Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka Kama nyoka? Mie nilidhani daraja la mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena. Waende Basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Hata zingejengwa unavyotaka bado wangekuja wengine na kulalamika wakidai flyover za nini wakati vijijini hakuna barabara.

Watanzania hatujui tunataka nini.
 
Wengine wanasema kutakuwa na Trafic light. Kweli?
 
Ili mradi ni bora au ubora umezingatiwa pia watu na vitu vina pita bila shida... Hizo nakshi hazina shida sana
 
We mtoa mada ndo mshamba. Unahisi flyovers zipo za aina moja? Zipo za aina nyingi na hiyo ya Ubungo ni aina moja wapo. Sio lazima zote zifanane.
Hata ukienda Tokyo, Seoul nk utaona zipo za aina nyingi na sio aina moja tu.
Pamoja na kuweka avatar ya dada mrembo kumbe upo hovyo hivyo? Kwa hiyo kama zipo za aina tofautitofauti ndio ujenge yenye utofauti wa hovyo? Kwa nini usijenge yenye utofauti wa kisasa na yenye kuwezesha kuelekea pande zote? Hii inayojengwa huwezi kupita juu kama unatokea Kimara kwenda Buguruni hivyo hivyo huwezi kupita juu kama unatokea mjini kwenda Mwenge au Buguruni. Kwa hiyo huo ndio utofauti unaousema?!!!! Hopeless kabisa.
 
Kumbe shida yenu ni kupita juu!!!
 
Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka Kama nyoka? Mie nilidhani daraja la mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena. Waende Basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Elimu yako degree chuo ulichosoma Udsm yaani hata kutengeneza njia ya kwenda chooni hujui etc unasema ya kishaba. Hiyo ya kimjini kajenge Kwa baba yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mtoa mada ndo mshamba. Unahisi flyovers zipo za aina moja? Zipo za aina nyingi na hiyo ya Ubungo ni aina moja wapo. Sio lazima zote zifanane.
Hata ukienda Tokyo, Seoul nk utaona zipo za aina nyingi na sio aina moja tu.
Hahah. Mkuu hawa jamaa ambao hawajawahi fika hata kenya wana matatizo sana. Yaani anaangalia kwenye google picha alafu anakuja kupiga kelele hapa. Hata sgr huwa wanalalamika hivi hivi wakati ile njia ndio ndio sgr na train ni vitu viwili tifauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom