For only sua students

You are very right ila kwa taarifa anazozihitaji huyo bwana inabidi awe na uhakika nazo 100%, kimsingi inabidi apate hizo taarifa direct from the source yaani SUA administration na sio aokoteze hizo taarifa mtaani kama anavyotaka yeye kurahisisha mambo hata yasiyofaa kurahisishwa.

ameshasema kwenye website ya sua hakuna taarifa. Sasa afanyaje?
Hata humu anaweza pata taarifa za uhakika.
 
Kijana mambo ya msingi kama hayo sio ya kuyafanyia mzaha. wewe badala ya kuuliza hizo habari SUA unakuja kuuliza JF. Unauhakika gani na unayemuuliza hili swali kuwa ni msuaso???jamani hizi shule za kata hizi zitaliangamiza taifa jamani. Huyu ni graduate mtarajiwa anafanya mambo kibabaishaji hivi.Piga simu chuoni sua upate reliable and first hand information from the horse mouth.

bora umenisaidia kumjibu.
 
Haya sasa, watoto wa fesibuku wameingia humu.
Mtu anaomba msaada, mwingine kwa vile amesoma extension mwaka juzi basi anajiona yeye ndo dvc msolla....damn, hivi dvc ni nani siku hiizi?
i

Duh! Nakumbuka nilisoma SUA wakati DVC ni Prof Msolla na VC akiwa ni Prof Luoga!!! Lakini hadi hapa ninapoandika wala cjui Prof Luoga anafananaje na huyo Msolla mwenyewe nilikuja kumjua wakati akiwa waziri wa jakaya....!!!
 
Kijana mambo ya msingi kama hayo sio ya kuyafanyia mzaha. wewe badala ya kuuliza hizo habari SUA unakuja kuuliza JF. Unauhakika gani na unayemuuliza hili swali kuwa ni msuaso???jamani hizi shule za kata hizi zitaliangamiza taifa jamani. Huyu ni graduate mtarajiwa anafanya mambo kibabaishaji hivi.Piga simu chuoni sua upate reliable and first hand information from the horse mouth.

Ushauri wako ni very constructive ila umeharibu ulipoingiza suala la shule za kata kwenye huo ushauri!! Suala la shule za kata limeingiaje hapo mkuu?! Jamani, hao wanaosoma shule za kata ni ndugu zetu pia ambao hata nao wangependa kusoma shule kama mlizosoma nyinyi!!! Wao ni victim tu wa mfumo na vijimambo vinginevingine na ndio maana wapo walisoma st university gani sijui kule ambao leo hii wanakula mkwanja wao pale TRA na BOT huku wengine wakitoka sijui UDSM university of Agriculture Mzumbe Campus wakiishia kufanya vibarua vya Data Entry pale Infinity Communication!!!!
 
Back
Top Bottom