Flirty Obama

article-2234978-16179CDB000005DC-302_634x449.jpg

article-2234752-1617EC82000005DC-851_634x384.jpg

article-2234752-1617B20D000005DC-750_634x522.jpg

article-2234978-16179E4E000005DC-863_634x428.jpg

article-2234752-1617C3DA000005DC-695_634x577.jpg

Boys will be boys......................

article-0-11FACF4A000005DC-580_634x671.jpg

Nani kanuna?
sooo natural i see!hadi raha
 
Aisee, picha ushahidi mbaya sana. Ila michelle hawezi kuumia coz hata yeye anaflirt nae zaidi. Tatizo la kina wasirra wanaflirt na kina shyrose bhanji afu wakirudi home sura ya kazi.

Kitu kingine mkuu, OBAMA hawezi kubabaishwa na mama wa Kichina/Kikorea mbona B.O ana mdogo wake wakike ambaye ni half cast wa KICHINA.
 
Huyo mchina sijui mkorea ametulia!! .... Halafu yeye ndiyo anamrushia K prezidaa.

Uko sahihi kabisa. Huyo mdada kachamnhamka kupita kiasi, nadhani alikuwa haoti kukutana na raisi wa dunia uso kwa uso. Ila hata hivyo huyo waziri mkuu Muasia anaita kiaina.
 
Angekuwa Bill Clinton, huyo mama (dada) anagepata anachokitaka/stahili!:biggrin1::biggrin1:
 
Yaani ni mzuri mara 10 shinda mama Obama. Sitoshangaa kama Obama alichapa kidizaini. Tusubirie tu tuone kama tumbo litakua baada ya muda maana kina mama hawanaga siri. Wanafanya vitu gizani baada ya muda tumbo hilo.

Shida ya wabongo ni ufikiria uzinzi saa zote. Wakati Obama anafanya hicho mnachoshangilia lile rundo la walinzi na wapambe wake linakuwa lipo wapi?

Au mnafikiri naye ni kilaza tu ambaye anaweza kutoweka masaa mawili watu wasijue yupo wapi?
 
Please refer to Bill Clinton
 
kuna mtu aliniambia baada ya delilah kumrubuni samson mnadhili wa Mungu tokea tumboni aliona utamu wa vag*na kipindi kile ulikuwa hatari,akauchuja mara saba(yani hili tui tunalokula siku hizi ni la saba)...obama for ya mama!!!
 
Yaani ni mzuri mara 10 shinda mama Obama. Sitoshangaa kama Obama alichapa kidizaini. Tusubirie tu tuone kama tumbo litakua baada ya muda maana kina mama hawanaga siri. Wanafanya vitu gizani baada ya muda tumbo hilo.
kwani wote hawatumii condom kama wewe?
 
Aisee hapo anapo ngeuzia mgongo sijui alikua anamanisha nini!! Ila ni kifaa sana!obama lazima alikubali kimoyomoyo.
 
Back
Top Bottom