tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 784
- 268
sijaelimika?kwa standards za kufikiri kwako au?Inaonekana umekwenda shule lkn hujaelimika, uliona wapi mke mwema kaolewa na mume mwema? Siku zote mmoja anakuwa mwema na mwingine pasua kichwa. Au hujui siku zote mtu hupenda asipopendwa?
Wewe ndo huwezi kusoma btn the lines,nimekwambia context ya mume mwema na mke mwema kila mtu anayo kivyake,
kwa akili yako unaeza muona mtu sio mwema ila kwa macho ya mwenzi wake ni mwema..
Sijaongelea swala la utakatifu na sijui huko tu asikopendwa ndo aje..
Kama hua unapenda usikopendwa thats you
And siku nyingine uliza according to hoja ya mtu,sio kumattack personally,hakuna pahali mtu aliweka cv ake hapa kusema amesoma..
This is a forum,mtu anatoa hoja irrespective yuko na elimu kiasi gani au hana ndugu yangu..unajuaje nimesoma?