Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
AshaDii mie mbona nipo jamani....dahhh, naogopa kutia maneno mengi nisijeonekana na flirt humu! Lizzy mnoko na mada zake siku hizi, ahh!
Last edited by a moderator:
AshaDii mie mbona nipo jamani....dahhh, naogopa kutia maneno mengi nisijeonekana na flirt humu! Lizzy mnoko na mada zake siku hizi, ahh!
Smile naomba mimi usiniweke kwenye ignore list maana siyo mume wa mtu bali mume wa paka.nataka niweke waume za watu kwenye ignore listi yangu...
sipendi dhambi mimi....
ahahaaaa aya bwana ....nimekutania dada yangu si unajua mimi vitu used situmii?Smile najua... Pole mdogo wangu... Mkifanya huko pm ina maana anakuficha kwangu, hataki nikujue.... Hainisumbui wala sikulaumu....Kwanza nikupongeze kwa kujua kuchagua.... He is so much fun to flirt with... Angalia tu unajua rules of the game na you don't fall in love.... Sababu at the end of the day hutampata... for AshaDii na Kaizer ni kapo ambayo huwezi vunja. lol
Smile mzima lakini?
Sijasema kitu lakini
Lakini si ana mtu hapa? Ndio mshaanza kuflirt hivo
Kumbe mna open marriage? Flirting ruksa, haya jirani
Sasa MwanajamiiOne huoni tofauti kati ya RR na RussianRoulette sio? Kama sio Mbu, ningeflirt na wewe...
Uzuri wa flirt inaweza kutumika kutongozea.......
If you have a partner, don't flirt with other people. If you do it secretly, then you are cheating (or on your way to). If you do it in front of him, then you have no respect for your relation.
ahahaaaa aya bwana ....nimekutania dada yangu si unajua mimi vitu used situmii?
mimi mzima kabisa kama unavoniona hapo kwa avatar
AshaDii, ....wajua, kuna matendo mie mbu naweza yafanya au maneno naweza tamka watu wakadhani na flirt.hahahah.... kwahio lolote la ziada ulitaka niambia bora libaki moyoni na tumboni likutie vidonda? Acha hizo Mbu usiniambie hujui tofauti au huja flirt siku nyingi hadi unasahau jinsi.....lol
...Ohooo, sasa Rukhsa ya ku flirt pia unatoa weye? amaaa!? hahah..
... RR heshima yako kiongozi...
hiyo 'uzuri wa flirt inaweza tumika kutongozea' umenikumbusha zile za unapopigwa kibuyu/kukataliwa unajidai
was only flirting bana, ....
Nashindwa pa kuanzia kwa kweli . Nyani Ngabu sio mara yako ya kwanza kuuliza hii kitu
RussianRoulette sorry for the delay kwa kweli yameumana, Napost hii kitu then will be back later kama naweza.
I wish Sweetie Kaizer angekuwepo hapa anisaidie pia ..lol
The game of flirtin sio ya kuiga . Ina watu wake wanaojua the rules of the game. The positive and negative side of it. Naamini everybody is a flirt in some point thou intensity imepishana. Ningependa nisema mengi sana . Na I have loads on the Subject. One thing I can say ni kua AshaDii na Kaizer flirt Yes, we are adults we know what we are doing. Ila kuna msemo wa Kiswahili wanasema iga ufe! Wanaume hua wanachukulia advantage ya flirting vibaya mno na kwa kweli a mdada yoyote inabidi awe makini katika hilo else anaweza umia physically or hata emotionally. But I have been lucky .. Of a very few true gentlemen I have known in my life . Kaizer is one of them.
are we cheatting? only him and I know that, sidhani kama kuna haja ya kujibu hapa for kila mtu anajua ni suala la makubaliano kati ya wahusika na twajua fika whatever the answer lazima itakua rejected depending on one's observertion.