Flora Msoffe amejifungua

nmekuuliza dogo anaitwa nani?
 
Wow,thats so great!Mungu amjaalie na amkuzie kabebii,
 
honey tunatengeneza lini wa kwetu?

Wife acha basi mzaha,
jukwaa likajua bado hatujatengeneza kabisa ?
Mimi nalifahamisha jukwaa tulishatengeneza wetu, kabla ya siku ya kiapo! Na kilichosababisha iwe hivyo ni ule msimu wa baridi.
Maadamu sina taarifa yeyote ya labda ulipata Miscarriage, so far mi nasubiri mwanangu.
Kama ulifanya utundu ukamtohoa nambie , nianzishe michemko mipya .
Hebu nikumbushe hako katumbo kana moon wa ngapi sasa ?
 
Wow nimefurahi kabisa Mungu mkubwa,hongereni sana sana,umfikishie hzi hongera ze2,Mungu amjalie akue katika kimo,afya na zaidi hekima na akili,
 
mpe hongera nyingi sana mungu awalinde mama na mtoto
 
Raha iliyojeeeee!!! Hongera Flora kwa kutuletea baby girl......dah ila pole na ka safari!!
 
hongera FM kwa kuleta kiumbe kipya hapa duniani. Hongera AM dada yako kujifungua salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…