Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Ila Flora alijitakia babu yake mzee Kulola rip shujaa wa injili alimuonya juu ya Mbasha ye akakomaa nadhani sahv atakuwa anayakumbuka maneno ya babu yake
 
huyu dada kama sio mlokole
Kwani mlokole hanaga "hamu" kwamba hatasex mpaka kufa? Kipi bora aolewe au asex kisirisiri alafu apande madhabahuni akuimbie uokoke? Huu mchezo hauna cha mlokole wala mpagani, mchungaji wala shehe ndo maana unawekewa masharti na mipaka ili uwe na kiasi kuepusha madhara.
 
Ila natarakarigi sana, usikute shetani aliona wivu akaamua kuwavuruga. Je, in nani hakuipenda couple yao, nani alijua wataachana, nani hakutamani make kama flora au mume kama mbasha, ni kosa gani kwa mlokole lisilo samehewa, ni mafanikio yapi yasiyo na vikwazo, michepuko mingapi husuluishwa na kurudi kwenye mstari, kama huduma zote unapewa kuchepuka sikumoja inakua ishu kubwa kiasi hiki, ninani aliyemkamilifu dunia hii jamani?
 
Tunamdhihaki Mungu. Hivi Flora kaamua kuwa mzinzi wa waziwazi na anaalika watu washuhudie usharati wake. Mume Wa ujana wake Yuko wapi? Je bado nyimbo zake zitakuwa Na ujumbe wa injili? Akaimbe kwasakwasa!!! Hivi mzeee Ndiyooooo!!!!!! Angekuwepo angekubali kuona uozo huuuuuu????

Unamjua mume wa ujana wake?

Unaijua sheria ya ndoa ya Ukristo inabatilika kwa mambo yapi?

Acha kuhukumu bila kujua sheria. Soma Biblia uje na mstari unaohalaisha ndoa hata katika "UASHERATI".

Acheni kufuata mikumbo ya kuhukumu watu huku sheria mnazolazimisha kuzitumia hamzijui. Tafuta hio andiko uje nalo hapa, ndipo uhukumu kwa upepo.
 
sasa mzinzi ni nani?
je ni nani anaacha? nani anaachwa?
talaka ni kwa sababu ya mioyo migumu!

3 Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?
4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
7 Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
8 Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
10 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
 
Ahsante kwa jibu.
 
Neno LA Mungu lipo kwa ajili ya kusaidia kuishi maisha ya kumpendeza Mungu na siyo kugeuka kuwa mzigo kwa muumini Talaka Biblia imeruhusu kwa mambo ya uzinzi na uasherati hilo neno ni pana Sana kwenye ndoa kuna mengi yapo yanayovumilika na mengine hayavumilika kila MTU na maisha yake tusipende kuhukumu siyo jukumu letu tutoe Bolt kwanza kwenye macho yetu ndo tuhangaike na vibanzi ktk macho ya wenzetu
 
Mie nafikiri watafunga ndoa ya serikali, haiwezekani hawa watu kufunga ndoa ya kanisa tena kwa mujibu wa bible.
Lakini mkuu usishangae wachungaji wa sasa wakihakikishiwa siku hiyo watakuwa na wahudhuriaji wangapi na kama ni wengi. Lazima Mchungaji ataifunga lengo sadaka wahakikishiwe.
 
bado anaimba gospel tu?, shame on her!!
Af we nae siku hizi umekuwa bashite sijui!
GOSPO IPI INAENDA NA JINA LA KITABU KINAITWA SIRI ZA FLORA MBASHA?

Af hata hiyo wakati wa pamoja ,si ni wakati wa pamoja yeye na david au?
AHAHAHHAHAHHAHHAA MISS YOU pal!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom