nimeipenda hii.....kifizikia tunafanya assumption kuwa mbasha kafa then ndoa inafungwa tu mkuu
nimeipenda hii.....kifizikia tunafanya assumption kuwa mbasha kafa then ndoa inafungwa tu mkuu
Kila mtu na imani yake ndugu, tuacheni kujivika utakatifu wa kujikalilisha. Hao wachungaji, mapadri na mashekhe wengi tu nishawahi kuwaona wakiwa na nyumba ndogo na ufuska kibao. Ulitaka Flora aishii maisha ya ki lesbians? Nashangaa sana watu mmeshupalia jambo la kawaida tu. Tena nikujulishe tu kuwa huyo kijana ni jirani yangu na wako na mahusiano kitambo hivyo hawajakurupuka. Hivi ni lini mara ya mwisho wewe umefanya sex na kwa nini? Pia ulitaka madam Flora aishi kama Watawa na wakati si Mtawa?
Siri za flora Mbasha wa Daudi. Teh teh teh teh ... uzuri wake mwanamke ni kama Ua huwa hawachelewi kunyauka . Muda utaongea Emanuel endelea kuwa mvumilivu mpole na mwenye hekima. Majira na wakati utafika tu kila jambo na majira yake.
Tumeyaona ya akina Wema sepetu kujiita Madame.
Lets wait and see.
Have u done?Fanya kazi wewe na angalia maisha yako, kwa hiyo unakaa ukitegea kusubiri Flora apate shida ili ufurahie? Tafuta hobby kama hauna na acha kufwatilia maisha ya watu!
......... ila mioyo i mbali nami.Kibiblia huyo Daudi, haitajiwi kumwoa flora, mpaka mbasha Mungu amchukue!!
Lakini baada ya hapo hamruhusiwi kuingia kwenye ndoa mpaka mmoja wenu afe. Labda Imma ataaga hizi siku zilizobaki tusubiri..Hebu someni maandiko vizuri najua alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe isipokua kifo au uzinzi so ukithibitisha mwezako anachepuka talaka tu ingawa Mungu haipendi kwakua hapendi kuachana.
Mi nadhani anahukumiwa kutokana na yeye kuaminika kama mtumishi wa Mungu kumbe la! Sidhani kama angekuwa mwanamke wa kawaida ingekuwa issue..Umenena vema. Nashangaa watu wanavyomuhukumu utafikiri wanajua aliyokua anapitia
Ishu ni kuolewa tena, ila kama ameacha alichokuwa anaamini mwanzo ni sawa..Halafu mtu awezi akaacha ndoa bila sababu,kitanda usichokilalia huwezi fahamu kunguni wake,au adhabu ya kaburi aijuaye maiti tu.
Mbona Bashite tumemuhukumu sana humu sikumbuki kutukataza!?MSIHUKUMU MSIJE MKAHUKUMIWA
Pumbavu kabisa wewe...Hivyo Flora aliye tubu anapata uhalali wa kuolewa kwa neno linalosema:- yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndugu mume au mke yu huru.
Kale katoto katakuwa na miaka 3 sasa..Hv mtoto wake na Gwajima, Ana miaka mingapi sasa hivi?
Mwache aolewe, hana mume, maana kifo kilishawatenga, kwa hiyo yuko huru.
Acha uoga wa maisha wewe,dawa sio kuahirsha,unatakiwa uyaingie maisha mapema,unataka kuoa ukiwa na miaka 45?Aisee Maisha ya ndoa magumu sana juzi kati mama kaniambia nimekua nioe nikamwambia anipe miaka mitano mingine.