For men: Hivi hii imekaaje?

Nina mashaka na akili yako kusalitiwa kuna kuzoea nyie wanaume mna tamaa ya ngono na unzinzi wa ajabu basi na nyie msilalamike kushea eti mpo kidogo huna hata haya wewe basi hata wanawake tupo kidogo wingi si hoja kuna wanawake bora,na kuna bora wanawake,kama mlivyo nyoe wanaume kuna wanaume bora,na kuna bora wanaume,galasa wewe huna maana.
 
Mbali kote huko kwa nini wakat mfano nnao kwa ex-boyfrnd wangu alinitenda kwa mama mtu mzima pindi nipo chuo nasoma. Namchukiaje sasa??? Eti ooh..shetan alinipitia,basi aendelee kumpitia ivo ivo tu

kwahiyo unakubaliana na mimi kwa wengi wetu hatuwezi kuwa na mahusiano kimapenzi na mwanamke mmoja? Kama huwezi kuchangia mwanaume ni bora usiwe na mpenzi kwani kila utakayempata atakuwa na mpenzi wake au alikuwa na mpenzi na mahawala kamwe hawaachani, ndiyo maana mimi ninapomtongoza mwanamke na akaniambia hana bwana basi hapo hapo naachana naye.
 
mwanamke ambaye ni "wife material" anaweza ondoka na kutafuta a better man. if he's not worth it, then dump his sorry
@$$

totally agree..
Husband material na wife material wapo,tafuta wa kulandana nae.
 
haipo kwangu ila nawaona vijana wengi wanavoishi

haipo kwako au hujangundua? Hata mtu aliyeathirika na VVU kabla ya kupima naye husema hivyo hivyo (haipo kwangu huwa nawaona tu watu wengine)
 
Nina mashaka na akili yako kusalitiwa kuna kuzoea nyie wanaume mna tamaa ya ngono na unzinzi wa ajabu basi na nyie msilalamike kushea eti mpo kidogo huna hata haya wewe basi hata wanawake tupo kidogo wingi si hoja kuna wanawake bora,na kuna bora wanawake,kama mlivyo nyoe wanaume kuna wanaume bora,na kuna bora wanaume,galasa wewe huna maana.

akili yangu ni ya kusema hali halisi, hoja yako imejaa maneno ya mkosaji, "eti kuna mwanaume bora na bora mwanaume" pia mkitaka na nyie kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja ni Ruksa, ila mara nyingi wanawake wanaofanya hivyo huwa wanakongoroka mapema, kama na wewe unataka kukongoroka mchanganye mme/mpenzi wako na wanaume wengine.
 
....ili mchezaji awe imara lazima afanye mazoez ya kutosha...hao wengine ni wa mazoezi? men mmmh?
 
Kama anakupenda hasa hawezi kukupa presha,ila jitahidi sana uwe naye karibu kwa muda mwingi(si wewe upo DSM na yeye MORO,MZA,DOM au kwingineko) af utegemee mazuri wanaume ni kama watoto akichekewa tu na mwanamke na hasa akamjali kidogo basi taratibu ataanza kuhamia huko naongea kwa 'experience' so kuwa karibu na umpendaye!
 
Kuna baadhi ya wanaume ni kama mafisi maji..... Hayaridhiki kila mahali yanataka kuonja
 
Nani alikuambia ncha mbili za sumaku zinazofanana uvutana?
physics na psychology ni vitu viwili tofauti ndugu
labda tungetumia methali or sayings..
Birds of the same feathers flock/fly together..
Kwenye relationships ndo maana kuna mke mwema na mume mwema sasa huo wema ni individual perception ndo maana nikamwambia atafute wa kulandana nae.
Kuna watu wanaoweza vumilia cheated,harassed etc na kuna watu hawawezi.
 
Inaonekana umekwenda shule lkn hujaelimika, uliona wapi mke mwema kaolewa na mume mwema? Siku zote mmoja anakuwa mwema na mwingine pasua kichwa. Au hujui siku zote mtu hupenda asipopendwa?
 
Wanaume tuko possessive na tunataka yote. Ukikutana na mwanaume akakwambia hataki 'sexual freedom' na vidosho huyo ni muongo, hanith au gay/

Mbona sasa Ndugu yangu ABDULHALIM, Jina lako halifanani na maneno yako,??
 
Si na wewe umpendezeshe ulie nae jaman?? Usione vimeng'aa mkuu kuna kaz imefanyika hapo kati!!!
sasa akipendezeshwa si ndo ataonwa na huyo mdau alosema kwamba watoto wa kike wanapendeza eennnh? halafu ndo atatemewa hayo madini...!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom