All girls and ladies zingatia ushauri huu

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Jana ilikua Jmosi ya mwisho ya mwezi October na kikao Cha wanaume kilichelewa kumalizika kwani mada iliyoletwa mezani ilikua very hot.

Mwamba mmoja alipenyeza agenda kuwa wanaume tunalalamikiwa kutokuwa na mahusiano imara. Ilionekana Kuna baadhi ya wanaume Kila mwezi wanaanzisha mahusiano mapya, na wengine imekua ni kawaida kuwa kwenye mahusiano mengi Kwa wakati mmoja

Mkt alitoa ruhusa mada idadavuliwe kinagaubaga kabla ya kutoka na maazimio ya kikao ambayo ndo yamenisukuma kuleta huu Uzi .

Kati ya hoja zilizobainishwa na wengi ni kuwa ladies and most girls have nothing to offer than sex. Yaani ondoa utelezi mwanamke hana kingine cha kuchangia kwenye mahusiano.

Fikiria , ..." Leo unatongoza na unakubaliwa, muda mchache badae msichana anataka uanze kumtunza Kwa most of her basic needs. Air time and bandles, pesa ya kusuka na urembo meingine . Wengine wanataka umpe pesa ya chakula , pango ya nyumba, na wasivyo na aibu unaanza ata kushirikishwa matatizo ya ukoo wake , mara baba au mama mgonjwa na ujinga mwingine kama huo...." (haya ni miongoni mwa malalamiko baadhi yaliyotolewa na wanaume waliokuwepo kikaoni.

Pamoja na hayo ...wanaume waliendelea kubainisha...sasa unakuta tunavumilia yote hayo ila cha ajabu msichana mwenyewe hana lolote atakalokusaidia zaidi ya utelezi. Most of girls hawafahamu namna ya kumtoa stress mwanaume, hawafahamu jinsi ya kuzungumza kimahaba, wakija geto hawajui kupika, kufanya usafi, kufua nguo, hawajui kufanya masage, hawajui kusafisha kucha na miguu. Mbaya zaidi hawana akilili na mipango ya kuongeza kipato, zaidi sana hawajui hata kunyanduana.

Katika mazingira kama hayo kuwa kwenye mahusiano is typical liability. Then the quation comes for what gain for men to remain committed to such kind of relationship?

Swali hili ndo limenifanya kufungua Uzi huu ili niwakumbushe dada zetu kuwa mfumo wa maisha na malezi waliyonayo wasipobadirika wataishia wote kuwa wauza K*m* tu , in this context ukikuta dada anaolewa ujue atakua amejitofautisha sana na hizi pisi uchwara .

Dada zangu ebu makinikeni na mjitahidi Sana kuwa productive and a good asset .

Kikao kiliazimia kama mnataka mahusiano imara, wadada lazima wazingatie maazimio haya:

1: Mkiwa shuleni jifunzeni maarifa na ujuzi ili ukihitimu uwe na skills unazozifahamu na unaweza ukatoa huduma Ili upewe pesa.

2: Hepukeni uvivu na msigeuke ombaomba . Mnaowaomba hawaishi dunia au jamii tofauti, bali ni hizohizo ambazo nyie pia mnaishi. Matatizo na huduma za maisha waelezeni wazazi wenu,kwani sio jukumu la msingi mpenzi wako kukutunza wewe.

3: Hepuka tamaa na ulimbukeni wa maisha, unataka Kila fasheni inayoingia uwe nayo umekua msanii wa Hollywood ? Mtoto wa kike unakua mlevi, unakua shabiki wa mpira kila siku unataka upelekwe Club na movie center uka show off matako yako Ili iweje ? Tabia za ovyo mkae mbali nazo.

4: Shime jifunzeni stadi za maisha zote. Jua kupika, kufanya usafi, kufua nguo, kufanya massage, kuongea vizuri, na zaidi sana kuwa na masters ya kuhudumia mme kitandani. Jua utundu wooote, jua maeneo yote ya mwanaume unayoweza kuyashika ukapandisha majini ya ukoo wake mzima. Nasisitiza bobea kwenye elimu ya chumbani na kitandani (uwe na master of art in bedroom). Hii course isomwe na wote haijalishi unatumia formal or non formal education carriculum.

5: Mwisho na kwa umhimu wake -mke mwema ndiye atakesifiwa. watu wote duniani wanatamani mama zao wawe mfano Kwa jamii, "The best mom in all world" hapa hakuna uchawi wala ndumba lazima mdada uwe mcha Mungu na uwe na tabia njema na maadili kama yoote.

Muwe na jpili njema.

Imeandikwa na katibu wa kikao Cha wanaume kilichofanyika Jana.

Nawasilisha.
 
Jana ilikua Jmosi ya mwisho ya mwezi October na kikao Cha wanaume kilichelewa kumalizika kwani mada iliyoletwa mezani ilikua very hot.

