FMES: Tuwakumbuke Wanamichezo Africa!

FMES..Kuna jamaa anaitwa HALILA TONGOLANGA,jamaa alitamba sana na bendi ya Silent In Mwenge(bendi ya Jeshi-JWTZ) ambako alitoka na kibao kitamu kikiwa katika lugha ya kimakonde kiitwacho 'Kila Munu ave na kwao'

Baadae jamaa alitoka Silent In Mwenge akaenda Dar kuanzisha bendi ya Makondeko Six Band(Bendi ya hayati Dk Alex Halid) ambayo ilikuwa ikiburudisha katika ukumbi A class wa kipindi hicho wa MAKONDEKO uliokuwa maeneo ya Mbezi Luguruni

Kuna mtu anajua huyu jamaa(TONGOLANGA) yuko wapi wakati huu???,jamaa alikuwa na kipaji hasa
 

- Huyu Mkulu, ninayo song yake moja kwenye my collection, lakini kwa sasa sina uhakika aliishia wapi, lakini for sure alikuwa mkali sana maana hata hii record yake niliyonayo bado mpaka sasa ni kali sana, nafikiri inapatikana hata kwenye JF Zilipendwa.

Respect.


FMEs!
 

[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]
He, like myself, loves Lingala music, especially from what we both fondly call, the Lingala Decade; 1967 to 1977. On Saturdays, he comes in at noon and we sit down to talk music. Since both of us are teetotalers, we sip on Fanta's and hold in-depth discussions about the early days when Tabu Ley Rocherou sang for the late Dr. Nico on the magnificent, Kiri Kiri, a brief but beautiful song with great guitar work and smooth vocals. About Johnny Bokelo Isenge who gave us a long string of dance hits with such incredible work that you wondered how a human being could do that with his fingers.[/SIZE][/FONT] [FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]

[/SIZE][/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]
We talked about Kiamangwana Wazolamboga Mateta 'Verkys' who in 1969 produced the hit, Mfumbwa with his Veve that ushered in a new age of lengthy dance songs that utilized both sides of the 45 single. Verkys also formed the label, Editions Veve that brought forth a whole slew of with young talented artists.[/SIZE][/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]
In the early seventies, Orchestra Veve gave us such hits as Lukani, Baluti and Yanini. Baluti had a beautiful jazzy saxophone solo that blew my mind. Orchestra Lipua Lipua presented Nouvelle Generation, probably our most favorite song. It had great vocals, different solo bridges, excellent drum work and choruses. This was the beginning of a 'new wave' style that Lipua Lipua started with hits of cuts including Mbondo, Mombassa, and Temperature. Orchestra Kiam jumped on the dance wagon with a danceable style that utilized the guitar and did not use horns at all.

Songs like Moni Afinda and Mbale were classics but Memi is my favorite tune of theirs. Members of Lipua Lipua, mainly Nyboma Muandindo and Mulembu Tshibau and Kinzunga Ricos left to form Les Kamale, a band that featured Nyboma's sweet vocals as well as amazing guitar and drum work. Ngali, Ayi Djo and Abisinia are among their classic hits but Asana Muana Maua with its slow, smooth vocals is unforgettable.[/SIZE][/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]
Mulembu moved on to form Orchestra Fuka Fuka and produced the hit, Bitota[/SIZE][/FONT][FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]while Nyboma advanced on to a successful solo career. Other notable bands included the Vangu brothers' Bella Bella which gave us Horoscope, Kumisa Ngai, Sola and the incredible Koko.

A young unknown called Kanda Bongo Man sang in Bella Bella before later on embarking on a very successful solo career. Orchestra Shama Shama gave us Okomi Kolangwa, Shama Shama and Pamaphi, danceable tracks with harmonies and extensive use of the high hat. Orchestra Mangelepa gave us Embakasi, Mimba, Mangelepa Kamili, Pambana Pambana and the delightful Kasuku. This was a good time band that resided in Kenya. Orchestra Super Mazembe gave us Shida, Mwana Mazembe, Kasongo and Amina. Orchestra Grand Piza produced Muana Maua and Mandalala. And Orchestra Sentima gave us Cetoyene and Bosoneli.[/SIZE][/FONT]


[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]
While these young bands were producing hits almost every week, stalwarts like Luambo Makiadi Franco who is the greatest African that ever lived and Tabu Ley along with Pepe Kalle, two giants, continued to produce remarkable music. Of course, there was a lot of wonderful music after 1977. Tabu Ley introduced Mbilia Bel, a remarkable woman with a wonderful voice and amazing style who could also dance. She boosted Tabu Ley's career and created her own.[/SIZE][/FONT]





[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+1]Respect.

