Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
Weka picha.. Au ndio hizo salamander anaziweka?
Sasa wewe na sisi nani anaonekana mpuuzi? Manake kila mtu anajua kuwa hio kitu haipo ila tunapata real pic. Bro hataa sisi tunakuzingua kuchangamsha jukwaa tu.
Wewe ndio jaji?
c.c KING KONG III
Sasa wewe na sisi nani anaonekana mpuuzi? Manake kila mtu anajua kuwa hio kitu haipo ila tunapata real pic. Bro hataa sisi tunakuzingua kuchangamsha jukwaa tu.
Yap Yap hata mimi nilicheka sn nilijua tu unachangamsha jukwaa mkuu . Ndo vionjo vyenyewe
Haihitaji kuwa na degree kujua tayar May ashashindwa.
Mghosi