Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,986
- 42,230
Kikubwa ni nchi kuwa na flai over hizo za south Africa kajenge nyumban kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi mpaka leo sijawaelewa kwa nini walibadilisha hii....wakati jiwe anasema fedha zipo....nasikia hata ile ya mfugale ilibadilishwa juu kwa juu ila isingekuwa vile.....Ubungo hawajengi tena Flyover bali wanajenga madaraja ya juu.Makandarasi wa ovyo kabisa hawa.kuna taharifa kwamba hii kitu ilibadilishwa kimyakimya ..ilitakiwa kuwa hiviView attachment 1289197
Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.
Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Insue siyo viongozi, ni wahandisi....!Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.
Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Yani ile ya Kigamboni ingejengwa awamu hii tungekoma kwa kelele maana imekaa vizuri sana ajabu huyu jamaa na ujenzi wote lakini hawezi kujenga kwa kiwango kileYaap!... Interchange ya Kigamboni iko kwenye kiwango cha kimataifa ingawa haivumi sana.
Yani ile ya Kigamboni ingejengwa awamu hii tungekoma kwa kelele maana imekaa vizuri sana ajabu huyu jamaa na ujenzi wote lakini hawezi kujenga kwa kiwango kileYaap!... Interchange ya Kigamboni iko kwenye kiwango cha kimataifa ingawa haivumi sana.
Mimi ninadhani ingefaa wewe upewe kazi hiyo na utafute pesa za kujenga barabara za aina hiyo.Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.
Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Mbona hauhitaji kuwa na akili ya Einstein kujuwa pale daraja la Kigamboni hakukuwa na barabara kuu na majengo mengi ya thamani kabla ya kujengwa lile daraja?Yàni hata pale njia panda ya kuelekea kwenye daraja la kigamboni pamejengwa vizuri kuliko haya matuta ya mfugale na ubungo..tatizo kubwa anaetoa maamuzi hua hasafiri hivyo exposure ni 0
Kuna wanaojenga na wengine wanachafua mazingiraLengo la kuu la flyover ya Ubungo ni kupunguza foleni? Sasa wewe mleta mada hebu tueleze kile kinachojengwa Ubungo sasa hivi hakitafanikisha lengo?
isee nimeona pale kuna gari zitabaki kuwa kileleni daima,yani juu mawinguni chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.
Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
South mbali waende tu hapo Kenya waone wenzetu wamefanyajeHivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.
Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Kwan mtoa maamuzi ndio designer na engineet at de same time?Yàni hata pale njia panda ya kuelekea kwenye daraja la kigamboni pamejengwa vizuri kuliko haya matuta ya mfugale na ubungo..tatizo kubwa anaetoa maamuzi hua hasafiri hivyo exposure ni 0