Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

Ulitaka wajenge vipi???? Usilazimishe kupaa wakati uwezo wako ni kutambaa.
🏃‍♂️🏃‍♂️
Mkataba uliosainiwa ulikuwa ni flyover ya ghorofa tatu na World Bank wakakubali kuchangia gharama za ujenzi. Jamaa amejifungia na Mfugale wake wakabadilisha mchori na kuweka ghorofa mbili badala ya tatu.
Pale Ubungo ilikuwa pasiwe na mataa lakini sasa hivi wanakwenda kuweka round about na mataa hivyo magari yatasubiriana kama kawaida.
 
Mtoa mada utakua msengerema fulani hivi kutokea Sengerema. Unataka kulinganisha SA na TZ?
 
Back
Top Bottom