wenger si liondoke linangangania nini pale aseno
Kwa sababu kwa clubs kubwa za Ulaya ni Bayern Munich na yeye tu ndio wanaendesha club kwa faida, bila madeni wala nini.
Kwa sababu kwa clubs kubwa za Ulaya ni Bayern Munich na yeye tu ndio wanaendesha club kwa faida, bila madeni wala nini.
Lengo la club ni kushinda kikombe sio kupata faida!!! manake wachezaji wote pamoja na pesa pia wanataka makombe Bayern anashinda makombe kila mara wala hana tatizo kama aseno...tatizo la hii timu ni Uongozi kama ht sisi Tanzania tulivyo na shida ya Uongozi...
Mkuu Kashengo kamaliza kila kitu hapo juu, cha kuongeza tu ni kuwa pamoja na vikombe kama the ultimate prize, kila club ina falsafa yake. Ni kweli kuwa Arsenal wana ukame wa vikombe lakini sio kwa sababu ya Wenger au Uongozi.
Take it or live it, mpira ni biashara kama biashara nyingine na hakuna mtu anataka kufanya biashara kwa hasara, na kama ni uongozi basi uongozi wa Arsenal ndio bora zaidi kwa EPL, kwa sababu kila mwisho wa mwaka wao vitabu vinabalance na faida juu, wanalipa mishahara kwa pesa yao, wananunua wachezaji kwa pesa yao.
Ndio maana Wenger ana uhakika na kibarua chake hata kama hashindi vikombe.
Unakosea sanaaa kufananisha Uongozi wa Arsenal na hapa bongo.
JOSE SIGNS
By ROB BEASLEY
Last updated: May 30 2013
JOSE MOURINHO is Chelseas new boss and thats official!
The Special One sealed a spectacular £40million four-year deal on Tuesday night.
SPECIAL DELIVERY ... Mourinho will be expected to bring success to Stamford Bridge
A senior Blues source revealed: Its official Jose is a Chelsea man again! Everyone is delighted hes coming back the club, the players and the fans
We are already looking forward to next season we are sure its going to be very exciting.
The Sun exclusively told you on May 3 that Real Madrid chief Mourinho was heading back to the Bridge.
And we can now reveal Mourinho finally put pen to paper during a two-day trip to London this week.
His cover story was attending the Crystal Palace-Watford play-off final at Wembley on Monday and visiting friends in the capital.
But the real purpose of the visit was to seal an emotional return to his beloved Blues along with right-hand man Rui Faria.
Now it is expected he will be unveiled next week in a blaze of publicity by the Europa League champions.
That is after he has taken charge of Reals final game at home to Osasuna on Saturday, which will bring to an end his controversial three-year reign at the Bernabeu.
There is just time for the 50-year-old father of two to squeeze in a holiday with his family before starting work in earnest in July.
Mourinhos first match looks sure to be the pre-season friendly in Thailand against the Singha All Stars XI, the kick-off to a Far East tour that also takes in Malaysia and Indonesia.
Then he will take the Blues to America for the International Champions Cup tournament which features two of Mourinhos former clubs, Real Madrid and Inter Milan, as well as Everton, Juventus, AC Milan, Valencia and LA Galaxy.
Much is expected of Mourinho, who won six trophies in just three seasons during his first spell at Chelsea between 2004-07.
Wenger asipopata kikombe mwaka huu atafukuzwa kazi mwakani, hata kama ni biashara Mpira kama sio kuwa na washabiki hakuna mpira,,,,
Utapata shida sana kama hujui kwanini toka Arsenal wamehamia Emirates wamekumbwa na kukosa makombe,kuondokewa na wachezaji na kubana wages za wachezaji...Wenger hawezi kufukuzwa hata siku moja.!! TAFUTA sababu za Arsenal kutoka kuwania ubingwa mpaka kuwania Top 4 kwa miaka 8 mfululizo ndo umlaumu Wenger au ujilaumu mwenyewe kwa kutokujua what is going on with your beloved club
Now the Uruguayan insists he is sick of the negative headlines and says a witchunt is forcing him out.
He added: "I am happy at Liverpool but this year was very hard for me, my wife and my daughter.
"I have worked hard since I was a kid and I'm not prepared to stand British journalists any more."
Is it official? I've been reading sports news today but never came across headlines of mourinho heading to the bridge, plz Mourinho give us the validity of this story!