Foleni Morogoro Road muda huu ni kubwa kuliko

Rudi ukazunguke bagamoyo.
Au komaa hadi kibaha tamko kula kushoto ukaibukie bunju uendelee na safari zako
Ni zaidi ya balaa!
Nimetoka MAILI MOJA Saa 1 usiku na muda huu saa 22.51 nipo KILUVYA!

Mnaoenda Morogoro tumieni Kilwa Rd
 
Jamani wadau wa Morogoro road, foleni imeitika tena kama jana. Leo mzigo umeanzia KWA MFIPA mpk PICHA YA NDEGE hapafai, gari za kwenda DSM zinanyata km Kobe!

Wale mnaoenda Mbezi ni bora miapitie MSATA kisha Bagamoyo!
 
Tarehe 29.11.019
Nilitoka Dar es salaam Nakwenda Morogoro Saa 23:00 Hrs
Kufika Kibamba Haitembei Hadi Asubuhi Tarehe 30.11.019
Tulikuwa Njiani, Morogoro Tumefika Asubuhi
 
Jamani wadau wa Morogoro road, foleni imeitika tena kama jana. Leo mzigo umeanzia KWA MFIPA mpk PICHA YA NDEGE hapafai, gari za kwenda DSM zinanyata km Kobe!

Wale mnaoenda Mbezi ni bora miapitie MSATA kisha Bagamoyo!

Ww daily usik best..unatokea wap?maana mhh!
 
Back
Top Bottom