robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 538
- 1,532
Practice tu mkuusafi sana, nikiri tu widgets kwa flutter zinanipiga chenga sana, labda kwakua sichezi nayo mara kwa mara
ila nikipata project, mpaka UI iishe nishagugo sana aisee

Sio mbaya mkuu, hapa tuna share tu ujuzihii ni kwa wote ? wengine tunafahamu html tu kwa kuibia ibia sana