FMEs!
[/SIZE][/FONT] <iframe id="widget0-frame" src="http://www.kentanzavinyl.com/Site//BANA_MOJA_files/widget0_markup.html" style="width: 100%; height: 100%;" marginheight="0" marginwidth="0" allowtransparency="true" frameborder="0" scrolling="no"></iframe>
<script type="text/javascript"><!--//--><![CDATA[//><!-- new Paste('widget0', 'Scripts/Widgets/HTMLRegion', 'Scripts/Widgets/SharedResources', '.', {"dotMacAccount": "tclifford1"}); //--></script>
 
Method Mogella
Said Mwamba 'Kizota'
 


Huyu Bwana yupo na kundi fulani (nimesahau jina), bado wanaimba nyimbo za asili. Kwa sasa anajiita Field Marshall Tongolanga. Nashukuru kwa kulijua jina lake la mwanzo, asante sana.
 


Orch. Marquis Du Zaire: Wana Kamanyola, "Safari Yetu Mbeya".





Respect.


FMEs!
 
TAREHE 01/09/2007
HESHIMA KWA NYOTAZ WA ENZI ZAO
Enzi zao! Peter Tino akionekana pichani akitia saini mpira maalum ambao wachezaji wote wa zamani wa taifa stars walitia saini katika mpira huo ambao ulitolewa maalum na kampuni ya vifaa vya michezo vya AB sports. Kampeni ya mkutano huo uliofanyika Sea Cliff, ni moja ya kuwapa moyo wachezaji wapya wa taifa stars ili wafanye vizuri katika mashindano yao. Peter Tino alikuwa ni mshambuliaji hatari wa timu ya Pan Africa na vilevile alichezea taifa stars. Tino yupo kwenye vitabu vya historia baada ya kuifikisha bongo kwenye fainali za Afrika huko Lagos, Nigeria, mwaka 1981 kwa goli lake pekee alilowafunga Zambia. Kwa mbali nyuma, mwenye nyekundu, ni Ahmed Amasha ambaye alikuwa beki tatu hatari wa timu ya Yanga na taifa stars (aaaahh!! enzi hizo!) na baadaye alihamia Muscat, Oman kuchezea timu ya Fanja.
Peter Tino na Kitwana Manara
Peter Tino akisalimiana na makocha wa taifa stars. Kulia ni kocha wa vijana Tinocco, akifuatiwa na kocha wa viungo Ittamar na Kitwana Manara akishuhudia.
Kulia chini ni Sekilojo Chambua, Mwenyekiti wa Yanga, Imani Madenga na Makumbi Juma "homa ya jiji". Waliosimama ni Romario, Mohamed Hussein, Kombo na Abubakar Salum "sure boy".
Kushoto ni Juma Pondamali Mensah ambaye alikuwa Tanzania One wa enzi hizo. Kushoto ni Tanzania One wa sasa Ivo Mapunda
Mohamed Hussein "Mmachinga" akiwa na vijana wa taifa stars
Makocha wa taifa stars wakiwa na wachezaji wa zamani wa taifa stars. Kushoto waliosimama ni Othman Juma Chama, Sunday Manara, Mwankemwa (Daktari wa timu), Richard Adolf, Mtemi Ramadhan, Maximo, Mohamed Mkweche, Isihaka Hassan "Chuku", Ahmed Amasha, Ittamar, James Kisaka, Tinocco, Kitwana Manara na aliyekaa chini ni Juma Pondamali.
Kushoto ni mbunge wa Kinondoni mheshimiwa Iddi Azzan akiwa na bosi wa kampuni ya Easy Finance mheshimiwa Isaac Kasanga na mgunge wa Mafia na Abubakar Salum "sure boy".
 
Maestro Nyoka Longo: Icon Musician Zaire, Congo DRC.




[FONT=Arial, Arial, Helvetica]
[/FONT]

- Maestro Nyoka Longo, kiongozi wa bendi ya Orch. Langa Langa, iliyotamba sana in the 80s na Early 90s, bendi ambayo anaiongoza mpaka sasa, ameimba vibao vingi sana hasa "Liwa Ya Moyimbi" kibao ambacho hakijachujuka mpaka leo.

Respect.

FMEs!
 
Le Sitwayeene Dindo yogo RIP: Icon Musician Zaire, Congo DRC.

[FONT=Arial, Arial, Helvetica]


Respect.

FMEs!
<table border="0" cellpadding="4" cellspacing="4" width="100%"><tbody><tr><td width="100%">[FONT=Arial, Arial, Helvetica] <!--mstheme-->[/FONT]
</td> </tr> </tbody></table><!--mstheme-->[FONT=Arial, Arial, Helvetica]
[/FONT]
[/FONT]
 
Shem Karenga: Legend Musician, Tabora Jazz Tanzania.



- Mkulu Shem Karenga enzi za Tabora Jazz, yaani Segere Matata na Segua Segua, na vibao kama "Asha", na "Dada Remmy". Baaadaye alijiunga na MK. Group, ila sijui kwa sasa yuko wapi?

