Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
14,674
Reaction score
20,443
1000176624.jpg
 
Bora aje awanyooshe wale wavaa vikoi vya kijana wanaonaga ii ligi ya kwao.
 
Tatizo la AZAM Siyo kocha.
Tausi hakuwa kocha mbaya hata kidogo
Dabo alikuwa bonge la kocha la kisasa kabisa aliishia wapi?
Azam kuna tatuzo na tatizo lipo kariakoo
Karibu ibenge
 
Back
Top Bottom