Mwamba mmoja alipenyeza aganda kuwa wanaume tunalalamikiwa kutokuwa na mahusiano imara. Ilionekana Kuna baadhi ya wanaume Kila mwezi wanaanzisha mahusiano mapya, na wengine imekua ni kawaida kuwa kwenye mahusiano mengi Kwa wakati mmoja

Mkt alitoa ruhusa mada idadavuliwe kinagaubaga kabla ya kutoka na maazimio ya kikao ambayo ndo yamenisukuma kuleta huu Uzi .

Kati ya hoja zilizobainishwa na wengi ni kuwa ladies and most girls has nothing to offer than sex. Yaani ondoa utelezi mwanamke Hana kingine cha kuchangia kwenye mahusiano.

Fikiria , ..." Leo unatongoza na unakubaliwa, muda mchache badae msichana anataka uanze kumtunza Kwa most of her basic needs. Air time and bandles, pesa ya kusuka na urembo . Wengine wanataka umpe pesa ya chakula , pango ya nyumba, na wasivyo na haibu unaanza ata kushirikishwa matatizo ya ukoo wake , mara baba au mama mgonjwa na ujinga mwingine kama huo...." (Miongoni mwa malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wanaume waliokuwepo kikaoni.

Pamoja na hayo ...wanaume waliendelea kubainisha...sasa unakuta tunavumilia yote hayo ila cha ajabu msichana mwenyewe hana lolote atakalokusaidia zaidi ya utelezi. Most of girls hawafahamu namna ya kumtoa stress mwanaume, hawafahamu jinsi ya kuzungumza kimahaba, wakija geto hawajui kupika, kufanya usafi, kufua nguo, hawajui kufanya masage, hawajui kusafisha kucha na miguu. Mbaya zaidi hawana akilili na mipango ya kuongeza kipato, zaidi sana hawajui hata kunyanduana.

Katika mazingira kama hayo kuwa kwenye mahusiano is typical liability. Then the quation comes for what gain shall men be committed to this shit relationship?

Swali hili ndo limenifanya kufungua Uzi huu ili niwakumbushe dada zetu kuwa mfumo wa maisha na malezi waliyonayo wasipobadirika wataishia wote kuwa wauza K*m* tu , in this context ukikuta dada anaolewa ujue atakua amejitofautisha sana na hizi pisi uchwara .

Dada zangu ebu makinikeni na mjitahidi Sana kuwa productive and a good asset .

Kikao kiliazimia kama mnataka mahusiano imara, wadada lazima wazingatie maazimio haya:

1: Mkiwa shuleni jifunzeni maarifa na ujuzi ili ukihitimu uwe na skills unazozifahamu na unaweza ukatoa huduma Ili upewe pesa.

2: Hepukeni uvivu na msigeuke ombaomba . Mnaowaomba hawaishi dunia au jamii tofauti ambazo nyie pia mnaishi. Matatizo na huduma za maisha mweleze mzazi wako au walezi wako na sio jukumu la mpenzi wako.

3: Hepuka tamaa na ulimbukeni wa maisha, unataka Kila fasheni inayoingia uwe nayo umekua msanii wa Hollywood ? Mtoto wa kike unakua mlevi, unakua shabiki wa mpira kila siku unataka upelekwe club na movie center uka show off matako yako Ili iweje ? Tabia za ovyo mkae mbali nazo.

4: Shime jifinze stadi za maisha zooote. Jua kupika, kufanya usafi, kufua nguo, kufanya massage, kuongea vizuri, na zaidi sana kuwa na masters ya kuhudumia Mme kitandani. Jua utundu wooote, jua maeneo yote ya mwanaume unayoweza kuyashika ukapandisha majini yake yote ya ukoo wake mzima. Nasisitiza bobea kwenye elimu ya chumbani na kitandani (uwe na master of art in bedroom). Hii course isomwe na wote haijalishi unatumia formal or non formal education carriculum.

5: Mwisho na Kwa umhimu wake -mke mwema ndiye atakesifiwa. Haiseee watu wote duniani wanatamani mama zao wawe mfano Kwa jamii, "best mom of all world" hapa hakuna uchawi Wala ndumba lazima mdada uwe mcha Mungu na uwe na tabia njema na maadili kama yoote.

Muwe na jpili njema.

Imeandikwa na katibu wa kikao Cha wanaume kilichofanyika Jana.

Nawasilisha.
Ukweli mtupu.....mimi huwa naona kama nisingekuwa na hofu ya mungu na kuogopa magonjwa ni heri nikanunua wauzaji
 
Hapa Nakazia!!

3: Hepuka tamaa na ulimbukeni wa maisha, unataka Kila fasheni inayoingia uwe nayo umekua msanii wa Hollywood ? Mtoto wa kike unakua mlevi, unakua shabiki wa mpira kila siku unataka upelekwe club na movie center uka show off matako yako Ili iweje ? Tabia za ovyo mkae mbali nazo.
 
Wengine wanataka umpe pesa ya chakula , pango ya nyumba, na wasivyo na haibu unaanza ata kushirikishwa matatizo ya ukoo wake , mara baba au mama mgonjwa na ujinga mwingine kama huo...." (Miongoni mwa malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wanaume waliokuwepo kikaoni.
Tusameheni,ni sisi wachache tunakosea kuna wanawake hawana kabisa usumbufu huo
 
Back
Top Bottom