Flirting. . .

Flirting. . .

AshaDii, ....wajua, kuna matendo mie mbu naweza yafanya au maneno naweza tamka watu wakadhani na flirt.
Kuepusha shari mie humwambia napenda kuangalia reactions za watu, but I dont mean anything malicious.

Ushauri nilopewa na BelindaJacob (ninaoutafakari kwa kina) ni kwamba nifanye "at my own risk"
...:eek2:

hahahha..... Mbu... umenifurahisha kweli kweli....lol. Haya bana nakuja kubanana na wewe pm ambako hazikaguliwi zaidi ya wawili tu.... lol.
 
Last edited by a moderator:
Kuna babu yangu mmoja humu aliniambia....."usiichukulie seriasi JF" naanza kumuelewa alimaanisha nini.

mmmh. Huyo babu yako alikupa source? Hio qoute ya "Don't take JF too serious" ni ya Kaizer. Kama ni ODM hakutoa source inabidi alipie kuvunjwa kwa vigezo vya kutumia JF qoutes.... lol.

On a serious note; hio post imekufungua kitu gani Kbd hadi leo umeamini?
 
Khaaaaaa. . ndio mmeamua kufanya kweli hapa hapa?
 
@Smile ? Kuna sharti lake kaweka hapa (la ignore list)....well....wacha nifanye la muhimu.....
BTW: AshaDii nikikiuta shem nakua nimeflirt na wewe?

hapana shem.... ila nahisi nikikuta tu RR ndio nitakua na flirt. lol....
Hilo la ignore list nenda nalo taratiiiibu utafika. Know what she wants... Ukitaka tips uje home jioni mie nasepa...lol
 
Last edited by a moderator:
mmmh. Huyo babu yako alikupa source? Hio qoute ya "Don't take JF too serious" ni ya Kaizer. Kama ni ODM hakutoa source inabidi alipie kuvunjwa kwa vigezo vya kutumia JF qoutes.... lol.

On a serious note; hio post imekufungua kitu gani Kbd hadi leo umeamini?

Best ni kweli aliyetoa hiyo qoute alikua babu...Asprin......na nadhani alizingatia vigezo vyote vya kutumia JF qoutes. Imenigungua best nimeanza kuiona JF katika mwanga bora.
 
nataka niweke waume za watu kwenye ignore listi yangu...
sipendi dhambi mimi....
Smile nakufuatilia na hizo avatar zako unazoweka siku hizi ila ulianzia shingoni kurudi chini nasubiri itakaporudi juu ya shingo............jus keen!
 
hakuna hata.... kondoo mmoja na blanket moja basi

Hapo umenena cha msingi mpenzi Smile.....

Khaaaaaa. . ndio mmeamua kufanya kweli hapa hapa?
Lizzy well....ulikataza kwani?

hapana shem.... ila nahisi nikikuta tu RR ndio nitakua na flirt. lol....
Hilo la ignore list nenda nalo taratiiiibu utafika. Know what she wants... Ukitaka tips uje home jioni mie nasepa...lol
Hahahaa...shem bana...sasa tips za nini....me needs none!
 
Last edited by a moderator:
Hapo umenena cha msingi mpenzi Smile.....

Lizzy well....ulikataza kwani?

Hahahaa...shem bana...sasa tips za nini....me needs none!

Sikukataza ila sifurahii kuona mnavyocheat waziwazi baada ya kuwakumbusha.
 
Last edited by a moderator:
smile nakufuatilia na hizo avatar zako unazoweka siku hizi ila ulianzia shingoni kurudi chini nasubiri itakaporudi juu ya shingo............jus keen!
wewe sio mfuatiliaji mzuri cause huko unakosubiri nilishatoka
 
This me very crazy now.....
Na hii makitu bila pm wenye jukwaa wataleta za kuleta
RR UJUE PM YANGU INA MATATIZO ... INANDIKA ACCESS DENIED ....SIJUI NDO NINI NGOJA NIMTAFUTE Invisible
SO WEWE SEMA TU HAPAHAPA NIKISUBIRI MAREKEBISHO
 
Last edited by a moderator:
RR UJUE PM YANGU INA MATATIZO ... INANDIKA ACCESS DENIED ....SIJUI NDO NINI NGOJA NIMTAFUTE Invisible
SO WEWE SEMA TU HAPAHAPA NIKISUBIRI MAREKEBISHO

Actions....actions babe....words are worthless here.....what if.... (watawahi wengi mno nikipataja)
 
This me very crazy now.....
Na hii makitu bila pm wenye jukwaa wataleta za kuleta

... RR lazima ikupelekeshe hii, Smile amekukomalia naona...hehehehe...
aheri mie nili 'disconnect' na mapema...udhaifu wangu naujua....namba nane umeiona hiyo?:eek2:
...au unaona dingirizi tu?
 
Last edited by a moderator:
Actions....actions babe....words are worthless here.....what if.... (watawahi wengi mno nikipataja)

....aaaahhhhhh...hahahaha umeshasikika wewe hahahaha!
am out! nisijedaiwa Voucher.
Lizzy ujijue ume facilitate hii makitu aka infatuation hapa..lol
 
Back
Top Bottom