Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Olewa flora

Ya nini kung'ang'ani palipokushina?

Ndio maana wanaeake wengi wana stress kisa kuogopa kiachika

Olewaaaaaaaaaaaaa
 
Hivi hilo kanisa linalo mfungisha ndoa limetokea wapi je limekuja na bibblia yake tofauti nahii yetu yasiku zote maana hakuna ndoa juu ya ndoa.. hilo kanisa linalowafungisha ndoa kunahaja ya kuuhoji ukiristo wake
 
NDOA nyingi sn za kibongo bongo zilishakufa huku bado zimesimama kutokana kubwa sababu uzinzi au simply michepuo, ila mijitu inahemea juu juu kutaka sifa nina ndoa kumbe ni usaliti tu unaoendelea ndani ya nyumba ngozi nyeusi haiwezi kukeep promise.sasa frola kaamua kuishi uhalisia wa kiafrika na uhalisia wake watu hatutaki. Tungependa kusikia kampakazia mtt mbasha na waendelee na ndoa ya unafiki. Ndoa za siku hizi ni kiza kinene yaan km bongo movie vile. Wazingu ndio kidogo wanaweza kukeep promise hivi mbongo anaweza kutomba k moja milele. Acheni usenge bora anayetubu kuliko kujificha
 
Mh!
 
Kweli machangudoa wapo kila sehemu, Kumbe hata waimba nyimbo za enjili nao ni wahuni kiasi hili? Hivi hao wanaokwenda kumsikiliza Frola wanaupako sawa sawa? Tangu lini NDOA iliyofungwa kanisani ikavunjwa na mahakama na bado ukenda olewa tena?
Acha kuchafua watu,hivi unavyosema waimbaji wa nyimbo za injili ni wahuni unamanisha nini? Nafahamu vipo vipengele vinavyoweza kutumika kuvunja ndoa yoyote ile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom