Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,706
Tatizo madereva hawataki kufuata taratibu. Unakuta kuna lorry limeharibika.. hivyo inabidi kupita njia moja. Sasa u akuta uoande mmoja madereva wanayembea njia zote mbili hadi kwenye tatizo.
Siku moja kibamba kuna lorry liliharibika.. wanaotoka morogoro hawapiti na wanatoka dar hawapiti.. madereva wameziba njia zote hadi Mjeda mmoja alipo kuja na kudhibiti wanaotanua njia .
Tatizo la nchi hii ni kwamba elimu ya ustaraabu na uvukilivu ji ndogo sana.
Watanzania hawawezi kukaa kwenye foleni
Watanzania hawana subra.

Ni zaidi ya balaa! Nimetoka Maili Moj Saa 1 usiku na muda huu saa 22.51 nipo KILUVYA!
Mnaoenda Morogoro tumieni Kilwa Road.