For men: Hivi hii imekaaje?

mwanamke wife material huwa hahangaiki na mwanaume kicheche unless awe hajui sasa wewe unajua unataka ngoma?
 
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana

hapo, hajaanza kukuomba hela, yaani kila siku yeye anashida, wanaume wa kizazi hiki ni balaa tupu
 
Back
Top Bottom