hahahahaha! Number one follower apa tehe! Tehe umetisha aisee! Ni ujinga mie kuendelea kujibu hii thread wakati cna ujinga wa kusema.

Ujinga ni kumchokoza Ussain Bolt alafu unakimbia!

Ujinga ni kumtumia mtu success card, halafu nje ina picha ya Arsenal!

Ujinga ni kufikiria Juma Nature ni mtoto wa Mother Nature!

Ujinga ni kumsalimia supporter wa arsenal, "umeshindaje"..hahahahaha

we ni mnoma.. Ujinga ni kuwa fan wa asenali