Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Kwani toka awali alikuwa akiimba kwa ajili ya Mungu au kwa ajili ya soko. Mungu anasema hata 'mawe' yaweza kumuimbia utukufu. Kwani tunajua status ya ukiroho wa kila muimbaji, hata wale wanaoimba makanisani mwetu? Njia rahisi ni kujiepusha kufanya hukumu.

Sifanyi hukumu ila natoa ushauri, yawezekana kabisa wote ni kama yeye, ila yeye imedhihirika machoni pa watu wengi. Hapa shetani atajitwalia utukufu. Moja ya jambo ambalo shetani angetamani litokee ni dhambi za watu wote ziwe dhahiri, shetani anatuchukua kwenye dhambi, na baada ya dhambi anatuvua nguo na kutukimbia. Na ndio maana baada ya dhambi na ikishadhihirika kwa watu wengi, mara nyingi tunasema shetani ni mbaya.
 
Nafahamu kwenye Biblia inaeleza ndoa inaweza kuvunjika kama
Mmoja wapo alifanya uzinzi nje ya ndoa. Pili endapo mtu anataka kukutoa kwenye Imani hebu tafuteni hio mistari.
2 wakorintho 6:14.- Msifungiwe nira pamoja na wasioamini.
 
Sishangai sana frola kufanya hilo haya in matokeo ya makanisa ya sasa wao kuvunja ndoa ni jambo LA kawaida kwao.wao wanahubiri injili ya mafanikio tu .mambo ya ndoa si shida.utafiti unaonyesha haya makanisa mapya yamevunja ndoa nyingi sana
Hayo makanisa unayoongelea ndo wamemwambia aachane na Mme wake na kuolewa na mwingine? Au umesikia kwamba hiyo ndoa anayofunga sasa hivi anaifungia kanisani?

Inakubidi ufikiri kabla ya kuandika ama kusema, kanisa ni moja tu, mwili wa kristo ni mmoja na sisi ni viungo vya huo mwili haijalishi mtu yupo dhehebu gani, rudi kwenye maandiko acha kuropoka.
 
Sasa hapo usishangae baadhi ya watumishi wakaanza kuzani labda Mbasha atakuwa na roho ya kukataliwa, hapo hakuna roho ya kukataliwa wala nini hapo dawa ni kutafuta kazi hata kama siyo rasmi ilimradi apate kujikimu yeye na familia, akipata kinarua ataweza kuoa mwingine Mungu atamsaidia ! Imeandikwa asiyefanya kazi na asile , kuna msisitizo mkubwa ktk kufanya kazi! Mwanamke anahitaji matunzo, kuna dada flani Watu walikuwa wakimwambia eeh dada una Mume handsome, aliwajibu ni kuwa u handsome wake haumsadii kitu chochote yeye anachotaka matunzo tu!
 
Kuna vifungu kwenye bible vimezuia mume na mke kutotengana ISIPOKUWA KWA UZINZI. Labda vimetumika vifungu hivyo.
Pengine sijaelewa, nakribisha kukosolewa.
 
Nalisubir Hilo kanisa litakalofungisha hiyo Ndoa niliangalie kwa jicho la tatu nione wanatumia biblia ipi na wanamhubiri Mungu Yupi..!!
 
Kweli machangudoa wapo kila sehemu, Kumbe hata waimba nyimbo za enjili nao ni wahuni kiasi hili? Hivi hao wanaokwenda kumsikiliza Frola wanaupako sawa sawa? Tangu lini NDOA iliyofungwa kanisani ikavunjwa na mahakama na bado ukenda olewa tena?
EBU FAFANUA. UNAFIKIRI WANANDOA AMBAO HAWAWEZI KUISHI TENA PAMOJA WASIDAI TALAKA MAHAKAMANI? ?kwenye biblia hakuna ilipoandikwa ndoa na ifungwe KANISANI. Na hakuna palipoandikwa wapi hiyo ndoa inapaswa kuvunjiwa. Ila IMEANDIKWA KUWA MTU NA ASIACHANE NA MWENZAKE ISIPOKUWA KWA HABARI YA UASHERATI. wakristo wenzangu watanisaidia
 
Ndoa ya mbasha ilistahili kuvunjika kwani Mbasha alimtaja flora kama mzinzi. ...hivyo kuvunjika ni sawa. Flora yuko huru kwa nyie msiosoma biblia
 
Sasa hapo usishangae baadhi ya watumishi wakaanza kuzani labda Mbasha atakuwa na roho ya kukataliwa, hapo hakuna roho ya kukataliwa wala nini hapo dawa ni kutafuta kazi hata kama siyo rasmi ilimradi apate kujikimu yeye na familia, akipata kinarua ataweza kuoa mwingine Mungu atamsaidia ! Imeandikwa asiyefanya kazi na asile , kuna msisitizo mkubwa ktk kufanya kazi! Mwanamke anahitaji matunzo, kuna dada flani Watu walikuwa wakimwambia eeh dada una Mume handsome, aliwajibu ni kuwa u handsome wake haumsadii kitu chochote yeye anachotaka matunzo tu!

Kwani anaishije muda wore huyo flora alivyoondoka? Mbona jama anazidi kung'ara tu na pamba zake anapiga kama kawaida?

Flora Mbasha mmeo kakubali kuitwa mume bwege kukupa wewe nafasi matokeo yake unamwacha na kumzushia kesi, watu kama nyie malipo yenu hayasubiri miaka 10 au 20, kitu miaka miwili mitatu mkijitahidi sana mitano chaliii! Kila mtu ana weaknesses zake ila sio kwa wewe kwenda kupepesa macho kwenye media kudanganya mumeo aswekwe jela, karma is a biiitch ""flola"" ohoo!
Halafu hawa watu wanaojifanyaga wacha Mungu ndo mashetani kuliko walevi wahuni machangudoa mashoga nk, yani pye!
 
Karma has everyone's address.
Karma has no deadline.
Karma has no menu. You get served what you deserve.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom