnokooo lol. Mbona mie natumia simu na iko poa? Atakuwa anatumia simu feki
Hahahahahaha! Nafwa mie mbavu zangu lol. Umepinda wewe khaa. Kwahiyo ukiwa na mchina ni marufuku kuquote? Hahaha. Nimecheka sana.Mchina na kuquote wapi na wapi bana ha ha ha ha
Hahahahahaha! Nafwa mie mbavu zangu lol. Umepinda wewe khaa. Kwahiyo ukiwa na mchina ni marufuku kuquote? Hahaha. Nimecheka sana.