Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,085
Afya ni bora kuliko chochote kile wajameni. Hizo pesa mnazo zitafuta huku mnaangamiza afya zenu ndizo mtakazokuja kuzitumia katka matibabu kama si mazishi yenu.
Mateso tu
Tulikuwa ote!
Nilifika MBEZI saa 9, MLANDIZI nlitoka saa 1 usiku, nikaishia kula DAKU