Respect.


FMEs!
 
Mopero De Cavasha: Orch. Sham Shama Icon Musician, Zaire.




- The Late Mopero De Cavasha, huyu ndiye muanzilishi wa mtindo wa Cavasha, uliobadiki kabisa muziki wa East Africa in the end of 70s, alikuwa mmiliki wa maarufu sana huko Zaire ya Orch, Shama Shama na kibao cha "Viki" mpaka leo hakijachuja moto ni ule ule.

Respect.

FMEs!
 
Orch. Marquis Du Zaire: Wana Kamanyola, "Safari Yetu Mbeya".




FMEs!

Kutoka kushoto, mzee wa pili aliyekaa ni Shogholo Challi ambaye alikuwa (sijui kama bado) katibu wa BASATA. Huyu mzee namkumbuka wakati nikiishi Korogwe, yeye na mkewe walikuwa walimu. Baadaye wote tukaja hamia Dar es slaam.

Naukumbuka sana wimbo wa "safari yetu Mbeya, tulifurahi saana.... Sikukuu ya Wakulima sabasaba ehh...."
 
Huyu jamaa Nyboma ninamuhusudu sana kama mwimbaji ingawa bahati mbaya hasa kwenye wimbo wa Double Double aliouimba kama sikosei akiwa Kenya.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=_v0oGr4RQeM&feature=related[/ame]

Ila naona vijana wengi waliupenda na wakaamua kuuiga kinamna kama inavyoonyesha hapa chini.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=AMZjAgCZwyY[/ame]

Na mwisho huyu kijana Ex-Wenge au Wenge Reference kama sikosei akiitwa Manda Chante na yeye alikuja akakopi sehemu ya huo wimbo. Long live Nyboma.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=LtirsYpC1kw[/ame]
 



Taratibu, Mzee.

Enzi za Dar international, Mafum Bilali ,alikuwa akipuliza trumpet.

Saxophone ilikuwa ikipulizwa na Mzee Michael Enock( King)

Michael Enock nilikuwa nikimuweka kundi moja na Kiamangwana.
 
Matalanza: Zairois Saxo Icon.



<hr color="#cc6600">
FRANCO ET JOSKY KIAMBUKUTA DU T.P.O.K. JAZZ, the 1983 double-LP album culminating in the explosive hit "Missile," now ona single CD

- Mkulu Matalanza na yeye aliwika sana enzi za zamani za muziki wa Congolese, aliwahi kupiga kibao cha "Engunduka" akishirikiana na Verkys, pamoja na Johnie Bokelo, kabla ya hapo akishirkiana na Josky Kyambukuta LeCommandante na Mzee Lwambo, walipiga kwa pamoja kibao maarufu sana cha "Missile" na baadaye alianzisha bendi yake mwenyewe kwa jina la Orch. Engunduka.

Respect.

FMEs!
 
Taratibu, Mzee.

Enzi za Dar international, Mafum Bilali ,alikuwa akipuliza trumpet.


Saxophone ilikuwa ikipulizwa na Mzee Michael Enock( King)

Michael Enock nilikuwa nikimuweka kundi moja na Kiamangwana.

- Great Thinker vipi mpaka leo huelewi maana ya quote? Sasa naona hata kule kwenye viongozi nako umekurupuka bila kuelewa maana ya quotaion, maana yake ni kwamba yale sio maneno yangu, maneno yangu hayawekwi kwenye quote, kwa hiyo hayo ya Mafumu na Nkurumah alipofia, ni ya wengine ndio maana yamo kwenye quote,

- pole sana mkuu lakini muwe mnasoma vizuri kila alama ina maana yake! Bwa! ha! ha! Great Thinkers wengine bwana inachekesha kweli!


es!
 
Samuel Opoku Nti (born January 23, 1961 in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Kumasi"]Kumasi[/ame]) is a former [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Ghana"]Ghanaian[/ame] football forward.

<table style="background-color: rgb(2, 16, 58); height: 145px;" border="0" width="100%"><tbody><tr class="caption" valign="middle"><td style="width: 190px;" align="center" valign="middle">



</td><td class="caption">Samuel Opoku Nti
Special Advisor


Former Ghanaian Football Star
Runner-up for African Footballer of the Year 1983
Featured for Ghana Black Stars (1982-1992)
Former head-coach of African Football Club Zurich Switzerland


</td></tr></tbody></table>
AFC
Biography

Respect.

FMEs!
<table http:="" www.jamiiforums.com="" images="" smilies="" icon_cool.gif="" alt="" title="Cool" smilieid="23" class="inlineimg" border="0" width="200" height="25"><tbody><tr class="caption" valign="middle"><td style="width: 190px;" align="center" valign="middle">
</td><td class="caption">
</td></tr></tbody></table>
AFC
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…