Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.

Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
south kote huko tena kuna wazungu,waende hapo kenya,ghana au angola
 
Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.

Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
hebu nenda kajenge ya kwako kijijini kwenu hebu tuachie hii ya yetu ya ubungo tunaipenda sanaaa ilivyo
 
Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.

Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Vipi kuhusu gharama
 
Lengo la kuu la flyover ya Ubungo ni kupunguza foleni? Sasa wewe mleta mada hebu tueleze kile kinachojengwa Ubungo sasa hivi hakitafanikisha lengo?
 
1576133961902.png
uliitaka kama hii iliyojinyonga?
 
Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.

Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Tofautisha kati ya RING ROADS na FLY OVERS dogo, Hata south Africa unakosema fly over kama za ubungo zipo nyingi hizo unazosema wewe kwa cape town ipo kule karibu unaingia air port, ndo nnayoifahamu mimi
 
Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.

Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.

Una uhakika kuwa ulichokiona hapo Ubungo Mataa na unachokizungumzia hapa ' Kiutalaam ' kabisa kinaitwa ' Flyover ' Mkuu?
 
Hii imekaa poa japo sio sana maana kwa hapo juu ingeleta jam. Mzunguko murua hautakiwi kuwa na njiapanda, yaani ukikanyaga flayover unazunguka na kwenda kutokomea uelekeo unaoutaka bila kukutana na gari yoyote, na ukikosea tu lane yako unajikuta umetokezea Mwenge wakati ulikuwa unaenda Buguruni.
Kuna siku nilikosea sehemu ya kukaa mara mbili hapo daraja la mfugale, ikanilazimu kwenda kuanza upya. sasa kwa haka ka flyover ka ubungo kuna hatari ya kwenda kuibukia tandale ukishabugi step wakati ulitakiwa kwenda bunju.
 
Wasiwasi wangu ni nafasi kati ya flyover na barabara ya chini naona kama ni ndogo sana.
 
We mtoa mada ndo mshamba. Unahisi flyovers zipo za aina moja? Zipo za aina nyingi na hiyo ya Ubungo ni aina moja wapo. Sio lazima zote zifanane.
Hata ukienda Tokyo, Seoul nk utaona zipo za aina nyingi na sio aina moja tu.

Asiyejua maana usimwambie maana, achana nae huyo bwege. Yeye anafikiri ujenzi ni sawa na upishi wa wali maharage kwamba vyote vinafanana..
 
Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka kama nyoka? Mie nilidhani daraja la Mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena.

Waende basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Kuna tofauti gani kati ya fly-over na interchange?
 
hvi kweli mtu mzima unakuja kulalamika flyover sjui hazijazunguka kama nyoka kweli???

Yaani ndio utuone sisi waswahili tulivyo na akili za chuki.. haangalii namna itakavyofanya kazi yake iliyokusudiwa bali anataka ifanane na nyoka.
Watu wengine hovyo kabisa.
 
Budget mkuu. Na sisi hata ukienda masaki nyumba zinatafautiana
Ilitakiwa mtu akiwa anatoka upande wowote aweze kupita juu kama yupo speed na aelekee uelekeo wowote anaoutaka na akijichanganya tu ajikute ametokea siko na sio tu mtu anayetoka kimara au mjini/ Buguruni au Mwenge ndio apite juu. Ilitakiwa kupita barabara ya chini iwe ni choice ya mtu na sio kulazimishwa na njia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kuweka avatar ya dada mrembo kumbe upo hovyo hivyo? Kwa hiyo kama zipo za aina tofautitofauti ndio ujenge yenye utofauti wa hovyo? Kwa nini usijenge yenye utofauti wa kisasa na yenye kuwezesha kuelekea pande zote? Hii inayojengwa huwezi kupita juu kama unatokea Kimara kwenda Buguruni hivyo hivyo huwezi kupita juu kama unatokea mjini kwenda Mwenge au Buguruni. Kwa hiyo huo ndio utofauti unaousema?!!!! Hopeless kabisa.

Wewe ndio kichaa kabisa yani. Sasa kuna haja gani ya kujenga flyover halafu magari yanayokwenda kila upande yakakutane sehemu moja? Si bora yabaki hukuhuku chini kama zamani yaendelee kupishana..
Hivi unajua sababu ya ujenzi wa flyovers/interchanges?
Hebu kasome kwanza ujue madhumuni ya ujenzi wa hizo kitu then uje tena
 
Hii imekaa poa japo sio sana maana kwa hapo juu ingeleta jam. Mzunguko murua hautakiwi kuwa na njiapanda, yaani ukikanyaga flayover unazunguka na kwenda kutokomea uelekeo unaoutaka bila kukutana na gari yoyote, na ukikosea tu lane yako unajikuta umetokezea Mwenge wakati ulikuwa unaenda Buguruni.
labda wameogopa watu kupotea njia
 
Yàni hata pale njia panda ya kuelekea kwenye daraja la kigamboni pamejengwa vizuri kuliko haya matuta ya mfugale na ubungo..tatizo kubwa anaetoa maamuzi hua hasafiri hivyo exposure ni 0
Yaap!... Interchange ya Kigamboni iko kwenye kiwango cha kimataifa ingawa haivumi sana.
 
Pamoja na kuweka avatar ya dada mrembo kumbe upo hovyo hivyo? Kwa hiyo kama zipo za aina tofautitofauti ndio ujenge yenye utofauti wa hovyo? Kwa nini usijenge yenye utofauti wa kisasa na yenye kuwezesha kuelekea pande zote? Hii inayojengwa huwezi kupita juu kama unatokea Kimara kwenda Buguruni hivyo hivyo huwezi kupita juu kama unatokea mjini kwenda Mwenge au Buguruni. Kwa hiyo huo ndio utofauti unaousema?!!!! Hopeless kabisa.
Mbona wewe ni mjinga kiasi hiki? Kwa hiyo Shida yako wewe ni kupita juu?

Ile inatengezwa kuondoa foleni pale ubungo, siyo kwa ajili ya kufurahisha watu kupita juu!

Kwani kama hupiti juu lakini hukai kwenye foreni shida iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom