Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Kila mtu na imani yake ndugu, tuacheni kujivika utakatifu wa kujikalilisha. Hao wachungaji, mapadri na mashekhe wengi tu nishawahi kuwaona wakiwa na nyumba ndogo na ufuska kibao. Ulitaka Flora aishii maisha ya ki lesbians? Nashangaa sana watu mmeshupalia jambo la kawaida tu. Tena nikujulishe tu kuwa huyo kijana ni jirani yangu na wako na mahusiano kitambo hivyo hawajakurupuka. Hivi ni lini mara ya mwisho wewe umefanya sex na kwa nini? Pia ulitaka madam Flora aishi kama Watawa na wakati si Mtawa?

na we usiongee maneno mengiiii kama umeandika la maana!

kisheria na kidini flora/emmanuel hastahili kuolewa /kuoa tena!
hawajapeana talaka na wote wapo hai!

AMEAMUA TU KUTII KIU YAKE!
of WHICH I UNDERSTAND ,anyway!
 
Hiyo ndoa ni ya kufungua kwa mkuu wa wilaya au mchungaji? Na kama ni mchungaji atakuwa wa kanisa gani? Na hiyo album inahusu mahubiri ya mtume na mtakatifu bashite au Yesu Kristo? Na huyo muoaji anajielewa au ni zuzu?
 
Hivi kumbe inawezekana ukaachana na mwanaume bado ukaendelea kutumia jina lake?I mean Flora Mbasha hilo jina la Mbasha si la mumewe Imma?Au analilipia?
 
Siri za flora Mbasha wa Daudi. Teh teh teh teh ... uzuri wake mwanamke ni kama Ua huwa hawachelewi kunyauka . Muda utaongea Emanuel endelea kuwa mvumilivu mpole na mwenye hekima. Majira na wakati utafika tu kila jambo na majira yake.
Tumeyaona ya akina Wema sepetu kujiita Madame.
Lets wait and see.


Fanya kazi wewe na angalia maisha yako, kwa hiyo unakaa ukitegea kusubiri Flora apate shida ili ufurahie? Tafuta hobby kama hauna na acha kufwatilia maisha ya watu!
 
Hebu someni maandiko vizuri najua alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe isipokua kifo au uzinzi so ukithibitisha mwezako anachepuka talaka tu ingawa Mungu haipendi kwakua hapendi kuachana.
Lakini baada ya hapo hamruhusiwi kuingia kwenye ndoa mpaka mmoja wenu afe. Labda Imma ataaga hizi siku zilizobaki tusubiri..
 
Umenena vema. Nashangaa watu wanavyomuhukumu utafikiri wanajua aliyokua anapitia
Mi nadhani anahukumiwa kutokana na yeye kuaminika kama mtumishi wa Mungu kumbe la! Sidhani kama angekuwa mwanamke wa kawaida ingekuwa issue..
 
Hivyo Flora aliye tubu anapata uhalali wa kuolewa kwa neno linalosema:- yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndugu mume au mke yu huru.
Pumbavu kabisa wewe...

Unajua maana ya kiapo cha ndoa..


Ohhh! Nimesahau...walokole ni kama nguruwe tuu...Kuoa na kuacha inaruhusiwa huko kwenya makanisa yenu uchwara
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom